Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,542
- 13,031
- Thread starter
- #541
Yeah mshua huyo hana baya babuSamweli malech......???
Yeah mshua huyo hana baya babuSamweli malech......???
Ukitulia endelea na ep inayofuata.Yeah mshua huyo hana baya babu
Natamani kujua zile dhahabu mlizoficha kwenye makoti na madumu kama zilifika sokoni.EXTRA EPISODE:-
NITAWEKA WAKUU.....!!!SO SOON
Ninamalizia naweka story kule......kwenye ule uzi mwingine wa mabraza wa kkoo na dili zaoNatamani kujua zile dhahabu mlizoficha kwenye makoti na madumu kama zilifika sokoni.
Kafariki lini????Dr Matola PhD
Mzee baba nimesikia Tom Shempemba kafariki mazee, sijui kama umesikia...
Sijui kama unamkumbuka, alichezea Pazi, halafu kuna wakati alichezea Chang'ombe wakati ule Pazi ina kina John Tambwe (Wa mafuta), Atiki, Nyembela, Shaban...
Hili sijasikia, halafu niko busy kimtindo.Dr Matola PhD
Mzee baba nimesikia Tom Shempemba kafariki mazee, sijui kama umesikia...
Sijui kama unamkumbuka, alichezea Pazi, halafu kuna wakati alichezea Chang'ombe wakati ule Pazi ina kina John Tambwe (Wa mafuta), Atiki, Nyembela, Shaban...
Mlikuwa mnamuita "Jeba"I concur
kuna jamaa ambaye amewahi kuwa kwenye cabinet na amewahi kuhudumu kwenye vyama vya siasa viwili vikuu na anatoka kanda maalum.
Alianza Frm 1 akiwa na 20+ na washkaji wake walikuwa walimu. wana walikuwa wanamkwepa sana.
Alikuwa anapenda uongozi balaa hadi chuo aliendeleza kuwa against wanafunzi. Nakumbuka kuna kipindi kulitokea bonge la kunji Milima, jamaa akiwa Rais akapotea chuoni mwezi mzima.
Daah braza katutoka.....nimeweka picha zake hapo juu.....mkuu
Daah braza katutoka.....nimeweka picha zake hapo juu.....mkuu
Bahati mbaya sikushuhudia game zake nyingiNaam, moja ya watu waliofanya tuvutiwe na kucheza kikapu, maana alikuwa play maker wa Chang'ombe wakati huo wa bonanza na ligi za kikapu Dar...
Ukimaanisha???
Kabiiiiiiiiiisa lo.
Gorogosi umenikumbusha enzi tunaishi nae kota za bakwata Allah amrehemu.Sasa hivi nitakuja na maelezo na picha tukumbushane tulikotoka......!!!
Tuombe uzima maaana umri umeenda tumeshaanza kuzeeka sasa!!!!
Salamu nyingi ziwafikie watu hawa maana vijana wa zamani tunatambua mchango wao
TAJI LIUNDI
JOSEPH KUSAGA
SLIM MAPENDEKO
ZUNGU LA UNGA IDDY
ATHUMAN DIGADIGA
BLACK MOSES.
SUPER NGEDERE
MAKONGORO NYERERE
SOS B
JULIUS NYAISANGA
RUGE MUTAHABA
MZEE KIKWETE
MZEE MKAPA
MZEE WARIOBA
MZEE KINYONDO
MZEE MALECELA
MZEE HASSAN DIRIA
MZEE SHEIKH GOROGOSI
BIBI TITI MOHAMMED
Hawa ni watu ambao wengine wameshatangulia mbele za haki ila walikua hawana roho mbaya...ukitaka ushauri wa namna ya kukabiliana namaisha.
Nisiwe mnafiki nawakubali sana wametusaidia vijana wengi sana.
Daaah kumbe unawafahamu baadhi......ubarikiwe sana mkuu...karibuGorogosi umenikumbusha enzi tunaishi nae kota za bakwata Allah amrehemu.
Black Moses nae tuliishi nae Mwanza kwao familia yake dada yake Shela etc alikuwa anakuja mwanza na Jolee Bebe(Mbilikimo)anapiga hela za show alikuwa mtu poa sana haringi Allah arehemu