Mabraza wa Kariakoo na dili zao

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,863
Miaka hiyo sina hela afu ujana mwingi......kidogo nipagawe.

Nikamcheki braza yangu MUBA MUBANDA....mzee wa kazi zote pale kariakoo.

MIMI: Kaka mdogo wako sina kitu afu unavyojua lazima avensis iingie barabarani siwezi kukaa kinyonge, madogo wa maghorofani wananitambia kinoma.

MUBANDA: Dogo sikia mimi nakupa dili sikupi hela, Kwanza wewe mtoto wa down town...nakuelewa hutoniangusha. Sasa ni hivi nakufundisha kupiga watu ""KIJERUMANI"

MIMI: Kupiga watu MUBA?

MUBANDA: Ndiyo kupiga watu namaanisha kuwaibia dogo. Sio kuiba kwa kutumia nguvu ila kwa kutumia akili, leo jioni twende ukajifunze kwa vitendo ili uive.

Braza Muba mubanda akaninanga sana mda huo"""WEWE MTOTO WA MJINI UNAKOSA HELA UNALIALIAWAKATI WAJINGA KIBAO WA KUWAPIGA KWA KUTUMIA AKILI? ACHA UJINGA TUTAKUFUKUZA DAR SALAAM URUDI NACHINGWEA ......Madai yake ukizaliwa dasilamu jiji la makamba enzi hizo hutakiwi kukosa hela.

JIONI IKAFIKA: Sasa jioni imefika braza MUBA MUBANDA na braza yangu mwingine MUDI MUZUNGU wakanichukua mpaka kkoo kule wanapouza vitu vilivyotumika.....wakaniambia kua kuna pasta ataleta computer zilizotumika ili kuziuza sasa anatakiwa kupigwa...nikae mkao wa kula nijifunze mchezo...wao walishaupanga wiki mbili nyuma leo wanakamilisha tu...mm nitulie nijifunze.

Baada ya saa lizima yule mchungaji kafika na gari aina ya dastun pick up enzi hizo ndio gari za kubebea mzigo ya kishua kafika na mzigo wa computer umejaa nyuma na kawakabidhi mabraza zangu kama madalali wa kumuuzia.

Kumbe ule mzigo mchungaji kaupiga sehemu huko kanisani na inatakiwa wahusika wamdake pale akishauzabna wahusika wenyewe ni wazee wa kanisa wamepewa habari na mabraza zangu ambao wanajifanya madalali kitambo tu..ina maana mabraza wamemzunguka pasta bila yeye kujua wapo sehemu wanasubiria wamkamate ns vidhibiti.

Ila mpango wa mabraza lazima mzigo uuzwe kwanza wachukue hela afu ndio wawastue wazee wa kanisa ili pasta akamatwe.

Na vile vile anayeuziwa tayari alikua ameshatoa cha juu kwa kuwashukuru mabraza kwa kumletea dili tamu...na pia mchungaji alikua ameshatoa cha juu kuwashukuru mabraza kwa kumtafutia mteja wa mali.

Na vilevile wazee wa kanisa walikua wameshatoa cha juu kuwashukuru mabraza kwa kuwaonyesha mwizi wao.
Na mabraza walikua na mpango wa kumzunguka muuzaji na mnunuzi hela ikiwekwa mezani.

Makubaliano yalikua hivi...kwa kua mali ni za wizi...basi hela watachukua mabraza na kumletea mchungaji....yeye hatakiwi kuonekana pale sehemu ya makabidhiano.

Na mnunuzi yeye atatoa hela afu mzigo ataufuata kule ambapo leo ndio ipo stendi ya mwendokasi gerezani.
Mpango wa mabraza ni kumdakisha muuzaji na mnunuzi kwa wakati mmoja wote.

Yaani wakipewa hela wampelekee mchungaji wanamdakisha kabla ya kumpa hela na jamaa anaechukua mzigo wanamdakisha kabla hajaondoka na mzigo...afu hela zote wanakunja wao...na kujifanya dili limeshitukiwa.

Mimi nipo pale kuangalia mchezo na kujifunza ili huko mbele nicheze madili mengine.

Saa mbili ucku mchungaji kaja...kabana sehemu mbali na gari ya mzigo ilipopaki anasubiri hela.

Mnunuzi kakutana na mabraza pale kidongo chekundu kawapa hela nusu nyingine atamalizia mzigo akiuweka katika himaya yake.......afu wao wanampelekea mchungaji hela sababu enzi hizo hakukua na haya mambo ya kutumiana hela kwenye simu...hasa hizi dili chafu.

Wazee wa kanisa nao wamekuja na wamebana sehemu wanamsikilizia mnunuzi wamtie red handed na vifaa.....afu watamalizana na kijana wao mchungaji pale tu atakapokua na hela za mauzo mkononi...hivyo wamejigawa makundi mawili ya vikosi kazi.

Wakati huo mabraza nao wamejipanga wakichukua ile hela nusu toka kwa mnunuzi wataiacha kwangu....pembeni ya barabarani afu mm nitakua kama naokota mfuko...na kutokomea.

NB:Kumbuka hapo wameshakula hela za watu wote watatu ...kwa kujifanya waleta dili kwa mnunuzi na muuzaji na kujifanya watu wema kwa aliyeibiwa.

Mpango ulikua hv...wakimkamatisha pasta wao wanakula kona....tutakutana magomeni mikumi.....Na mm nikichukua lile fuko pale barabarani nipotee tutakutana magomeni.....tujipongeze kwa utapeli wetu uliofanikiwa!

Mda huo kkooo kila mtu yupo bize hata hawajui kama watu tupo kazini.

BAS MUDA UKAFIKA:
Pasta kaja na dastun yake imejaa macomputer used ya kanisa...mzee kasalimiana na mabraza afu kaelekea sehemu kujibanza kusubiri hela.

Dereva wa dastun kaelekea kule relini kupaki gari kusubiri wanunuzi.

Mnunuzi kakutana na mabraza wakampanga mzigo tayari kawapa hela nusu afu kaelekea kule relini lilipopaki dastun kuchukua mzigo.

Wazee wa kanisa wakajigawa makundi mawili na vijana wao, moja kwenda kule relini kuzuia gari.....lisitoke mpaka polisi waje na jingine la kumtaiti pasta mpaka polisi waje.

Mabraza wamechukua hela wakaitia kwenye mfuko wakaja wakaudondosha mbele yangu nilikua nimekaa barabarani nje ya kibaraza cha duka ambalo limeshafungwa tayari na nikaubeba mimi huyo kwenye daladala za kimara zinapopaki naitafuta magomeni mikumi hakuna kugeuka nyuma full uoga 🤣🤣🤣😂😂.

Msala wa nyuma niliadithiwa baadae na mabraza wapigaji watoto wa Kariakoo na Ilala.

ITAENDELEA.........!!!!!

Muendelezo Soma Mabraza wa Kariakoo na dili zao
 
INAENDELEA.....!!!
Nimefika magomeni mikumi....mimi huyoooo mpaka kijiwe cha kukutania...cha kwanza nakagua mfuko nijue kuna sh ngapi ndani ya mfuko.....Duuuuh sikuamini macho yangu kumbe braza MUBA kaweka makaratasi tu kayafunga vifurushi hakuna hela....!!!

Ina maana mabraza hawakuniamini kunipa niwashikie hela zao.

Nikiwa nashangaa shangaa kama nusu saa hivi sielewi kilichotokea...mara braza Muba anatokea na kusema dogo tuondoke nifuate....mimi huyo mdogo mdogo namfuata braza....Kwanza anapitia kwa pusha anachukua stiki za kwake maana mimi sivuti afu ananiuliza.

MUBA: Dogo umeshakula??
MIMI:Braza mm sijala toka nilivyokula mchana na sielewi humu ndani ya mfuko naona makaratasi na sio hela?

Palepale braza MUBA akaniuliza dogo nelly unasemaaaa?
MIMI: BRO HAKUNA HELA NI MARAKATASI
MUBA: DOGO UPO SERIOUS
MIMI: BRO MIMI NINA UTANI NA WEWE?
Braza akatupa zile bangi zake chini na kusema...NILIJUA TU MUDI MUZUNGU KATUZUNGUKA...akaniambia dogo nenda maskani tutaonana baadae au asubuhi....wacha nimtafute mudi hawezi kunifanya mimi bwege...Huyo akatimka kurudi kariakoo.

Wakati bado nimekaa nashangaa sijui cha kufanya nataka nipande daladala niende Kawe, mara namuona braza MUDI MUZUNGU ananiita dogo Nelly vipi huyo fala kasharudi Kariakoo. Nilikua nimekaa sehemu nawachora tu.

MUDI MUZUNGU: Sasa dogo sikia vizuri.
MIMI: Bro mnanichanganya ujue...mle ndani ya mfuko nimekuta makaratasi.
MUDI MUZUNGU: Niliweka mimi hayo makaratasi ndani ya mfuko....hela ninazo mimi.
Anaendelea kusema....!!!
Mjini shule mimi nishampiga braza wako...na tutajuana tukionana...hapa safari ya Lilongwe imekamilika naondoka muda huu...vitu vingine nitakamilisha nikiwa Mbeya...na wewe dogo nimekuonea huruma tu...ila ilitakiwa nisikupe hata mia kwenye hili dili...
Akaendelea.....sasa sikia chukua hii laki tisa afu sema hukuniona sawa.....Mimi napotea usiku huu huu..!!

Namuuliza braza vipi na jamaa wakijua umewapiga....anasema mjini shule...mpaka wakija kujua yeye yupo mbali.

MIMI: NA BRAZA MUBANDA JE?
MUDI MUZUNGU: ACHANA NAE FALA TU
MIMI: NA MCHUNGAJI?
MUDI MUZUNGU: FALA TU
MIMI:NA MCHAGA TULIYEMUUZIA DILI?
MUDI MUZUNGU: NAE FALA.
Basi akanipa laki tisa nikaweka mfukoni hapo tunatembea tumefika Magomeni kanisani tukaachana...mimi nachukua daladala za Kawe afu yeye braza kumbe ndio analiunga usiku huo kwa safari ya kwa Madiba kupitia Malawi...hiyo ilikua saa tano kasoro usiku.

Mimi huyo mpaka mitaa ya Morocco pale Mikocheni A nashuka na kibunda changu naingia kwanza nyumbani kwa bi mkubwa kukificha kibunda changu na enzi hizo hakuna mambo ya simu nyingi nyingi hivyo sina mawasiliano na braza MUBA mpaka nikienda kariakoo kesho.

Cha kwanza nikanunua Samaki wa kukaanga wakubwa watatu na chipsi sahani tatu na koka kola kubwa afu naenda magetoni kuwatambia watoto wa maghorofani waliovamia geto langu

NIMEFIKA MAGETONI: NYINYI MASIKINI AMKENI BOSI NIMERUDI....AMKENI MLE NAJUA MNA NJAA AFU MKISHIBA NITAWAPA STORY.....BASI WANANGU WALIKUA WAMEKULA AU HAWAJALA SIKUJUA NIKATOA MISOSI TUKAKAA CHINI NA KUANZA KULA...!!!
Nikaanza story...:
Wanangu leo asubuhi si nilimcheki braza Mubanda nikamuomba anipe dili.....basi dili lenyewe ilibidi mimi niende kujifunza kwa vitendo...halafu yeye na braza Muzungu wakiwa kazini mimi nijifunze.

Ila mwisho wa siku braza muzungu si kamzunguka mwana na ameniambia alikua anatafuta hela ya safari na usiku huu huu anaenda mbeya aingie Malawi.

Wanangu wanachekaaaaa 🤣🤣😂😂
Mimi nawaambia sasa najua kesho lazima kiwake maana braza Mubanda lazima anitafute akimkosa mudi muzungu....!!!!
Napiga story na wana tunafurahi ila sikuwaambia kama nina hela...wasije wakaunguza picha..

ASUBUHI SASA:
Kesho yake asubuhi naenda maskani Magomeni nakuta ujumbe kua braza Mubanda anakutafuta kasema uende kariakoo. Basi mimi mdogo mdogo mpaka Kariakoo masikani.

Namkuta braza kanuna kichizi. Namuuliza braza umemuona Muzungu? Mbona jana alikuja Magomeni ulipoondoka na kaniaga anakwenda South na kasema hela utanitoa wewe....yeye kakuachia kila kitu....!!!

MUBANDA:Huyu dogo atanitambua katuzunguka mdogo wangu na ndio aliweka makaratasi badala ya pesa kwenye mfuko aliokupa atanitambua.

MIMI:Duuuuh
MUBANDA: Ila usijali nitajua cha kufanya....hajakupa hela yoyote???
MIMI:HAPANA...
Basi braza akanielezea kua kule Kariakoo dili lilienda vizuri ndio hivyo Muzungu kawazunguka na lazima wampate kabla hiyo hajaenda kuimalizia kwenye unga na pombe na wanawake.

Mubanda: Mdogo wangu hizi dili waga hatuendi polisi tunavumiliana na ukimuwahi mwenzako unampiga.....safari hii mudi muzungu katuwahi maana na mimi nilikua nampigia hesabu nimpige ili nikufundishe kazi.....

BRAZA ANGEJUA KUMBE NINA LAKI TISA MFUKONI NIMEPEWA NA MUZUNGU
Basi akatoa elfu tisini akanipa akaniambia dogo wewe rudi maskani magomeni nisikilizie nimtafute muzungu na nikimpata una milioni moja ya mgawo wako maana mchungaji tulimpiga milioni saba na ushee hivi.

Bas tukaachana na mimi nikarudi masikani magomeni kusikilizia matokeo...huku nikijifanya sijui chochote kuhusu braza mudi muzungu.

ITAENDELEA...........!!!!!

Muendelezo soma Mabraza wa Kariakoo na dili zao
 
INAENDELEA.....!!!
Nimefika magome mikumi....mimi huyoooo mpaka kijiwe cha kukutania...cha kwanza nakagua mfuko nijue kuna sh ngapi ndani ya mfuko.....Duuuuh sikuamini macho yangu kumbe braza MUBA kaweka makaratasi tu kayafunga vifurushi hakuna hela....!!!
Ina maana mabraza hawakuniamini kunipa niwashikie hela zao.
Nikiwa nashangaa shangaa kama nusu saa hivi sielewi kilichotokea...mara braza Muba anatokea na kusema dogo tuondoke nifuate....mimi huyo mdogo mdogo namfuata braza....Kwanza anapitia kwa pusha anachukua stiki za kwake maana mimi sivuti afu ananiuliza.
MUBA: Dogo umeshakula??
MIMI:Braza mm sijala toka nilivyokula mchana na sielewi humu ndani ya mfuko naona makaratasi na sio hela???
Palepale braza MUBA akaniuliza dogo nelly unasemaaaa????
MIMI: BRO HAKUNA HELA NI MARAKATASI
MUBA: DOGO UPO SERIOUS
MIMI: BRO MIMI NINA UTANI NA WEWE??
Braza akatupa zile bangi zake chini na kusema...NILIJUA TU MUDI MUZUNGU KATUZUNGUKA...akaniambia dogo nenda maskani tutaonana baadae au asubuhi....wacha nimtafute mudi hawezi kunifanya mimi bwege...Huyo akatimka kurudi kariakoo.
Wakati bado nimekaa nashangaa sijui cha kufanya nataka nipande daladala niende kawe,,,mara namuona braza MUDI MUZUNGU ananiita dogo nelly vipi huyo fala kasharudi kariakoo....nilikua nimekaa sehemu nawachora tu...
MUDI MUZUNGU: Sasa dogo sikia vizuri.
MIMI: Bro mnanichanganya ujue...mle ndani ya mfuko nimekuta makaratasi.
MUDI MUZUNGU: Niliweka mm hayo makaratasi ndani ya mfuko....hela ninazo mimi.
Anaendelea kusema....!!!
Mjini shule mimi nishampiga braza wako...na tutajuana tukionana...haoa safari ya Lilongwe imekamilika naondoka mda huu...vitu vingine nitakamilisha nikiwa mbeya...na wewe dogo nimekuonea huruma tu...ila ilitakiwa nisikupe hata mia kwenye hili dili...
Akaendelea.....sasa sikia chukua hii laki tisa afu sema hukuniona sawa.....Mimi napotea usiku huu huu..!!
Namuuliza braza vipi na jamaa wakijua umewapiga....anasema mjini shule...mpaka wakija kujua yeye yupo mbali..
MIMI: NA BRAZA MUBANDA JE???
MUDI MUZUNGU: ACHANA NAE FALA TU
MIMI: NA MCHUNGAJI??
MUDI MUZUNGU: FALA TU
MIMI:NA MCHAGA TULIYEMUUZIA DILI???
MUDI MUZUNGU: NAE FALA.
Basi akanipa laki tisa nikaweka mfukoni hapo tunatembea tumefika magomeni kanisani tukaachana...mimi nachukua dakadala za kawe afu yeye braza kumbe ndio analiunga usiku huo kwa safari ya kwa madiba kupitia Malawi...hiyo ilikua saa tano kasoro usiku.
Mimi huyo mpaka mitaa ya morocco pale mikocheni A nashuka na kibunda changu naingia kwanza nyumbani kwa bi mkubwa kukificha kibunda changu na enzi hizo hakuna mambo ya simu nyingi nyingi hivyo sina mawasiliano na braza MUBA mpaka nikienda kariakoo kesho.
Cha kwanza nikanunua Samaki wa kukaanga wakubwa watatu na chipsi sahani tatu na koka kola kubwa afu naenda magetoni kuwatambia watoto wa maghorofani waliovamia geto langu
NIMEFIKA MAGETONI: NYINYI MASIKINI AMKENI BOSI NIMERUDI....AMKENI MLE NAJUA MNA NJAA AFU MKISHIBA NITAWAPA STORY.....BASI WANANGU WALIKUA WAMEKULA AU HAWAJALA SIKUJUA NIKATOA MISOSI TUKAKAA CHINI NA KUANZA KULA...!!!
Nikaanza story...:
Wanangu leo asubuhi si nilimcheki braza mubanda nikamuomba anipe dili.....bas dili lenyewe ilibidi mm niende kujifunza kwa vitendo...afu yeye na braza Muzungu wakiwa kazini mimi nijifunze.
Ila mwisho wa siku braza muzungu si kamzunguka mwana na ameniambia alikua anatafuta hela ya safari na usiku huu huu anaenda mbeya aingie malawi....
Wanangu wanachekaaaaa 🤣🤣😂😂
Mimi nawaambia sasa najua kesho lazima kiwake maana braza Mubanda lazima anitafute akimkosa mudi muzungu....!!!!
Napiga story na wana tunafurahi ila sikuwaambia kama nina hela...wasije wakaunguza picha..
ASUBUHI SASA:
Kesho yake asubuhi naenda maskani magomeni nakuta ujumbe kua braza mubanda anakutafuta kasema uende kariakoo..Bas mimi mdogo mdogo mpaka kariakoo masikani...
Namkuta braza kanuna kichizi...namuuliza braza umemuona muzungu????...Mbona jana alikuja magomeni ulipoondoka na kaniaga anakwenda south na kasema hela utanitoa wewe....yeye kakuachia kila kitu....!!!
MUBANDA:Huyu dogo atanitambua katuzunguka mdogo wangu na ndio aliweka makaratasi badala ya pesa kwenye mfuko aliokupa atanitambua.
MIMI:Duuuuh
MUBANDA: Ila ucjali nitajua cha kufanya....hajakupa hela yoyote???
MIMI:HAPANA...
Bas braza akanielezea kua kule kariakoo dili lilienda vizuri ndio hivyo muzungu kawazunguka na lazima wampate kabla hiyo hajaenda kuimalizia kwenye unga na pombe na wanawake...
Mubanda: Mdogo wangu hizi dili waga hatuendi polisi tunavumiliana na ukimuwahi mwenzako unampiga.....safari hii mudi muzungu katuwahi maana na mimi nilikua nampigia hesabu nimpige ili nikufundishe kazi.....
BRAZA ANGEJUA KUMBE NINA LAKI TISA MFUKONI NIMEPEWA NA MUZUNGU
Basi akatoa elfu tisini akanipa akaniambia dogo wewe rudi maskani magomeni nisikilizie nimtafute muzungu na nikimpata una milioni moja ya mgawo wako maana mchungaji tulimpiga milioni saba na ushee hivi...
Bas tukaachana na mimi nikarudi masikani magomeni kusikilizia matokeo...huku nikijifanya sijui chochote kuhusu braza mudi muzungu.
ITAENDELEA...........!!!!!
Chai. Kanisa na used computer wapi na wapi. Ungesema shule au chuo.
 
😂😂😂😂
 
Muba Mubanda yule yule au mwana mwingine maana haikuwa rahisi muba kupigwa kindezi hivyo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Yule yule....wana kumbe walikua wanadaiana sasa mudi alimuwahi muba...kabla hawajagawana mapato....na jamaa alimlipa kwa kumibia hela zake za urithi.....alizopewa mgao na bibi yake hapo hapo kkoo!!!!
 
Back
Top Bottom