Wakati Rais JK anaingia madarakani mwaka 2005 watanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini,kikabila na kisiasa tulikuwa na matumaini makubwa na rais, tulikuwa na imani kuwa mianya ya rushwa ingezibwa,wigo wa demokrasia ungepanuka kwa kiasi kikubwa na la muhimu kabisa ni Maisha ya Mtanzania yangekuwa na mazuri sana.
Lakini matokeo yake ni kinyume kabisa na matajirio yetu Watanzania, mimi binafsi naona hakuna wa kumlaumu zaidi ya mkuu wa kaya kutokana na sababu zifuatazo:
1.Kumteua EL kuwa Waziri Mkuu
El alikuwa anajulikana ni fisadi toka enzi za uhai wa Mwalimu Nyerere kama mnakumbuka alivochukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995 Mwalimu alitahamaki na kusema hata huyu bepari amechukua fomu na akamwita pale nyumbani kwake msasani kumtaka atoe jina lake mapema, hata hivyo mkuu wa kaya akamteua kuwa waziri mkuu pamoja na kupewa ushauri na watu wake wa karibu(Mwambi,Ditopile nk) kwamba huyu mtu ukimpa nafasi hiyo atawaumiza Watanzania lakini kwa ukaidi wake akamteua EL kuwa Waziri mkuu.
2. Kukumbatia Mafisadi
Hili kosa jingine,hawa mafisadi walihakikisha wanasambaratisha washirika waadilifu wanaomzunguka JK hili liliwezekana kwasababu JK ni mtu wa kusilikiza maneno hivyo walimjaza maneno na yeye akawasikilza mfano halisi mtu kama Jaka Mwambi si wa kupelekwa Ubalozini tena nchi ya mbali kama Urusi,sasa hivi JK amezungukwa na mafisadi watupu.
3.Kumteua Makamba kuwa katibu mkuu wa CCM
Huyu Makamba hakupaswa kupewa hata ukuu wa wilaya,hana uwezo na sifa za kuwa kiongozi, alipokuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma alikataa kutoa ushirikiano kwa aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini bw. Kaborou kwasababu alikuwa CDM.