Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

Ni pendekezo tu wakuu....nimekaa nikatafakari mazuri aliofanya raisi wetu KIkwete kweli nimeona ni bora aongezewe kipindi kingine amalizie juhudi zake....

Sasa naangalia barabara lami nzuri maji yanatoka majumbani 24 hrs umeme wa uhakika japo na majungu yenu lakini wananchi tunafaidika bora kidogo kuliko kukosa.....

Angalia shule nyingi sio kama zamani.....watoto wanapata elimu bora ya uhakika angalia wahitimu wa shahada hapa nchini wako very clean and smart shukrani Raisi kikwete kwa chuo kikuu dodoma.....

Huduma za afya ni bora tena hapa anafaa kupongezwa jamani.....zamani enzi ya nyerere hakukuwa hivi....zahanati moja kilomita 50 ndio unaikuta..leo hi hospitali nyingi za kumwaga dawa zipo za kutosha kwa kweli anafaa kuongezewa kiindi kingine.....

Amani kwa kweli tanzania ya kikwete imejaa telee sio kama enzi ya mwalimu...si mnakumbuka tulienda vitani enzi ya mwalimu....mkapa akaua wenzetu mwembechai....sasa jamani tutake nini juu ya huyu baba yetu KIkwete? zaidi ya kumuongezea kipindi kingine amalizie mazuri tunayoyaonaa......

Wote mmeshuhudia barabara za lami alizofungua...angalia nchi yetu tajiri raisi wetu kwa sasa juu ya mafuta nma gesi kaweka mkakati murua kufanikisha tunafaidika na rasilimali zetu.....

Kupitia kwenye mikono yake bora ya utawala wake na uongozi mzuri raisi wetu ametuletea vijana wachapa kazi kama Nape na wasomi vijana kama Adam malima.....angalia safu yake ya uwaziri ilivyosheheni watu makini....wizara ya fedha yupo mtu makini Dkt. William Mgimwa Ph.D msomi,muadirifu mwenye kuchapa kazi....wizarani sasa kunakwenda vizuri....Wizara ya elimu wapo watu makini Mr Mulugo acheni majungu yenu ila ni mtu makini na ataifikisha elimu yetu pazuri.....sidhani kama manjungu na wivu wenu vitatufikisha pazuri....tumpe ushirikiano raisi wetu kwa kweli kama ikwekzekana aongezewe kipindi kingine atuongoze.....

Mungu mbariki raisi wetu Dr Kikwete
Mungu ibariki Tanzania
Are you serious! or A BIG JOKE?!!
 
Mimi nadhani wewe wakati unaandika hii habari ulikuwa chooni unajisaidia hatujui kama akili yako ipo sawa Yo Yo na inawezekana na wewe ni miongoni mwa wanaotafuna nchi hii kafikirie kwanza au kamuulize mama na baba yako aliyekuzaa unatia kichefuchefu
 
Wewe utakuwa ni hawara yake tu!vp jana ulimkatia viuno sana mukwere nini???Naona mimba yako changa inakusumbua mama YOYO!
 
Yo Yo_Ndugu yangu hujawahi kuona barabara nini? Kwanza huo ni mkopo ambao kila mtanzania anaulipia.usiwe kiwete wa ubongo
 
ha haa yoyo are you mad?
Au umepeta ajira serikalini juzi nini?
 
Last edited by a moderator:
Wewe utakuwa ni hawara yake tu!vp jana ulimkatia viuno sana mukwere nini???Naona mimba yako changa inakusumbua mama YOYO!

Please mods naomba ulinzi...ndio maana wanasema JF ni ya chadema.......
 
Labda ku produce more teachers
na muungano wa Zimbabwe na pemba iliyopata uhuru mwaka one nineteen sixty four(11964)mabwege nyie ;
 
Anahitaji miaka 100(kama anaweza kuishi) na shilingi 90,0000,0000,0000 kutimiza haya aliyoyaahidi

Ifuatayo ni orodha ya ahadi. Mbele ya kila ahadi kuna jina la mahali alipoitolea. Ikumbukwe kuwa ahadi hizi ni nje kabisa ya Ilani ya CCM ya mwaka 2010-2015.

1. Kujenga reli mpya kutoka Dar es Salaam hadi mikoa ya Kanda ya Ziwa - Nzega, Tabora.
2. Mkoa wa Tanga kuwa Jiji la Viwanda - Tanga mjini.
3. Tabora kutumia maji ya Ziwa Victoria – Igunga.
4. Kulipa madeni ya chama cha Ushirika Mkoa wa Shinyanga (SHIRECU) – Shinyanga.
5. Kumaliza migogoro ya ardhi nchini – Dodoma.
6. Wakulima kuacha kutumia jembe la mkono - Dodoma mjini.
7. Kuwapatia trekta wakulima - Kata ya Mrijo, Dodoma.
8. Wananchi kutoondolewa kwenye Ranchi ya Misenyi – Kagera.
9. Kujenga Uwanja wa Ndege Misenyi – Kagera.
10. Kupanua Uwanja wa Ndege Bukoba - Bukoba Mjini.
11. Kujenga uwanja wa ndege mkubwa Kigoma - Kigoma Mjini.
12. Mtukula kupatiwa umeme kutoka Uganda – Kagera.
13. Mikoa ya Kagera, Kigoma, Lindi, Rukwa na Ruvuma kuunganishwa katika gridi ya taifa ya umeme – Kagera.
14. Kuimarisha Takukuru kwa miaka mitatu – Kagera.
15. Hukumu kwa waliopatikana na hatia ya kuua albino – Mbeya.
16. Kununua meli kubwa kuliko mv Bukoba – Kagera.
17. Kuanzisha benki ndogondogo kwa ajili ya wajasiriamali.
18. Serikali kuvisaidia vyama vya ushirika – Mwanza.
19. Kuimarisha usalama Ziwa Victoria na Ziwa Tanganyika kwa kupeleka kikosi maalumu chenye vifaa kupambana na wahalifu – Mwanza.
20. Wilaya ya Geita kuwa hadhi ya mkoa Januari mwakani – Geita.
21. Kulinda Muungano kwa nguvu zote – Pemba.
22. Kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko Kilosa – Morogoro.
23. Kununua meli mpya kubwa Ziwa Nyasa - Mbeya mjini.
24. Kujenga bandari Kasanga – Rukwa
25. Kumaliza tatizo la walimu miaka mitano ijayo – Songea.
26. Kufufua mgodi wa makaa ya mawe Kiwira – Mbeya.
27. Kuzuia hatari ya Kisiwa cha Pangani kuzama – Tanga.
28. Kununua bajaji 400 kwa ajili ya kubeba wajawazito hasa vijijini – Iringa.
29. Kujenga barabara yenye kiwango cha lami kutoka Same hadi Kisiwani – Kihurio na kuiunganisha na barabara kuu ya Moshi-Dar es Salaam-Same mkoani Kilimanjaro.
30. Kumaliza tatizo la maji katika Wilaya ya Same - Same mjini.
31. Kuboresha barabara za Igunga-Tabora.
32. Kusambaza walimu 16,000 katika shule za sekondari zenye upungufu mkubwa wa walimu - Kisesa Magu.
33. Kununua vyandarua viwili kwa kila kaya - Mbeya mjini.
34. Kuzipandisha hadhi hospitali maalumu saba nchini kuwa za rufaa ili kuipunguzia mzigo Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) - Hydom Manyara.
35. Kulinda amani nchini kwa kuzuia chokochoko za kidini, kikabila na kisiasa – Musoma.
36. Kulinda haki za walemavu – Makete.
37. Kujenga baabara ya Njombe - Makete kwa kiwango cha lami, urefu wa kilomita 109 - Iringa mjini.
38. Kujenga barabara Musoma-Mto wa Mbu Arusha – Arusha.
39. Kuanzisha Jimbo la Ulyankulu- Shinyanga mjini.
40. Kujenga barabara ya lami Manyoni-Kigoma-Kaliua, Tabora
41. Kukarabati barabara ya Arusha-Moshi - Arusha mjini.
42. Kuboresha barabara ya Handeni, Kondoa hadi Singida – Dodoma.
43. Kuwafidia wanakijiji ng’ombe waliopotea wakati wa ukame mwaka 2009 – Longido.
44. Vijiji vyote vilivyoko kilomita 15 kutoka kwenye bomba kuu la mradi mkuu wa maji wa Ziwa Victoria - Shinyanga-Kahama kuunganishiwa maji – Shinyanga.
45. Tatizo la umeme kufikia kikomo Novemba mwaka huu mkoani Arusha – Arusha mjini.
46. Kukopesha wavuvi zana za kilimo - Busekera, Wilaya ya Musoma.
47. Kuwapatia maji wakazi wa Wilaya ya Longido – Longido.
48. Kujenga barabara ya lami kupitia pembezoni mwa Hifadhi ya Taifa ya Seregenti – Ngorongoro.
49. Utekelezaji wa mpango wa maendeleo ya kilimo kuwasaidia wafugaji kuweza kupata na kutunza mifugo yao vizuri - Mbulu mkoani Manyara.
50. Kusambaza maji nchi nzima - Babati vijijini.
51. Kusambaza umeme, utoaji wa huduma za afya, na uboreshaji wa kilimo cha umwagiliaji na utoaji ruzuku kwa wakulima mwaka 2010-2015 - Babati vijijini.
52. Kuongeza mara tatu idadi ya wananchi wanaonufaika na ruzuku ya pembejeo za kilimo kwa mfumo wa vocha – Iringa.
53. Kuhakikisha Isimani inapata maji ya uhakika – Iringa.
54. Kuiwekea lami barabara inayokwenda katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha, ambayo ndiyo hifadhi kubwa kuliko zote Tanzania – Iringa.
55. Kulinda usalama wa wananchi kwa ujumla ili kudumisha amani na sifa ya nchi –Ifunda.
56. Kutokomeza malaria 2015 - Bunda, Mkoa wa Mara.
57. Kuwapa wanawake nafasi zaidi - Kilolo, Iringa.
58. Ahadi kuisaidia Zanzibar kuendeleza miradi mbalimbali ya kijamii – Kibandamaiti, Mjini Zanzibar.
59.Kuipandisha hadhi hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kuwa ya rufaa - Kibandamaiti mjini Zanzibar
60. Kuisaidia Zanzibar kila panapohitajika msaada – Kibandamaiti.
61. Serikali kujenga upya Bandari ya Mbamba Bay – Ruvuma.
62. Ununuzi wa meli mpya yenye uwezo wa kubeba tani 400 – Mbamba Bay, Ruvuma.
63. Kufufua chama kikuu cha ushirika cha wakulima wa Mbinga (MBICU) – Ruvuma.
64. Ahadi Rais wa Marekani Barack Obama kuimwagia misaada Tanzania – Ruvuma.
65. Ahadi hakutakuwa na umwagaji wa damu baada ya uchaguzi - Dar es Salaam.
66. Mtwara kuwa mji wa viwanda – Mtwara.
67.Ahadi ujenzi wa kwanda cha dawa ya kuua viluilui vya mbu – Kibaha.
68.Hospitali ya Tumbi kuwa ya mkoa – Kibaha.
69. Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kutenga eneo maalumu la viwanda – Kibaha.
Kama ni hayo yote kweli alitakiwa aondoke juzi!! hebu angalia no 35 na hali ya sasa!?
 
Yo Yo_Ndugu yangu hujawahi kuona barabara nini? Kwanza huo ni mkopo ambao kila mtanzania anaulipia.usiwe kiwete wa ubongo
moja kati ya shule boraa kabisa...mnataka nini watanzania??

Hivi mna takwimu wakati wa mwalimu idadi gani walimaliza darasa la 7 form four na sasa hivi?? linganisheni.....niambieni mwalimu alijenge barabara kilomita ngapi?? tena yeye alikaa miaka 24??? leo hii Raisi Kikwete miaka 7 tu kafanya makubwa haya.....mnataka nini watanzania????
 
Ni pendekezo tu wakuu....nimekaa nikatafakari mazuri aliofanya raisi wetu KIkwete kweli nimeona ni bora aongezewe kipindi kingine amalizie juhudi zake....

Sasa naangalia barabara lami nzuri maji yanatoka majumbani 24 hrs umeme wa uhakika japo na majungu yenu lakini wananchi tunafaidika bora kidogo kuliko kukosa.....

Angalia shule nyingi sio kama zamani.....watoto wanapata elimu bora ya uhakika angalia wahitimu wa shahada hapa nchini wako very clean and smart shukrani Raisi kikwete kwa chuo kikuu dodoma.....

Huduma za afya ni bora tena hapa anafaa kupongezwa jamani.....zamani enzi ya nyerere hakukuwa hivi....zahanati moja kilomita 50 ndio unaikuta..leo hi hospitali nyingi za kumwaga dawa zipo za kutosha kwa kweli anafaa kuongezewa kiindi kingine.....

Amani kwa kweli tanzania ya kikwete imejaa telee sio kama enzi ya mwalimu...si mnakumbuka tulienda vitani enzi ya mwalimu....mkapa akaua wenzetu mwembechai....sasa jamani tutake nini juu ya huyu baba yetu KIkwete? zaidi ya kumuongezea kipindi kingine amalizie mazuri tunayoyaonaa......

Wote mmeshuhudia barabara za lami alizofungua...angalia nchi yetu tajiri raisi wetu kwa sasa juu ya mafuta nma gesi kaweka mkakati murua kufanikisha tunafaidika na rasilimali zetu.....

Kupitia kwenye mikono yake bora ya utawala wake na uongozi mzuri raisi wetu ametuletea vijana wachapa kazi kama Nape na wasomi vijana kama Adam malima.....angalia safu yake ya uwaziri ilivyosheheni watu makini....wizara ya fedha yupo mtu makini Dkt. William Mgimwa Ph.D msomi,muadirifu mwenye kuchapa kazi....wizarani sasa kunakwenda vizuri....Wizara ya elimu wapo watu makini Mr Mulugo acheni majungu yenu ila ni mtu makini na ataifikisha elimu yetu pazuri.....sidhani kama manjungu na wivu wenu vitatufikisha pazuri....tumpe ushirikiano raisi wetu kwa kweli kama ikwekzekana aongezewe kipindi kingine atuongoze.....

Mungu mbariki raisi wetu Dr Kikwete
Mungu ibariki Tanzania

Katiba iliyopo hairuhusu kuongezewa muda wa ziada,mwisho ni 2015.Na hata angepewa miaka 10 zaidi hakuna jipya ambalo lingefanyika,anahitaji kupumzika awapishe wengine!!!!!!!
 
ha haa yoyo are you mad?
Au umepeta ajira serikalini juzi nini?
hapana arifu.....nimeamua kutafakari kw akina....Dr Kikwete kafaanya makubwa sisi hatuyaoni sababu wengi wenu humu mko nje au dar pekee...katembeeni mikoani.....
 
kama anafanya makubwa na watu hawayaoni basi hawatayaone ata akae madarakani miaka 1000, kwa hiyo kama hapendwi ata akifanya nini watu hawamuhitaji, lakini kama unamkubali sana unaweza kumualika nyumbani kwako kwa miaka mingine 10 kwa sababu wewe unaona umuhimu wake
 
Ni pendekezo tu wakuu....nimekaa nikatafakari mazuri aliofanya raisi wetu KIkwete kweli nimeona ni bora aongezewe kipindi kingine amalizie juhudi zake....

Sasa naangalia barabara lami nzuri maji yanatoka majumbani 24 hrs umeme wa uhakika japo na majungu yenu lakini wananchi tunafaidika bora kidogo kuliko kukosa.....

Angalia shule nyingi sio kama zamani.....watoto wanapata elimu bora ya uhakika angalia wahitimu wa shahada hapa nchini wako very clean and smart shukrani Raisi kikwete kwa chuo kikuu dodoma.....

Huduma za afya ni bora tena hapa anafaa kupongezwa jamani.....zamani enzi ya nyerere hakukuwa hivi....zahanati moja kilomita 50 ndio unaikuta..leo hi hospitali nyingi za kumwaga dawa zipo za kutosha kwa kweli anafaa kuongezewa kiindi kingine.....

Amani kwa kweli tanzania ya kikwete imejaa telee sio kama enzi ya mwalimu...si mnakumbuka tulienda vitani enzi ya mwalimu....mkapa akaua wenzetu mwembechai....sasa jamani tutake nini juu ya huyu baba yetu KIkwete? zaidi ya kumuongezea kipindi kingine amalizie mazuri tunayoyaonaa......

Wote mmeshuhudia barabara za lami alizofungua...angalia nchi yetu tajiri raisi wetu kwa sasa juu ya mafuta nma gesi kaweka mkakati murua kufanikisha tunafaidika na rasilimali zetu.....

Kupitia kwenye mikono yake bora ya utawala wake na uongozi mzuri raisi wetu ametuletea vijana wachapa kazi kama Nape na wasomi vijana kama Adam malima.....angalia safu yake ya uwaziri ilivyosheheni watu makini....wizara ya fedha yupo mtu makini Dkt. William Mgimwa Ph.D msomi,muadirifu mwenye kuchapa kazi....wizarani sasa kunakwenda vizuri....Wizara ya elimu wapo watu makini Mr Mulugo acheni majungu yenu ila ni mtu makini na ataifikisha elimu yetu pazuri.....sidhani kama manjungu na wivu wenu vitatufikisha pazuri....tumpe ushirikiano raisi wetu kwa kweli kama ikwekzekana aongezewe kipindi kingine atuongoze.....

Mungu mbariki raisi wetu Dr Kikwete
Mungu ibariki Tanzania

..Daah!! we mjanja kwelikweli. Yaani umeongea kinyume mpaka raha. Endelea kumpaka jamaa mafuta kwa mgongo wa chupa.....
 
Back
Top Bottom