Mabadiliko ya Katiba: Kikwete aongezewe muda wa miaka mitano

Wakati Rais JK anaingia madarakani mwaka 2005 watanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini,kikabila na kisiasa tulikuwa na matumaini makubwa na rais, tulikuwa na imani kuwa mianya ya rushwa ingezibwa,wigo wa demokrasia ungepanuka kwa kiasi kikubwa na la muhimu kabisa ni Maisha ya Mtanzania yangekuwa na mazuri sana.
Lakini matokeo yake ni kinyume kabisa na matajirio yetu Watanzania, mimi binafsi naona hakuna wa kumlaumu zaidi ya mkuu wa kaya kutokana na sababu zifuatazo:
1.Kumteua EL kuwa Waziri Mkuu
El alikuwa anajulikana ni fisadi toka enzi za uhai wa Mwalimu Nyerere kama mnakumbuka alivochukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995 Mwalimu alitahamaki na kusema hata huyu bepari amechukua fomu na akamwita pale nyumbani kwake msasani kumtaka atoe jina lake mapema, hata hivyo mkuu wa kaya akamteua kuwa waziri mkuu pamoja na kupewa ushauri na watu wake wa karibu(Mwambi,Ditopile nk) kwamba huyu mtu ukimpa nafasi hiyo atawaumiza Watanzania lakini kwa ukaidi wake akamteua EL kuwa Waziri mkuu.
2. Kukumbatia Mafisadi
Hili kosa jingine,hawa mafisadi walihakikisha wanasambaratisha washirika waadilifu wanaomzunguka JK hili liliwezekana kwasababu JK ni mtu wa kusilikiza maneno hivyo walimjaza maneno na yeye akawasikilza mfano halisi mtu kama Jaka Mwambi si wa kupelekwa Ubalozini tena nchi ya mbali kama Urusi,sasa hivi JK amezungukwa na mafisadi watupu.
3.Kumteua Makamba kuwa katibu mkuu wa CCM
Huyu Makamba hakupaswa kupewa hata ukuu wa wilaya,hana uwezo na sifa za kuwa kiongozi, alipokuwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma alikataa kutoa ushirikiano kwa aliyekuwa mbunge wa Kigoma mjini bw. Kaborou kwasababu alikuwa CDM.

Ni mwadilifu,
mcha mungu,
anatupenda (kaoa kiislam...cjuw idad ya wake).... so siyo muhuni.
akivaa suti, is so cute!

ishu zingine, ni mattatzo ya Mungu......
umeme, aaaah,iko sku mtasahau.

nchi ya amani,
hata kugoma hatuwez...........
Kuna mambo mawili hapa labda unataka kufurahisha baraza au .... (inabidi nimezee)
 
Kuna mambo mawili hapa labda unataka kufurahisha baraza au .... (inabidi nimezee)
Nilitaka watu wamwage machungu ya moyo waliyonayo....... mi.nampenda JK, NAFURAHI ANAVYOCHEKACHEKa...... cjuw nifanyaje nioe kwa familia yake!!!!!!!!
 
hivi jamani kwani kila mtu lazima apost kitu!!! mana sometimes unaishia kupost maujinga!!! na hapo kapost mwanaume ingekuwa mwanamke mngesema wanawake hawana akili!! what about aliyepost thread hii tunamweka kwenye fungu gani!
 
JK ametufanyia mambo mengi mazuri sana, anasifiwa na kila mwanaCCM na ni kipenzi cha watu wakawaida. Je great thinkers wa JF mnaonaye tukibadili Katiba tumpe JK miaka mingine 5 aweze kusimamia utekelezaji wake? Je kama itakuwa hivyo, matatizo (CCJ vs the gang of 3) ya mbio za Uraisi 2015 yatakwisha?
 
Awe Mfalme kabisa, akifa aendeleze mkewe naye akifa watoto wao hususani Riz one naye atawale milele
 
JK ametufanyia mambo mengi mazuri sana, anasifiwa na kila mwanaCCM na ni kipenzi cha watu wakawaida. Je great thinkers wa JF mnaonaye tukibadili Katiba tumpe JK miaka mingine 5 aweze kusimamia utekelezaji wake? Je kama itakuwa hivyo, matatizo (CCJ vs the gang of 3) ya mbio za Uraisi 2015 yatakwisha?
Yaani unataka watu wapigwe BAN kwa kushindwa kijizuia kutumia lugha mbaya dhidi yako? Haya ndugu, ngoja mimi ninyamaze kwa sasa!
 
Yaani unataka watu wapigwe BAN kwa kushindwa kijizuia kutumia lugha mbaya dhidi yako? Haya ndugu, ngoja mimi ninyamaze kwa sasa!
Buchanan, hamna haja ya kutumia lugha mbaya, unajua nchi sasa hivi haitawaliki kwa sababu ya migogoro ya kuwania urais 2015, lakini tukimwongezea jamaa miaka 5, kina six, EL watakuwa wazee sana kugombea 2020,
 
''Tehe! tehe! tehe! tehe! Jf bana! Kura tunapiga sisi na si uteuzi wao unaopiga kura.
 
JK ametufanyia mambo mengi mazuri sana, anasifiwa na kila mwanaCCM na ni kipenzi cha watu wakawaida. Je great thinkers wa JF mnaonaye tukibadili Katiba tumpe JK miaka mingine 5 aweze kusimamia utekelezaji wake? Je kama itakuwa hivyo, matatizo (CCJ vs the gang of 3) ya mbio za Uraisi 2015 yatakwisha?
Huyo JK sidhani kama unamtakia mema, maana ataondolewa na wananchi kabla hajamaliza hata mwaka mmoja wa nyongeza. Kwa nini hutaki kuamini kwamba duniani hakujawahi kutokea raisi mbovu kama JK?
 
hivi jamani kwani kila mtu lazima apost kitu!!! mana sometimes unaishia kupost maujinga!!! na hapo kapost mwanaume ingekuwa mwanamke mngesema wanawake hawana akili!! what about aliyepost thread hii tunamweka kwenye fungu gani!
bila shaka atakuwa shoga 2!
 
Huyo JK sidhani kama unamtakia mema, maana ataondolewa na wananchi kabla hajamaliza hata mwaka mmoja wa nyongeza. Kwa nini hutaki kuamini kwamba duniani hakujawahi kutokea raisi mbovu kama JK?
kuna tetesi alikuwa us kuangalia mechi ya timu y ngassa vs man u,huku 2kaambiwa yuko sauz!
 
"Mzee ruksa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa miaka 10 hakuyamalza, mie miaka 5 hayajaisha nmeongeza 5 mingne hayatakwsha" Jk
 
Acha upumbafu!be serious!tumeichezea miaka 10 bila kufanya kitu,uwe makini.
 
Ni mwadilifu, mcha mungu,anatupenda (kaoa kiislam...cjuw idad ya wake).... so siyo muhuni.akivaa suti, is so cute!ishu zingine, ni mattatzo ya Mungu......umeme, aaaah,iko sku mtasahau.nchi ya amani,hata kugoma hatuwez...........
Teh! Teh! Teh! Mfa maji haishi kutapatapa mkuu!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom