Sisi wananchi wa maeneo ya vijijini na mikoa ya pembezoni tunayo heshima kubwa kumuomba waziri wa katiba na sheria kutoa elimu kwetu sisi kwa kipindi cha miaka mitano sio miaka mitatu.
Ileleweke kuwa katika kutoa elimu kuna baadhi yetu wanaweza kuelewa kwa haraka lkn wengine uelewa ni mdogo hivyo inahitaji muda zaidi kuelemisha.
Jambo la katiba sio la kwenda haraka kama wanavyo dai wanasiasa na asasi binafsi.
Ili tuweze kupata katiba bora ni lazima tuende taratibu, hatua kwa hatua, tusiende kwa msukumo wa wanasiasa wanao lenga nafasi za kisiasa tu bila kutujali sisi wananchi.
Tunaomba elimu juu ya katiba mpya itolewe kwa muda wa miaka 5