UZUSHI Meta yatangaza Mabadiliko ya Sera kwenye Mtandao wa WhatsApp kwa Mawasiliano Binafsi pamoja na Makundi Sogozi kuanzia Machi 22, 2024

Baada ya tathmini, tumebaini kuwa taarifa hii ni ya uzushi
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
IMG_20240321_192018_037.jpg
 
Tunachokijua
Zaidi ya watu bilioni 2 kutoka nchi zaidi ya 180 hutumia WhatsApp kufanya mawasiliano na marafiki au familia, wakati wowote na mahali popote.

Programu hii maarufu ya ujumbe wa papo hapo inayomilikiwa na kampuni ya Meta, ilianzishwa na Jan Koum na Brian Acton mnamo mwaka 2009, lakini baadaye ilinunuliwa na Facebook (ambayo sasa inaitwa Meta) mwaka 2014 kwa thamani kubwa ya dola bilioni 19.

Kwa sasa makao yake makuu yapo Meta Way, Menlo Park, California 94025, Marekani.

Kuzuka kwa Madai ya kubadilika kwa Sera za Matumizi ya WhatsApp
Kumekuwepo na ujumbe unaosambaa kwenye Makundi sogozi ukibainisha kuwa kampuni ya Meta imebadili Sera za Matumizi ya Mtandao wa WhatsApp.

Madai haya yameonekana pia kwenye Mtandao wa X Machi 21, 2024 ambapo taarifa zake zimehifadhiwa hapa na hapa.

Baadhi ya madai hayo ni kuanzishwa kwa utaratibu mpya wa kurekodi simu zote pamoja na nakala za rekodi za mawasiliano zitahifadhiwa. Aidha, WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram na mitandao mingine ya kijamii itafuatiliwa.

Ujumbe huo unaenda mbali zaidi kwa kubainisha kwa Polisi wataanza kufuatilia mawasiliano ya watu kupitia Mtandao huo kisha watatoa taarifa pamoja na kufungua kesi za uhalifu wa mtandaoni kwa kila mtu atakayechapisha ujumbe wenye utata.

Kwa upande wa makundi Sogozi, Sheria hii mpya inaonesha kuwa iwapo ujumbe utakuwa na alama moja ya tick itakuwa na maana Ujumbe husika umepelekwa.
  • Alama mbili za bluu kumaanisha Ujumbe umesomwa.
  • Alama tatu za bluu kumaanisha Serikali imechukua note ya ujumbe.
  • Alama mbili za bluu na moja nyekundu kumaanisha Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
  • Moja ya bluu na mbili nyekundu kumaanisha Serikali inachunguza taarifa yako.
  • Alama tatu za nyekundu kumaanisha Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa mahakama hivi karibuni.
Ukweli wa Madai haya upoje?
Ufuatiliaji wa JamiiCheck kupitia vyanzo vyake vya kuaminika umebaini kuwa suala hili halina ukweli.

Aidha, JamiiCheck imefahamishwa pia na Kampuni ya Meta kuwa taarifa hii ni Uzushi hivyo watu wanapaswa kuipuuza.
Mabadiliko ya Sheria Mpya za Mawasiliano kwenye WhatsApp na* Simu za WhatsApp Audio na Video.
Ambazo Zinatarajia kuanza Kesho Ijumaa.

Zifuatazo ni Sheria Zenyewe

1 👉🏿 Mawasiliano Yote Yatarekodiwa

2 👉🏿 Nakala za Rekodi za Mawasiliano Zitahifadhiwa.

3 👉🏿 Mitandao yote ya Kijamii WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram na Mingine Yote Itafuatiliwa.

4 👉🏿 Vifaa vyako vitakuwa vinaunganishwa kwenye Mfumo wa Wizara Ya Habari na Mawasiliano

5 👉🏿 Usitume Machapisho ama Video Mbaya Kuhusu Siasa au Hali ya Sasa dhidi ya Serikali.

6 👉🏿 Waambie Watoto wako, wa Jirani yako, wa Ndugu yako,
Ndugu zako,Jamaa, Marafiki na Watu unaowafahamu Kwamba
Wanapaswa Kuwa Makini na Mitandao ya Kijamii.

7 👉🏿 Jitahidi Sana Usitume Ujumbe Mbaya kwa Mtu yeyote.

8 👉🏿 Kwa Sasa ni Kosa Kuandika au kutuma Ujumbe Mbaya Kuhusu suala lolote la Kisiasa ama Kidini.
Ukifanya Hivyo unaweza Kukamatwa bila ya Waranti.

9 👉🏿 Polisi watatoa taalifa kisha kufungua kesi za Uhalifu wa Mtandaoni, ambayo ni Jambo Serious.

10 👉🏿 Tafadhari Usitume Ujumbe Mbaya na kila Mtu atambue hili na pia achukue Tahadhari juu ya Mada.

11 👉🏿 Wanachama wote wa Kikundi (Group)
Waendeshaji (Maadmin) Tafadhari Fikilia Kuhusu suala Hili.
Kwa Kuwa Makini na Yeyote kwenye Kikundi (Group)

Wawezeshaji wa Vikundi (Group) (Maadmin)
Zifuatazo ni Sheria Mpya za WhatsApp kwa Wanachama (Groups Members) wa Vikundi

⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa

⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.

⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa

⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe

⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.

⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.

⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.
 
WhatsApp inamaana hauna one bu one encryption!? Au sera yao imebadilika kwenye security
 
Nimepita group moja ya WhatsApp nimekutana na hii post. Je ina ukweli ndani yake. Je ina maana privacy/end-to-end enryption hakuna tena?

Hii hapa👇

Hapa kuna mabadiliko muhimu kuhusu sheria mpya za mawasiliano kwenye WhatsApp na simu za WhatsApp (simu za sauti na video) ambazo zitatekelezwa kuanzia kesho: -

01. Mawasiliano yote yatarekodiwa.
02. Nakala za rekodi za mawasiliano zitahifadhiwa.
03. WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram na mitandao mingine ya kijamii itafuatiliwa.
04. Vifaa vyako vitakuwa vinaunganishwa kwenye mfumo wa Wizara.
05. Jihadhari usitume ujumbe mbaya kwa mtu yeyote.
06. Waambie watoto wako, ndugu zako, jamaa, marafiki, na watu unaowafahamu kwamba wanapaswa kuwa makini na wachache kwenye mitandao ya kijamii.
07. Usitume machapisho au video mbaya dhidi ya serikali kuhusu siasa au hali ya sasa.
08. Kwa sasa ni kosa kuandika au kutuma ujumbe mbaya kuhusu suala lolote la kisiasa au kidini, kufanya hivyo kunaweza kusababisha kukamatwa bila waranti.
09. Polisi watatoa taarifa, kisha kufungua kesi za uhalifu wa mtandaoni, ambayo ni jambo serious.
10. Wanachama wote wa kikundi, waendeshaji tafadhali fikiria suala hili.
11. Jihadhari usitume ujumbe mbaya na kila mtu ajue na achukue tahadhari ya mada.

Kuwa makini na yote kwenye kikundi...

Taarifa muhimu kuhusu sheria mpya za WhatsApp kwa wanachama wa kikundi...

1. ✔ = Ujumbe umepelekwa.
2. ✔✔ = Ujumbe umefika.
3. Alama mbili za bluu ✔️✔️ = Ujumbe umesomwa.
4. Alama tatu za bluu ✔️✔️✔️ = Serikali imechukua note ya ujumbe.
5. Alama mbili za bluu ✔️✔️ na moja nyekundu ✔️ = Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
6. Moja ya bluu ✔️ na mbili nyekundu ✔️✔️ = Serikali inachunguza taarifa yako.
7. Alama tatu za nyekundu ✔✔✔ = Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa mahakama hivi karibuni.

Kuwa raia mwema na shiriki na marafiki zako...
 
This is FAKE. Terms za privacy za WhatsApp hazijabilika na still feature ya end-to-end encryption ipo. Ingekuwa kweli META wangeshatoa taarifa kwa users wake through changes in T&Cs of use ambapo mtumiaji ungezikubali kwanza ili uendelee kutumia.

Nakumbuka such message circulated two years back na ilithibitishwa kuwa fake.
 
4. Alama tatu za bluu ✔️✔️✔️ = Serikali imechukua note ya ujumbe.
5. Alama mbili za bluu ✔️✔️ na moja nyekundu ✔️ = Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.
6. Moja ya bluu ✔️ na mbili nyekundu ✔️✔️ = Serikali inachunguza taarifa yako.
7. Alama tatu za nyekundu ✔✔✔ = Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa mahakama hivi karibuni.
Dah 😂😂😂
 
⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.

:AwkwardFlushed:
 
Habari ya Muda Huu,

Ndugu yangu naomba uniazime Macho na Muda wako kwaajili ya hili ninaloliandika Kuhusu Usalama Mitandaoni..

Mabadiliko ya Sheria Mpya za Mawasiliano kwenye WhatsApp na Simu za WhatsApp Audio na Video.
Ambazo Zinatarajia kuanza Kesho Ijumaa.

Zifuatazo ni Sheria Zenyewe

1 👉🏿 Mawasiliano Yote Yatarekodiwa

2 👉🏿 Nakala za Rekodi za Mawasiliano Zitahifadhiwa.

3 👉🏿 Mitandao yote ya Kijamii WhatsApp, Facebook, Twitter, Instagram na Mingine Yote Itafuatiliwa.

4 👉🏿 Vifaa vyako vitakuwa vinaunganishwa kwenye Mfumo wa Wizara Ya Habari na Mawasiliano

5 👉🏿 Usitume Machapisho ama Video Mbaya Kuhusu Siasa au Hali ya Sasa dhidi ya Serikali.

6 👉🏿 Waambie Watoto wako, wa Jirani yako, wa Ndugu yako,
Ndugu zako,Jamaa, Marafiki na Watu unaowafahamu Kwamba
Wanapaswa Kuwa Makini na Mitandao ya Kijamii.

7 👉🏿 Jitahidi Sana Usitume Ujumbe Mbaya kwa Mtu yeyote.

8 👉🏿 Kwa Sasa ni Kosa Kuandika au kutuma Ujumbe Mbaya Kuhusu suala lolote la Kisiasa ama Kidini.
Ukifanya Hivyo unaweza Kukamatwa bila ya Waranti.

9 👉🏿 Polisi watatoa taalifa kisha kufungua kesi za Uhalifu wa Mtandaoni, ambayo ni Jambo Serious.

10 👉🏿 Tafadhari Usitume Ujumbe Mbaya na kila Mtu atambue hili na pia achukue Tahadhari juu ya Mada.

11 👉🏿 Wanachama wote wa Kikundi (Group)
Waendeshaji (Maadmin) Tafadhari Fikilia Kuhusu suala Hili.
Kwa Kuwa Makini na Yeyote kwenye Kikundi (Group)

Wawezeshaji wa Vikundi (Group) (Maadmin)
Zifuatazo ni Sheria Mpya za WhatsApp kwa Wanachama (Groups Members) wa Vikundi

⚫ Ukiona alama hii ✔️ maana yake Ujumbe Umepokelewa

⚫ ✔️✔️ Maana yake Ujumbe Umefika.

⚫ Alama ✔️✔️ za buluu
Maana yake Ujumbe Umesomwa

⚫ Alama✔️✔️✔️ za buluu
Maana yake Serikali imechukua Note ya Ujumbe

⚫ Ukiona alama mbili za buluu✔️✔️ na Nyekundu Moja ✔️
Maana yake Serikali inaweza kuchukua hatua dhidi yako.

⚫ Ukiona alama moja✔️ ya buluu na Nyekundu Mbili✔️✔️
Maana yake Serikali inachunguza Taalifa Yako.

⚫ Ukiona alama Tatu Nyekundu✔️✔️✔️
Maana yake Serikali imeanza kuchukua hatua dhidi yako na utapata wito wa Mahakama punde.

Tafadhari Ndugu Yangu
Kuwa Raia Mwema na Ipende Nchi Yako 🇹🇿

✍️ machafuko 🙏🇹🇿💪🔰💪
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom