patience96
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,353
- 568
- introduction,
- theme,
- Reverence,
- Comprehensiveness,
- suggestions &
- Conclusion.
- theme,
- Reverence,
- Comprehensiveness,
- suggestions &
- Conclusion.
Hivi ndo anayofanya. Baada ya kupokea mabillioni toka kwa wahisani, kwa maana wao ndo wenye nchi
ndo maana unaambiwa alizaliwa bila kichwa ila hawa hawa madaktari wanaogoma leo wakajitahidi kutengeneza nazi na kumpa km kichwa tukionacho leo
Acha kuhadaa umma wewe. Mponda ni doctor by profession. Amefanya kazi IHRI na utendaji wake hauna mfano. Fuatilia tafiti zake uone naongelea nini.
ndo maana unaambiwa alizaliwa bila kichwa ila hawa hawa madaktari wanaogoma leo wakajitahidi kutengeneza nazi na kumpa km kichwa tukionacho leo
mkuu naomba upate ajali ifikishwe pale moi ndio utaelewa huu mgomo una athari.wanataka juice na picha ikulu hawa.subiri tu utasikia tunataka kumuona rais
Na nyie msituchoshe! Kama vipi jifukuzisheni kazi kabisa ili tujue hatuna madaktari. Sitaki nataka kibaooooooooo!
tamko limekaa kisiasa hakuna hoja hapa
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii
Na nyie msituchoshe! Kama vipi jifukuzisheni kazi kabisa ili tujue hatuna madaktari. Sitaki nataka kibaooooooooo!
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii
daktari feki ulimboka anaongoza watu wenye akili timamu wameshindwa kujitambua,hatari sana hii
Jitu zima hvyoooo wivu tu unakusumbua! Unafikiri hata wakiacha kazi ndo utaajiriwa wewe na hcho ki diploma chako in medicine(CO) ACHA KUCHANGIA KAMA HUNA HOJA IDIOT MWITA