Mtumishi Wetu
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 5,712
- 1,906
Kwani vipi Mwita25 nani hakujui, hii wewe na serikali yako imewabana sawa sawa kuivua hii ni kazi pole!!!!!!!!! Msijifarague tekelezeni matakwa ya madaktari meupushe vifo vya watu wanyonge!!!!!!!Na nyie msituchoshe! Kama vipi jifukuzisheni kazi kabisa ili tujue hatuna madaktari. Sitaki nataka kibaooooooooo!