Ulukolokwitanga
JF-Expert Member
- Sep 18, 2010
- 8,396
- 7,968
Wewe inaelekea ni Polisi unaficha udhaifu wako. Fuatilia vizuri ni matukio mangapi ya uhalifu huko New York kwako ambayo huwa yanapotezewa bila kufuatiliwa kama wanavyofanya polisi wa huku, then fuatilia ni polisi wangapi huko New York wanapokea rushwa, then fuatilia polisi wanaoshirikiana na wezi huko ndo uje uwasifie hawa polisi wenzako ambao ni irresponsible na lazyWe unaonge pumba gani? Kuna nchi zenye police imara kama Marekani, Uingereza na nyinezo zilizoendelea! Lakini kiwango cha uhalifu kwa saa moja ndani ya Newyork kikoje? mauaji yakoje? inamaana nao hawawajibiki? Polisi hawezi kuwa kila mahala kwa kila tukio unless wawe wanapiga ramli! wahalifu nao ni wajanja! wa disclose information ni sisi raia wema sio kila kitu kitazuilika!