Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu waongoze kudai mabadiliko / mageuzi

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,319
24,220
VIJANA WA TANZANIA KUANZISHA JUKWAA LAO HURU, NDIYO JIBU LA KUPATA NAFASI YA KUSHIRIKISHWA KTK NGAZI YA MAAMUZI KITAIFA

Duniani ni vijana wa vyuo vikuu ndiyo wanaoongoza kuchagiza mageuzi

Historia inaonesha mara baada ya uhuru wa kwanza kupatikana ktk mtaifa mbalimbalii iwe kwa mtutu wa bunduki au maandamano ya kuondoa wakoloni, baadaye kulifuatia msuguano wa wananchi wenyewe kwa wenyewe kwa kutoridhishwa na wale waliochukua utawala toka kwa wakoloni.

Sababu mbalimbali zilizua msuguano ktk nchi huru kama udiktekta, tawala kamdamizi ya chama kimoja, utawala mbovu, ubaguzi wa kielimu mfano mtoto aliyesoma shule za kata / st. Kayumba anadanganywa kuwa akihitimu chuo kikuu atakuwa na nafasi sawa na mwenzake aliyesoma St. Mary's akamaliza elimu ya chuo kikuu pia anayekimanya kiingereza / kispaniola vizuri zaidi na wajomba wake wapo ktk nafasi za kiutawala n.k

Vijana wengi pamoja na umasikini wa familia zao wanashawishiwa kwenda vyuo vikuu kwa kuchukua mikopo wakiwa na matumaini ambayo ni hadaa kuwa kwa kumaliza elimu ya juu watakuwa sawa na wale watoto wa tabaka la watawala anasema kiogozi wa vuguvugu la wanafunzi wa chuo kikuu wa Chile kamanda Gabriel Boric mwaka 2017.

Hapo ndipo Wanafunzi waliopo ktk nchi kama Sudan, Chile, Cuba, Afrika ya Kusini, Kenya walishiriki kudai mageuzi ili kuondokana na tawala zilizomgoa mkoloni.

Tanzania vijana hawajishughulishi kuhoji mambo yasiyowaridhishs wananchi kama matumizi mabaya ya kodi za wananchi, tozo ziluxokifu wananchi, demokrasia kubinywa, katiba kandamizi n.k

Chile nchi iliyo na kiongozi kijana Gabriel Boric ambaye ndiye rais kijana kabisa wa kuchaguliwa amezaliwa 11 February 1986 ambaye alichukua madaraka ya urais tarehe 11 March 2022 baada ya kushinda uchaguzi mkuu nchini Chile tarehe 19 December 2021 kwa kupata asilimia 60% ktk uchaguzi wa urais.

Gabriel Boric on the Chilean student movement 14 June 2017

Gabriel Boric on the Chilean Student Movement

Likes
59,554
Views
2017
14 Jun
In a presentation at the School of Public Policy on June 7, 2017; Gabriel Boric offers a historical perspective and reflects on lessons learned. He focuses especially on the role of social movements in a well-developed democracy and provides insights on how to sustain collective action over an extended period of time. He speaks also about his transition from being a member of a political movement to being a member of Parliament. Gabriel Boric is a Chilean parliamentarian, and a former leader of the national student movement. He was the president of the Student Federation of the Universidad de Chile, one of the most important student unions in the country. Boric currently represents the Magallanes and Antarctic Region in Chile’s Chamber of Deputies. He was elected as an independent candidate and is not associated with either one of the two political coalitions that have traditionally dominated politics in Chile. Source:

Department of Public Policy at CEU​

Mwanafunzi wa chuo kikuu toka familia masikini anazama ktk mkondo wa madeni ya fedha za mkopo wa elimu ya juu huku akiwa na matumaini potofu ya kupata ajira au kuwepo mazingira hewa ya kujiajiri.


Vijana vyuo vikuu na mijini pia vijijini badala ya kumezwa na ukiritimba wa UVCCM na ahadi kuwa ni viongozi wa kesho huku watoto wa vigogo wa CCM wanapewa nafasi sasa na siyo kesho wanatakiwa kuunda chombo chao kipya cha kutambulika kama mdau muhimu anayehitaji kuonekana katika majukwaa ya siasa pia ktk vituo vya redio, televisheni na mitandao ya kijamii kuchagiza mabadiliko na mageuzi ikiwemo pia kupewa nafasi nje ya mfumo wa vyama ili wagombee nafasi za kuchaguliwa na wananchi.


Gabriel Boric - The 100 Most Influential People of 2022 - TIME

time.com › collection › gabriel-boric

gabriel boric presidente from time.com
23 May 2022 · He is making Chile the social, economic, and political laboratory of the world once again. Stiglitz is a Nobel Prize–winning economist
 
Mkuu kwa kizazi hiki. Lecturer akiwa strict akatunga zile paper tight kama za miaka ya nyuma. Out 500. Supp ni 400. Hiki kizazi kupata Think Tanks wa Mageuzi ni ngumu mnooo. Akili ziko kwenye SEX tu.
 
Kwa sasa vyuoni wamejaa kizazi kilichoanza darasa la kwanza wakiwa na miaka 6, siyo aki na sisi tulioanza la kwanza na miaka 10, hadi unaingia chuo ni njemba mpaka lecture akiingia darasani anaongea kwa heshima maana akizingua minjemba inasimama juu ya meza.
 
Ila mkuu sio kwa Vijana wa Tanzania wanaopenda kubet, Simba na yanga, Diamond na Ali kiba, ngono , Dawa za nguvu za kiume , pombe , kumiliki wanawake wengi, kumiliki wanaume wengi, wapenda habari za umbea kuliko habari za maana , wasio taka kujishughulisha na Mambo magumu yatakayo changamsha zaidi ubongo wao Ila wanapenda mambo mepesi, machawa n.k.

# Tanzania tuna wahitimu wa chuo kikuu na wala sio wasomi wa chuo kikuu wa kupigania mageuzi.
 
Matumaini ya kuteuliwa katika kinachoitwa 'mkeka' ukiwa wewe ni mwanachama wa UVCCM imewapofusha vijana wengi.

Muda sasa umefika wajiondoe ktk mfumo huu jinamizi unaowalemaza vijana ambao unawaweka pembeni wasiweze kufanya maamuzi na kubakia watazamaji waimba mapambio na kusifu wazee wa CCM

16 December 2021
Dar es Salaam, Tanzania

Tazama Nguvu Ya UVCCM Kwenye Mkutano Mkuu Wa Umoja Wa Vijana | Tawi La DIT _ Dar es Salaam Tanzania

 
Hujakutana na wa El Salvador, Nayib Bukere. Sikumbuki kati ya Bukere na Boric ni nani aliacha chuo alikuwa anasoma sheria ila wote walikuwa wanaharakati vijana. Bukere ana miaka 41 na alichaguliwa kutokea chama kipya ambayo ilikuwa mara ya kwanza nchini humo president kutoka nje ya vyama viwili dominant.

Huyu Bukere ni mkorofi kafunga almost 5% ya wanaume wote nchini kwake ila last time I checked alipunguza kiwango cha uhalifu kwa 40%. El Salvador ni nchi ina magenge sana kama Haiti, anapambana nayo kwa nguvu nyingi ila ana approval rating kubwa kwake ingawa sio mfuata sheria kivile
TQU4JMEZVFHK3AHSAMABMZE2IA.jpg


Chuo kuna maUVCCM vilaza kupindukia na kila ninayeongea nae anataka kuwa mkuu wa wilaya au mbunge. Ukikutana na wanaosoma PR, HR, Political Science na sijui social nini nini wote wanataka kuwa wanasiasa. Kwa sirisiri idadi ya vijana wanaotaka kuwa wanasiana ni over 20% ya population nzima na wote hawana nia njema.

Nyinyi mliokuwepo mapema ndio mmesababisha hali hii
 
20 December 2016

Mbunge Sixtus Mapunda kuhusu hoja mbalimbali pamoja na urais uwe miaka 6 badala ya miaka 5

 

Young Castro​

The Making of a Revolutionary​

By Jonathan M. Hansen
Fidel Castro in Washington
l
Fidel Castro

This intimate, revisionist portrait of Fidel Castro, showing how an unlikely young Cuban led his country in revolution and transfixed the world, is “sure to become the standard on Castro’s early life” (Publishers Weekly).

Until now, biographers have treated Castro’s life like prosecutors, scouring his past for evidence to convict a person they don’t like or don’t understand. Young Castro challenges us to put aside the caricature of a bearded, cigar-munching, anti-American hothead to discover how Castro became the dictator who acted as a thorn in the side of US presidents for nearly half a century.

In this “gripping and edifying narrative…Hansen brings imposing research and notable erudition” (Booklist) to Castro’s early life, showing Castro getting his toughness from a father who survived Spain’s class system and colonial wars to become one of the most successful independent plantation owners in Cuba. We see a boy running around that plantation more comfortable playing with the children of his father’s laborers than his own classmates at elite boarding schools in Santiago de Cuba and Havana. We discover a young man who writes flowery love letters from prison and contemplates the meaning of life, a gregarious soul attentive to the needs of strangers but often indifferent to the needs of his own family. These pages show a liberal democrat who admires FDR’s New Deal policies and is skeptical of communism, but is also hostile to American imperialism. They show an audacious militant who stages a reckless attack on a military barracks but is canny about building an army of resisters. In short, Young Castro reveals a complex man.

The first American historian in a generation to gain access to the Castro archives in Havana, Jonathan Hansen was able to secure cooperation from Castro’s family and closest confidants. He gained access to hundreds of never-before-seen letters and interviewed people he was the first to ask for their impressions of the man. The result is a nuanced and penetrating portrait of a man at once brilliant, arrogant, bold, vulnerable, and all too human: a man who, having grown up on an island that felt like a colonial cage, was compelled to lead his country to independence
 
20.08 2022

Tundu Lissu : Kwanini wengine wanaweza kupambana kudai mabadiliko na mageuzi, lakini Tanzania imefeli kupata viongozi wa kijamii kuongoza mapambano ya mageuzi




Viongozi wa vyama vya wanafunzi wanaweza kuongoza watu wengine sawasawa na viongozi wa vikundi vingine ktk jamii, kuamsha watu wengine wote kuwaelekeza mamilioni ya raia kupambania wanachotaka

Vikundi vya kijamii kama vyama vya madaktari, mawakili ushirika wa wakulima, ushirika wa wavuvi, chamber ya wafanyabiashara n.k n.k ndiyo hutoa viongozi wa kuwaelemisha umma mkubwa ulete mabadiliko
Source : mubashara studio
 
20.08 2022

Tundu Lissu : Kwanini wengine wanaweza kupambana kudai mabadiliko na mageuzi, lakini Tanzania imefeli kupata viongozi wa kijamii kuongoza mapambano ya mageuzi




Viongozi wa vyama vya wanafunzi wanaweza kuongoza watu wengine sawasawa na viongozi wa vikundi vingine ktk jamii, kuamsha watu wengine wote kuwaelekeza mamilioni ya raia kupambania wanachotaka

Vikundi vya kijamii kama vyama vya madaktari, mawakili ushirika wa wakulima, ushirika wa wavuvi, chamber ya wafanyabiashara n.k n.k ndiyo hutoa viongozi wa kuwaelemisha umma mkubwa ulete mabadiliko
Source : mubashara studio

Nimemsikiliza Tundu na nakubaliana nae kuhusu sisi watanzania isipokuwa issue ya uwoga/ujasiri hakuipa uzito unaostahili. Watu wanaumizwa lakini hawapazi sauti wanagugumia tu.
Kwa vijana kuna tatizo la kutaka kuwa kwenye uwanda ambao mambo yatakuwa rahisi hivyo huunga juhudi kwa urahisi.
 
21 August 2022
WASOMI : TOZO MPYA YA BENKI NI BATILI

Chukulia mfano wa mwanafunzi anayepewa mkopo na bodi (Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu) kuanzia sasa atakatwa tozo ya Serikali hiyohiyo iliyomkopesha kabla hajaanza kuitumia. Kumbuka atakapomaliza chuo atatakiwa kuulipa ukiwa na riba yake. Yaani unakatwa kodi wakati mkopo uliopewa haujauzalisha ukapata faida yoyote sanasana wanakupunguzia kiasi unachoweza kutumia. Sasa hivi hata fedha za sadaka zitatozwa hii tozo, kumbuka wao huwa hawalipi kodi kama ilivyo kwa wanafunzi,” alisema Zena.
Source : www.mwananchi.co.tz
 
"The core of rebellion are the Universities... The Universities have been to this nation what wooden horses were for Trojans"

(Thomas Hobbes on the English Civil War)
 
Naunga mkono hoja. Ni wazi kundi hili limekosa nguvu, Umoja ndio silaha pekee, Kikundi cha waendesha bodaboda kina nguvu kifursa na kiushawishi kuliko wahitimu wa vyuo vikuu. Mgombea Urais, Ubunge utasikia nataka kukutana na vijana wa bodaboda, wanaenda kupeana fursa na mipango ya kuwezeshana. Kula keki ya taifa pamoja.

Tusaidie jamii na Wazazi wetu waliopoteza fedha nyingi kutusomesha, tujisaidie wenyewe, tusaidie pia wadogo zetu.

Mfano, Tuna tatizo la mitaala ya elimu. Hili ni jambo nyeti sana na wakulisemea vizuri ni wasomi wa vyuo vikuu, tunaendelea kupoteza muda, fedha na dira ya maisha ya vijana wengi kwa elimu ambayo imepitwa na wakati. Wasomi tuamke!! Umoja ni nguvu.
 
Mabadiliko ya lazima huletwa na watu ambao hawana cha kupoteza....hawa wasomi huwa wanawaza future yao kwanza
Mabadiliko ya lazima huletwa na watu ambao hawana cha kupoteza.

Hawa wasomi huwa wanawaza future yao kwanza.

Mzizi wa tatizo TZ unaanzia hapo.
 
Mabadiliko ya lazima huletwa na watu ambao hawana cha kupoteza.

Hawa wasomi huwa wanawaza future yao kwanza.

Mzizi wa tatizo TZ unaanzia hapo.
Ubinafsi unatutafuna hata huyo hoehae mtaani anafamilia inamsubiri alete unga jioni na dagaa. Nani huyo hana kabisa cha kupoteza in real sense?
 
01 November 2022
Bungeni
Dodoma, Tanzania

Mbunge - Mwanafunzi O Level point 7 pia apiga point za kutosha A level akosa mkopo HESLB, Mbunge acharuka na kusababisha kikao kughairishwa


Bunge limeahirisha shughuli zake kwa muda ili kujadili hoja ya wanafunzi waliofaulu vizuri kukosa mkopo ya elimu ya juu ambayo iliyotolewa na Mbunge wa Biharamulo (CCM) Ezra Chiwelesa. Mbunge huyo ametoa hoja hiyo ya dharura baada ya Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson kuruhusu ijadiliwa bungeni leo Jumanne Novemba Mosi,2022. Chiwelesa amesema juzi walimuona Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda akisema kamati aliyoiunda kuchunguza mikopo hiyo lakini imekosa ushirikiano.
Source : mwananchi digital
 
Back
Top Bottom