wanambeep kamanda Ahmed Msangi! wanahamu ya kupelekwa mapwepande eeh! Piga hao mburula
Daaaaaah !
Natamani ningekuwepooo yaaani
Hali sio nzuri maduka mengi ya wafanyabiashara yamefungwa na kwa sasa ni mabomu ya machozi yanalipuliwa.
kumetulia kidogo? kuna bidhaa natakiwa kuja kuichukua ili kesho isafirishweNipo maeneo ya Kariakoo muda huu, Polisi weshaanza kulipua mabomu, kuzuia waislamu wanaotaka kuandamana kushinikiza kuachiwa kwa dhamana Sheikh Ponda. Kwa hiyo tahadhari kwa watu mnaokuja maeneo ya Kariakoo muda huu, muwe waangilifu, maana hali si shwari saana!!
Mimi binafsi nnafanya biashara kariakoo tumeshafunga maduka kila mmoja anatafuta ustaarabu wake wa kwenda nyumbani.Hal hii ya fujo za kila mara ikiachwa ikaendelea itadidimiza uchumi wetu pia ukizingatia kariakoo ndio kitovu kikubwa cha biashara nchini.Fujo hazijengi zinabomoa,na fujo hizi ni kati ya waislam wanaotaka kuachiwa kwa shekhPonda.