Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ciril, Feb 15, 2013.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #1
  Feb 15, 2013
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,625
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Hali sio nzuri maduka mengi ya wafanyabiashara yamefungwa na kwa sasa ni mabomu ya machozi yanalipuliwa.

  Polisi imepambana na watu wanaodaiwa ni waumini wa Kiislam walioandamana maeneo ya Kariakoo kudai dhamana ya Sheikh Issa Ponda
   
 2. w

  wikolo JF-Expert Member

  #2
  Feb 15, 2013
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 800
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo nini mkuu? Au ndo yale maandamano ya kwenda kwa DPP?
   
 3. KIJOME

  KIJOME JF-Expert Member

  #3
  Feb 15, 2013
  Joined: Jun 7, 2012
  Messages: 3,062
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Salamu jukwaa,
  kuna tetesi mapambano yanaendelea kariakoo kati ya waandamanaji na polis,walioko pande hizo fuatilieni mtujuze tafadhali.....
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  Feb 15, 2013
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,052
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 48
  Kuna nini tena?
   
 5. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #5
  Feb 15, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Endelea kutupa updates!!!!
   
 6. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #6
  Feb 15, 2013
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,625
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 38
  Mimi binafsi nnafanya biashara kariakoo tumeshafunga maduka kila mmoja anatafuta ustaarabu wake wa kwenda nyumbani.Hal hii ya fujo za kila mara ikiachwa ikaendelea itadidimiza uchumi wetu pia ukizingatia kariakoo ndio kitovu kikubwa cha biashara nchini.Fujo hazijengi zinabomoa,na fujo hizi ni kati ya waislam wanaotaka kuachiwa kwa shekhPonda.
   
 7. panyabuku

  panyabuku Senior Member

  #7
  Feb 15, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duuuh...ngoja nigeuzie hapa magomeni maana wale wa mabakabaka hawachelewi kwenda huko.
   
 8. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2013
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunaomba updates
   
 9. La Biblicana

  La Biblicana JF-Expert Member

  #9
  Feb 15, 2013
  Joined: Jan 1, 2013
  Messages: 490
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna maana mwanaume wa kupambana na kina Marwa, labda uniambie kuna wahuni wanaiba bidhaa za watu na polisi wanawakimbiza, hapo nitaelewa
   
 10. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #10
  Feb 15, 2013
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 4,292
  Likes Received: 150
  Trophy Points: 63
  Nipo maeneo ya Kariakoo muda huu, Polisi weshaanza kulipua mabomu, kuzuia waislamu wanaotaka kuandamana kushinikiza kuachiwa kwa dhamana Sheikh Ponda. Kwa hiyo tahadhari kwa watu mnaokuja maeneo ya Kariakoo muda huu, muwe waangilifu, maana hali si shwari saana!!
   
 11. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #11
  Feb 15, 2013
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  daasa tulilikosa kweli.
   
 12. Almeda

  Almeda Senior Member

  #12
  Feb 15, 2013
  Joined: Jan 24, 2013
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kwa taarifa mkuu
   
 13. christine ibrahim

  christine ibrahim JF-Expert Member

  #13
  Feb 15, 2013
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 10,493
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 48
  dah!hawa watu ni wabishi, si waliambiwa,waache lakini mbona hivyo
   
 14. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #14
  Feb 15, 2013
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 1,045
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 38
  Sasa si wanatoka kila kona sasa hayo mabomu yatatosha
   
 15. Obama wa Bongo

  Obama wa Bongo JF-Expert Member

  #15
  Feb 15, 2013
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 3,923
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 48
  hakuna maandamano!
   
 16. A

  Aika Mndumii JF-Expert Member

  #16
  Feb 15, 2013
  Joined: Jan 19, 2013
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Tunashukuru sana kwa taarifa mkuu. Waangalie pia wasije wakaangukiwa ni vitu vizito au vyenye incha kali.
   
 17. Myakubanga

  Myakubanga JF Bronze Member

  #17
  Feb 15, 2013
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,675
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 38
  Let me reserve my comment!
   
 18. R

  Rene Senior Member

  #18
  Feb 15, 2013
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu nafikiri yatatosha maana Kova alishajipanga ipasavyo na kuomba aongezewe vifaa
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Feb 15, 2013
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 12,951
  Likes Received: 311
  Trophy Points: 83
  hao jamaa ilibidi waunganishwe wote kwenye kesi ya Ponda, inaonekana ellshabab masalia hao.!!!
   
 20. S

  Seif al Islam JF-Expert Member

  #20
  Feb 15, 2013
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,962
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  kabisa mkuu nchii hii huwa vinawaangukiaga watu
   
Thread Status:
Not open for further replies.

Share This Page