Maandamano ya Waislam: Polisi waanza kulipua mabomu ya machozi maeneo ya Kariakoo!

Status
Not open for further replies.
wanambeep kamanda Ahmed Msangi! wanahamu ya kupelekwa mapwepande eeh! Piga hao mburula
 
Aliye karibu na maeneo hayo atujuze, kulikoni na niakina nani wanao andamana,na kwasababu gani wanaandamana, wenda wanahoja za msingi.
 
Binafsi nilikua nakuja huko imebidi nishukie hapa usalama,fukuzia mbali kabisa hao wafia dini wa miaka hii.
 
Nipo maeneo ya Kariakoo muda huu, Polisi weshaanza kulipua mabomu, kuzuia waislamu wanaotaka kuandamana kushinikiza kuachiwa kwa dhamana Sheikh Ponda. Kwa hiyo tahadhari kwa watu mnaokuja maeneo ya Kariakoo muda huu, muwe waangilifu, maana hali si shwari saana!!
kumetulia kidogo? kuna bidhaa natakiwa kuja kuichukua ili kesho isafirishwe
 
Mimi binafsi nnafanya biashara kariakoo tumeshafunga maduka kila mmoja anatafuta ustaarabu wake wa kwenda nyumbani.Hal hii ya fujo za kila mara ikiachwa ikaendelea itadidimiza uchumi wetu pia ukizingatia kariakoo ndio kitovu kikubwa cha biashara nchini.Fujo hazijengi zinabomoa,na fujo hizi ni kati ya waislam wanaotaka kuachiwa kwa shekhPonda.

hao ni wahuni wachache wasiokuwa na kazi wanaojifanya dini wanazijua.
 
Serikali ya Dhaifu kazi kweli kweli! Anavuna alichopanda! aliwatumia 2010 kuingia ikulu.
 
Huku mjini(Posta) askari wametapakaa kila mahali, naona pia kuna wananchi wanaoandamana kwa makundi kuelekea Ikulu.
 
Wamevaa kanzu jamaa au wamezivua kuweka mfuko wa rambo ili wasijulikane??takbiiirrrrrrrrrrrrrr!!!! Kova fanya kazi yako kisayansi!!! HIVI KIKWETE ALIWAHAIDI NINI HAWA WATU 2010????
 
sasa hivi ITV inatagaza kwamba kuna maadamano ya waislam hu dar, wana jf mliopo hapo da ebu tujulisheni
 
Watu wengine bwana kusikia kwao hadi waone mabomu .Polisi chalaza fimbo hao, kamateni wote na muwaweke sero hadi jumatatu watakuwa wamejitambau kwani wamezidi .
 
Ni lazima waislamu waandamane kwani mkuu wa magogoni ni mwenzao ktk imani . Ila ingekuwa ni chadema ungesikia Nepi, muguru na wengine wanavyo ropoka hovyo kama wamekunywa mkojo wa nguruwe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom