Sharp lady
Senior Member
- Feb 23, 2011
- 129
- 13
I wish ningekuwepo huko tujumuike pamoja. Nawatakia kila la kheri mlioko huko kindly jitokezeni kuunga mkono maandamano hayo.
Yuko njiani anapelekwa Mirembe.........Hivi huyu faiza fox ndo nani? Manake nashangaa kuona kila ki2 anabisha. Hata vya wazi. F*** kabisa.

Kutokana na kuchoka na hali ngumu inayoendelea hapa Tanzania, ndugu zatu wanaoishi USA wameandaa maandamano ambayo yatakuwa ya amani kupinga utawala mbovu wa JK hasa baada ya kushindwa kuwachukulia hatua masfidi hapa nchi.

Hii ni sehemu ya maandalizi hayo kama yalivyoandikwa na ELIAKIM MALLYA.

Tunaandaa maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubali kushiriki kwenye maandamano hayo. Tunataka watu wengi zaidi kujitokeza. Hii ni kumshinikiza huyu fisadi papa na mzururaji kushugulikia matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yatahitimishwa na kupokelewa na viongozikutoka United States Department. Tayari tumetuma maombi kupinga misaada marekani inayopa Tanzania, kwani hayasaidii Jamii bali Kikwete na genge lake la majambazi

Wote mnakaribishwa karibishwa. Maandamano ya Amani yanaruhusiwa marekani ilimradi mtu hajavunja sheria nchini. Ukiwa na makaratasi yako, njoo tulikomboe taifa letu. Ukombozi wa TANZANIA upo mikononi mwetu. Mabango yanachapishwa tarehe 24, Tunaomba mawazo tofauti kuhusu ujumbe tutakaobeba kwenye mabango yetu. Tumechoka na Kikwete, dawa nikuanza maandamano.Tupo tayari kufa sasa. Tunisia iliokolewa na watu tu kama sisi, tukifa bahati mbaya vizazi vijavyo vitafaidi. Tafadhali sambaza ujumbe. Tutatoa tamko rasmi ya maandalizi tarehe 20 mwenzi huu Ukitaka kushiriki tuma barua pepe EliakimMallya@yahoo.com

Raia wa kawaida anayo haki ya kumfanya Kikwete Anyimwe VISA. Kwa Kupinga Ujio wa Kikwete, au yeye kunyimwa VISA tumeni emails nyingi iwezekanavyo kwenda East African Affairs Bureau. Email Adress wiegertjr@state.gov
Ufisadi wake ni kwa kuwa yeye Muislaam. Ufisadi wenu hata kodi mpaka mmelazimishwa kulipa, miaka yote hata kodi ya serikali mlikuwa mnaiba. Sasa nyinyi wachaga hata kodi basi hamtaki kulipa halafu mnajidai mnaipenda nchi yenu? mnanshangaza!

Badilisha hiyo, sema "naunga" usitusemee, wengine hatuungi mkono kabisa.

maneno mengi lakini utakalazaji zero. Au mnataka kama yale yanayoendelea Uingereza.

Hakuna lolote zaidi ya kutaka kuleta shari nchini mwenu. Kwanza malizeni yale ya Arusha kwanza kabla kufikiria mengine.

Hakuna haja ya kwenda kwenye jukwaa la lugha mkuu? Naona saa hizi spelling unkosoa hapa hapa. Jamaa kwa majivuno ni hatari, Mungu angekupa na ufahamu mmhh!!!
In the U.S we're protected by the first amendment just to let you know.
\Nyie sio watanzania , nyie ni wamarekani , shughulikieni kwanza matatizo ya uchumi ya nchi yenu. Hamuoni nchi yenu inavyo didimia sasa

JK Ndio Rais wa Tanzania na anafanya kazi kwa bidii sana kuhakikisha wote tunaenda shule bila kubaguwana, anahakikisha barabara zote zinapitika bila kubaguwana, anahakikisha Mtwara, Tanga, Kigoma, Tabora, barabara zinafika na maisha yanaboreshwa.

Anahakikisha kuwa sehemu zote zilizoachwa nyuma ki maendeleo kwa makusudi kabisa zinazifikia zile zilizo pendelewa kwa haraka sana.
Tunapanga maandamano ya amani jijini Washington DC Rais Kikwete atakapowasili kwenye kikao cha DICOTA 2011. Tayari watu 150 wamekubasli kushiriki.Hii kumshinikiza kushugulikia swala la ufisadi na matatizo yanayowakabili wananchi wa kawaida. Maandamano yetu yataishia STATE DEPARTMENT. Naye apate Aibu, kwa kucheza na maisha ya watu, na kuiaca familia yake ikoroge nchi yetu. Ridhiwani anamilika robo ya uchumi wa Tanzania? Kwani Tanzania ni Tunisia....Ukitaka kushiriki tuma barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com
Tayari watu 974 wamesha confirm kujumuika katika maandamano haya ya amani....Jamani tuendeleeni, kushirikiana tumuaibishe huyu msanii , mtalii Vasco Dagama a.k.a Dr. Livingstone hadi atoke madarakani. Kadhalika tumeni barua pepe pamoja na malalamiko kwa wingi kwenda wiegertjr@state.gov ili kupinga Vasco Dagama kupewa VISA na wapambe wake. Ifahamike kwamba mimi siyo mwana CHADEMA wengine wanavyodai. Mimi ni mwana UVCCM tena ngazi ya Juu, lakini Kikwete hakufaa kuwa Rais, ndo maana Watanzania wanaumia. Mapinduzi yanakuja. Wasio na makaratasi, tunachoomba ni sala zenu tu. Watu wanaongezeka sana. Tayari tumefikisha watu 512 ambao wapo marekani ki halali na wako tayari kujiunga nasi kwa ajili ya haya mapinduzi
UPDATE
Habari njema ni kwamba, kuna familia moja ya kitajiri ambayo ina interest kubwa Tanzania na wanashangaa kuona taifa letu linavyodidimia. Kwa maana hiyo, wamejitolea kulipia mabango, pamoja na mabasi sita.
1. Basi 2 yataanzia NY (Ni ya watu wa Boston, NY, Long-Island, NJ etc...)
2. Yanayotokea Ohio (Ohio, Maryland, Pensylvania, Michigani etc..)
3. MaBasi ya mwisho yatatokea Atlanta Georgia (Texas, Virginia, Florida, Alabama,Kansas, etc..)
Tukielekea mwisho wa mwezi huu, tutawapa ratiba kamili ya maandamano, yatakayoanzia sehemu"maalum" kuendelea kwenye Ukumbo wa DICOTA, Ubalozini , hoteli atakayofikia FISADI Kikwete na kumalizikia STATE DEPARTMENT. Tutakesha hotelini, chakula kitakuwepo na huduma zote muhimu pia zitakuwepo. Tuko pamoja hadi kieleweki. Mimi ni mwana CCM toka UVCCM lakini naapa ya Kwamba TUMECHOKA na JK. Tunamsubiri Marekani, hata kama ni miaka miwili tunamsubiri, wadhamani wapo kutusaidia. Wanaotaka Kujiunga kwenye maandamano, tumeni barua pepe kwenda eliakimmallya@yahoo.com
Kadhalika, tumeni malalamiko mengi iwezekanavyo kwenda wiegertjr@state.gov Ili kikwete na wapambe wake wanyimwe VISA, kwani serikali ya marekani haiwezi kutoa VISA mtu yeyote anapowekewa petition. Jamani msiogope, huu ni wakati wa ukombozi. Mimi nimefika hapa mwezi sasa, nipo uhamishoni hadi kieleweke.
Tumemtumia Yule Dada Kipenzi cha Watanzania Lisa Rockerfeller kuwa Mzungumzaji mkuu. tunasubiria majibu toka kwake
TUUNGANE FACEBOOK PROTEST AGAINST KIKWETE

Kupinga Kikwete na kutokuona anayoyafanya, ni udini wa waziwazi wala haupingiki.

Niambie ni Rais gani aliyetengeneza Kilomita 11,300 za barabara za lami tokea mkolonni, nyerere, mwinyi na mkapa?