MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 868
- 331
Ukianza kumchuna ng'ombe lazima umalize na mkia. Thread kibao zilimwagwa humo JF kwamba kuna watu eti wenye uchungu na Tanzania wamejipanga kumdhalilisha Rais Kikwete akifika Washington DC kwa kuwa ameshindwa kutawala nchi, nikawa mmoja wa wapingaji wa thread hizo na kuthubutu kusema haiwezekani. Sasa suala hilo liliishaje?
Walisha kamilisha kazi yao. wewe huna taarifa tu kwa kuwa unategemea TBC1