Maandamano ya CHADEMA Jiji la Mbeya-Picha na Matukio

All in all, na as a matter of fact ni kwamba hiyo njia maandamano yalipopita hakuna msikiti hata mmoja kulia wala kushoto, at least I dare to say so! Mtatoana macho bure na hadithi za kufikirika

Ni kweli hakuna au unataka kuzima tu huu mjadala ? mie na uhakika ipo misikiti na makanisa
 
Sizimi mjadala na sina sababu ya kufanya hivyo bali naongea kitu nnachokifahamu inside out, wewe kama unaufahamu msikiti au kanisa njia hiyo tutajie basi. Huu utaratibu wa ku-create stories from the air umekuwa maarufu sana siku hizi hapa JF! Sasa kwa nini watu mtwke kuparurana kwa kitu kisicho-exist? Zaidi zaidi ni kwamba hilo eneo lina baa kama 200 hivi.
 
mbona misikiti inapiga makelele na vipaza sauiti saa kumi alfajiri watu wamelala, wagonjwa wamepumzika na wengine wenye imani zao wakiwa wanasali majumbani mwao kimya kimya na hivyo kusumbuliwa.... mbona hatusemi

kumbe humu jf majuha wengi kwelikweli. sasa suala la adhana na ibada za asubuhi limeingia vipi hapa. wewe ni juhaa uliyekubuhu, kudadadeki wee!!!!!!!!!!!
 
Masikini tanzania inateketea kwa udini....ee mungu tunusuru na hili balaa

wewe mwehu, alichokisema thinktwice ni kitu ambacho hakihusiani na hicho unachikisema. sijui tafsiri yako ya udini iko vp? Hili ni suala la msingi ndo maana wakristo wengi walidemand uchaguzi kutofanyika siku ya j2. na ukiangalia ni kweli, ni haki ya msingi ya kila mwanajamii. thinktwice ametoa pendekezo na kwa mwanasiasa anayejua siasa pendekezo lake lina mashiko kwa sababu chadema kuna waislam na muda wa saa 6 mpaka 7 wa siku ya ijuumaa ni muda wa ibada achilia mbali saa 7 ya siku za kawaida. sasa basi ili isiwakose wanachama wake waislaam wangeyafanya yakawa saa 8 mchana.
si kweli kwamba eti rpc ndiyo anapanga muda, muda unapangwa na kamati ya maandalizi...
 
Hii ni point muhimu sana kwa Chadema hususan katika kujivua gamba la udini..

Na ni lazima kukumbuka kuwa hii ni lazima iwekwe wazi katika katiba yenu kuhusu freedom of warship na sio freedom of believe.

Kwenye red hapo mkuu! inabidi uwekeze kidogo kwenye lugha, hela unayoendea net na kuja kupost upupu humu nenda kasomee English Course
 
CDM katu haitakaa ichukue madaraka ya kuiongoza nchi hii, hata utimilifu wa dahali!
Should that happen (God Forbid). Kila mtu anoe panga lake. Maana kwa mwenendo, maneno na vitendo vyao, CDM ni wabaguzi wa kidini.!
 
Mods tunaomba mtuwekee na kitufe cha kujambisha humu. kuna watu humu wanahitaji kusturiwa kidogo.
 
CDM katu haitakaa ichukue madaraka ya kuiongoza nchi hii, hata utimilifu wa dahali!
Should that happen (God Forbid). Kila mtu anoe panga lake. Maana kwa mwenendo, maneno na vitendo vyao, CDM ni wabaguzi wa kidini.!

Wanajisumbua tu cdm, siku ya wakishika nchi tutamalizana kwa ubaguzi na udini.du!

Wataanza kufuta adhana kwanza hatimaye kufunga jela masheikh

Tuombe cdm iishie kuwa chama lalamishi (complain side) wanafaa sana huko.
 
Yaani thread hii imejaa stupid response than ever. Ukisoma comments na lengo la yule aliyepost basi kazi ya kuikomboa Tanzania si rahisi. Jamaa ameomba na wao wapate fursa ya kuhudhuria. Watu wameng'ang'ania kipoint cha kelele tu. Hivi wanasahau kuwa hao waislam walipiga kura 2010 na watapiga kura 2015. Hivi ni ujumbe gani mnaowapelekea? Mwanakijiji aliwahi kusema, CDM wajisafishe kwenye hili, lakini wao wamekaa wanafanya masihara. Wakishtuka itakuwa 2015 na sumu inayoenezwa hapa itakuwa imeshaenea. Kama ni gamba halitavulika. Waislam waliopiga kura 2010, wanaweza kuamua vinginevyo maana imani ni kitu sensitive. Yaani watukanwe weeee halafu mwisho wa siku wanaombwa kura! Ohh
 
Hapo kwenye RED kwahiyo unataka kutuaminisha kwamba Mwanakijiji amekabidhiwa jukumu la kufikiri kwa niaba ya Watanzania? kwahiyo kila maoni ya mwanakijiji yeye yuko sahihi, au Mwanakijiji yupo kwenye level ya Malaika? ni mzigo mzito kuwa na wananchi wenye akili fupi za viwango hivi kwenye nchi.
 
Kwenye red hapo mkuu! inabidi uwekeze kidogo kwenye lugha, hela unayoendea net na kuja kupost upupu humu nenda kasomee English Course

Si unajuwa tena mie sio lugha yangu ya asili hiyo ni lugha ngeni kwangu kama kilivyo kiswahili kwani lugha ya asili kwangu ni KIARABU.

Lakini nahisi ujumbe uliupata na kujua nilikusudia kusema nini.

Akhsantum
 
Ningependa kuona CHADEMA wanaheshimu uhuru wa wenzao kuabudu.

Lakini pia ningependa tuone kwamba imamu anavyoadhini na kutupigia kelele tusioamini naye anatakiwa kuheshimu uhuru wetu wa kutoamini.

Uhuru wa kuamini hauna maana kama haujumuishi uhuru wa kutoamini. Ukitaka kutosumbuliwa kwanza jiangalie wewe mwenyewe usiwe msumbufu.

And the same goes to the churches and their bells too.

Kama unaruhusu makanisa na misikiti kupiga kelele then huna basis ya kukataza wanasiasa wasipige kelele. Kama hutaki kelele kataza kelele across the board.
 
Huo ni ushauri wa muhimu sana. Hata ss waislamu tunayataman sana hayo maandamano
 
Hii ni point muhimu sana kwa Chadema hususan katika kujivua gamba la udini..

Na ni lazima kukumbuka kuwa hii ni lazima iwekwe wazi katika katiba yenu kuhusu freedom of warship na sio freedom of believe.

Wewe ni gaidi ....War-Ship na Worship havifanani!

Tekibir
 
Wanajisumbua tu cdm, siku ya wakishika nchi tutamalizana kwa ubaguzi na udini.du!

Wataanza kufuta adhana kwanza hatimaye kufunga jela masheikh

Tuombe cdm iishie kuwa chama lalamishi (complain side) wanafaa sana huko.

Ombeni Mungu kwani dalili za mvua ni mawingu.
 
Ndio maana mie siku zote huwa nasema wafuasi na wanachama wa CDM akili zao ni fupi sana mnapinga. Kwa mujibu wa taratibu za kiislamu adhana ni miongoni mwa ibada zao, wala sio kelele. Mkuu jielimishe acha bla bla

kwenu ni ibada kwa wengine ni kelele
 
Mpiga kelele anakataza kelele?

Back
Top Bottom