Bablii
Senior Member
- Apr 19, 2008
- 109
- 16
Kitu pekee kinachonifanya niichukuie CHADEMA ni chuki za wanachama wake (hasa wahapa JF) juu ya uislam. Wanachuki za wazi wazi, hawathubutu kuficha hata chembe. Sina hakika kwamba ndio ajenda hasa ya CHADEMA, kwani yanayohubiriwa na viongozi wao ni tofauti sana na haya wanayoyaabudu wana CHADEMA wa JF.
Mada ilikuwa wazi, kwa faida na ustawi wa chadema. Mtoa mada aliamini kwamba CHADEMA ni chama cha wasiokuwa na dini na wenye dini zao, wakiwemo waislam. Kwa bahati mbaya siku ya Ijumaa (muda husika) ambayo CHADEMA waliweka maandamano uliwanyima fursa wanachama, wapenzi na washabiki wa CHADEMA ambao pia ni sehemu ya chama hicho, lakini pia maandamano hayo yalipita kwenye nyumba za ibada (miskiti) ambapo yalisababisha usumbufu kwa waumini hao. Kama haitoshi, mtoa mada akatoa ufumbuzi: Kama itawezekana muda mwengine ijaribu kuyapeleka mbele kidogo (iwe saa 8) mchana kwani utakuwa ni muda muafaka kwa watu waimani hiyo kushiriki maandamano hayo, pia haitoleta bubza misikitini. Mada ilikuwa hiyo simple but clear!
Cha ajabu wakristo wa CHADEMA wameshindwa kuzuia chuki zao dhidi ya uislam, wakaona ndio sehemu ya kutapika waliyonayo moyoni. Wengine wakatoa mfano wa Tunisia wanaadamana ijumaa, lakini hakusema wanaandamana baada ya swala au kabla ya swala ya ijumaa?! Mwengine anasema adhana ya alfajiri inawakera! Kwa hiyo CHADEMA kimefanya hivyo kuwalipizia waislama? Hakuna excuse katika hili, nikukubali tulipokosea, CHADEMA haikuzingatia umuhimu wa waislam katika hili, na sababu kubwa ni kwamba pengine kamati iliyohusika kupanga maandamano hayo ilikuwa inawakristo watupu (linawezekana sana kwa chadema), hivyo hawakupata mtu wakuwakumbusha hilo!
Kama kweli maoni ya Wanachama wa CHADEMA hapa JF ndio yanawakilisha CHADEMA yenyewe (sababu hawa ndio great thinkers wao) basi, sina doubt CHADEMA ni anti-muslim... Inawezekana kimaandishi haipo hivyo lakini kutoka nyoyoni mwao iko hivyo!