Tuandamane
JF-Expert Member
- Feb 2, 2008
- 1,220
- 52
Wasalaam wote,
Napenda kuanzisha muamko wa maandamano sasa haya maneno hayatasaidia hata siku moja, maana wao wanamajibu wanayoyataka pindi wanapoulizwa maswali magumu, tuweke UDINI pembeni jamani, tuweke ubishi pembeni sasa.. naomba sasa tuanzishe makakati wa maandamano.. tuwe serios, hatuwezikuendelea kuishi hivi
· je unafurahia bei za bidhaa zinavopanda kiholela?
· Je unapenda unavopata shida mahospitalini ukienda (hospt a serikali)
· Je unaupenda usafiri wa daladala uliopo hapa sasa hivi huku watu wakifanay uhuni kwny UDA?
· Je unapenda kukaa makazi yasio bora tena kwa kupanga kwa bei kubwa huku nyumba za taifa (NHC) ziliwa zinaaiwa kwa wenypesa kubwa na ndugu wa viongozi
· Je unapenda bei za umeme na huduma mbovu zinazotolewa na mamlaka husika
· Je unapenda kutumia maju unayo nunua 800 dumu tena ya chumvi na machafu

- je unapenda bunge linavoacha kushugulikia mambo yanayolihusu taifa na kumjadili JAIRO kwasbb tu ni rafiki wa kikwete
- je unapenda unavolipa mamilioni kwa ajili ya ada ya mwanao wa chekechea kwashule za binafsi au kukosa elimu kabisa kwa shule za serikali
STRATEGY:
1.Ku establish organising committee ya watu bold na strong katika kila mji mkuu wa Mkoa na Wilaya
2. Kazi mojawapo ya kamati hiyo ni kuandaa matangazo kwa kutumia media ambayo itawafikia wananchi wote kwa urahisi kwa mfano kutafuta gari la matangazo lenye uwezo mkubwa. Hii ni pamoja na kuandaa posters zenye ujumbe utakao mgusa kila atakayesoma na kumpa ujasiri wa kushiriki.
3. Kuandaa key figures za ku address wananchi na ku launch maandamano yatakayo malizika kwa mkutano mkubwa
4. Kutengeneza bajeti na kufanya fund raising kwa ajili ya maandalizi ya hayo maandamano