TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,817
- 3,141
Wanajamvi kichwa cha habari chajieleza
CHADEMA walianza maandamano ya amani kuishinikiza serikali kupunguza makali ya maisha kwa wananchi tarehe 24.01.2024
Hali ya sasa inayoendelea nchini ni kama maandamano hayo yamezidi kuchochea hali mbaya na yanaonyesha hayana tija yoyote zaidi ya kuleta usumbufu kwa wananchi
Nchi inapita wakati mgumu wa kukosa
1. Sukari
2. Umeme
3. Maji
4. Dola
5. Mfumuko wa bei
Je, maandamano hayo ni usanii na dhihaka kwa wananchi?