dullyhami
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 560
- 147
mie naenda sana Unguja, manenoi haya utayakuta sana Pemba ila cha AJABU sana Unguja upuuiz huu hawataki kuusikia, hata huko Pemba utakuta kwa wananchi wa kawaida sana ila watu walioenda shule hawakubaliani sana na hoja zao ila hadharani wanaitikia maana wanakuambia la sivyo mtakuwa maadui wa kudumu.
Mie ni muumini wa serikali tatu naamini la sivyo maneno na chokochoko hizi hazitakwisha kabisa
bado upo kweny usingizi to toro,hivi kwan zile takwimu za Warioba ni za upande wa Pemba tu? me nahisi bado Watanganyika wengi wanaendeleza fitna na kasumba za babu wa Taifa lenu, hamitaki kubadilika wala hamuongei kwa hoja madhubuti, hiku ni kuonesha jins gani munavyoshindwa kuutetea Muungano haramu ambao kwa upande wenu munahisi ni Uasi kwa Zanzibar kudai Mamalaka kamili, lakini tunawaambia hay a sio maoni ya Pemba wala Unguja, ni matakwa ya kila Mzanzibar anayeijali heshma na utu wake!! na wimbi hili daima halizuiliki kwa Propaganda za cijukuu vya Nyerere, Watanganyika wenziwe!!!