Maalim Seif: Tunataka Zanzibar yetu!

Kaka hayo ni mawazo binafsi ya Maalim seifu,sasa chama cha cuf kifutwe kwasababu kinaukataa mungano,kwanini kisifutwe chama cha CCM kwa kung'ang'ania mungano usio na mwelekeo kwa pande zote mbili,je na chadema nacho kifutwe kwa kuwa na sera ya serikali tatu

waswahili wanasema wenye nguvu wape hapa utaona kisiasa CCM wako peke yao kwa huu msimamo wao wa mungano,kwa mantiki hiyo CCM cdio chama kinachotakiwa kifutwe

tendwa hayupo tena wewe

muungano sio biblia upande mmoja ukiona hauna maslahi nao unajitoa...huu ni mkataba wa kimataifa na unatambuliwa hivyo.'
hata nyerere japo kwa shingo upande alisema kama wazanzibar wakikataa kuwamo ndani ya muungano hatawapiga vita,
muungano umeeumiza sana zanzibar....imefika mahali lazima sasa tukae tujadili kitu chenye mshiko
 
Sarakasi zote za CCM zidi ya muungano na mchakato wa katiba mpya breki yake ya mwisho ni kwa MAALIM SEIF SHARRIF yeye ndo kashikiria turufu ya mwisho ya maamuzi kwa masrahi ya wazanzibari. Ikumbukwe kuwa baada ya maridhiano ya zanzibar kuunda SUK makamu wa kwanza wa Rais atajumuishwa kwenye utiaji sahihi ktk mikataba yenye masrahi ya watu wa Zanzibar.
Nawashangaa sana CCM wanapokomalia Muungano wa serkali mbili ilhali Seif anapingana na hilo na wakati huohuo yeye ni part&parcel ktk utiaji sahihi wa makubaliano ya muungano.
Je, Seif atahongwa na ccm? watamuua? au atavunja muungano kwa maana ya kugoma kusign?
Patamu hapo, tuendelee kusubiri!
 
Lazima ana shida ya uelewa wa kuzania tanganyika wana - hitaji sana zanzibar?
 
CCM haijielewi wala haijitambui wazanzibari wanataka nchi yao wapeni mmeng'ang'ania kama mlizaliwa nao kila mtu katoka kwny tumbo la mamake nchi tumezikuta nadhan wazanzibari wangekuwa bara na CCM wangekua kisiwani kwa wanavyoangalia maslahi wangefutilia mbali muungano baada ya kifo cha baba wa taifa.

leo watu wanataka nchi yao unawalazimisha eti CCM kama CCM imesimamia serikali mbili tu mbadai hayo anayosema Maalim Seif ni kero ndogo zitarekebishwa kwa miaka yote hamsini mmekaa kmya na hata hii hoja ya katiba mpya ni ya CDM kwani CCM kwenye sera yao ya chama haikuwepo kwasabab waliridhika na hali ilivyo leo ndio wanaziona kero watuondolee uharo hapa wapen wazanzibari nchi yao majumba walojenga huko yatakuwa yao tu kwanini maccm mabinafsi hivyo??

na ninyi wazanzibari kwanini mnakimbilia kuwaua na kuwamwagia tindikali mapadre chanzo cha hali ngumu ya maisha yenu ni hawa maccm kamateni hao mdeal nao watarud kudiscuss upya
 
muungano hauwezi kufa kwa hoja za kitoto unazozitoa huku jf, wewe mwanakijiji hauko tanzania, huna uchungu wowote na tanzania, mi nawashangaa sana watu wanaoyakubali mawazo yako, . muungano ni kwa ajili ya maslahi ya wote bara na visiwani, hatuwezi kuwa na serikali tatu haitakaa itokee tanzania hii..trust me ,serikali ni either moja au mbili tu

we ---- kweli yan unaona wenzio wanavyohangaika kulilia hakia yao unawapuuza subiri walianzishe utayakumbuka haya maneno maslahi gani wanapata wazanzibari kwann msiwape wanachohitaji ile ni nchi.

ila hata sudan kusini na kaskazin ilikuwa hivi hivi mwisho wa siku kila mtu akafa na chake tena ile ni nchi moja waligawana sembuse zanzibar ambayo ina rais wake
 
angalia hata kwenye pesa karume yupo kwny miambili tu lakin nyerere wamempamba kwny noti zote huu ni udhalilishaj wa wazanzibari wanataka nchi yao wapeni
 
Adui wa Zanzibar huru ni CCM. Wazanzibari ikataeni CCM na uhuru wenu uko kwenye sahani ya dhahabu.
 
Mbona tumewapa kila njia ya kuweza kupata Zanzibar huru; tunachowaambia ni kuwa hatutaki muungano wa mkataba. Watoke kwanza wakishatoka (watoke kabisa na kutangaza kuwa huru) halafu waone kama tutaitisha kura ya maoni Tanganyika ya kujua kama tunataka muungano wa mkataba.
Mzee Mwankijiji,

First let us remove our army camps from Zanzibar and you will see kama hii Jingbaris hapana kuwa free. Lekin wewe hiyo maneno sema wewe hapo juu onesa kuwa wewe taka Tanganyika yako lekin ogopa sema wewe mwenyewe sababu wewe iko kujuwa kama taona ile naitwa joto ya jiwe so wewe taka wao semee wewe.
So wewe sikilia tuu Jingbaris vunja muungano basi ondoa ile kambi jeshi kule nyumbani yao maana maka mingi sisi tawala wao chagulia viongozi sio taka wao. Baadae sisi toa jeshi piga wao uwa wao.

Basi wewe taka hivyo na sisi rudisha kwanza Tanganyika yetu onesa two partners ya Union yote iko pale mezani nazungumza vunja or rekebisa.

Jingbaris ingia partnership na Tanganyika in this Union, haikungia kataba yoyote na Tanzania you have to understand this. The trick that Tanganyika used against Zanzibar since 1964 is to hide herself behind Tanzania so as to deprive Zanzibar of re-negoting partner and power.

This what Nyerere willingly and knowingly did and snatched Zanzibar of her nation hood. This is stealing by deceit and it is a crime in any court of law. So don't get angry when Jingbaris they hate 'Mwalimu'.
 
Last edited by a moderator:
ZANZIBERI, kamata ccm wote chinjaondoangozi tupa baharini mtapata nchi yenu huru. Fanyeni mapinduzi ya kuiondoa ccm tu vinginevyo mtaendelea kutawaliwa na mkoloni ccm.
 
Zoezi zima la katiba kwa upande wa Zanzibar halina maana.Znz ina katiba yake hivyo tulitakiwa kujadili katiba yetu na muungano ambao tunautaka.
Katiba ya Tanzania kinadharia ni katiba ya Tanganyika. Muungano makubaliano yake yanajulikana kama article of union.
Ilitakiwa tujadili vitu vyote vitatu
Mkataba wa muungamo
Katiba ya zanzibar
Katiba ya tanzania ambayo ndio ya muungano.
Kuhusu article za muungano kila katiba izitambue.hivi sasa ukweli ni kwamba only tanganyika walizitambua na kuzingiza ndani ya katiba yao na kuigeuza jina kuwa ya Tz.
Zanzibar hawakuingiza kwenye katiba yao.
Hii katiba ya Tz haitumiki znz na inaendana kinyume kabisa na katiba ya znz.
Tulikosea kukubali kushiriki kujadili katiba ambayo kimsingi inashughulika ma Tanganyika.
Ni katiba isiyoheshimu haki za msingi za waislam kwa na mahakama ya kadhi.
Sisi znz mahakama hio tunayo na inatambuliwa na katiba.huku suala la majakama likitajwa kuwa la muungano.
Muungano huu ni wa kichama zaidi . Tanu na ASP na sasa CCM ndio wao wanaumiliki muungano huu.
Huu bado haujawa muungano wa watu wa nchi mbili.
Hivyo kinachotakiwa kwenye hii katiba mpya ni kujadili
1.maoni hayo yalio pita ili kupata katiba ya tanganyika
2.Kujadili articles za muungano
3.Na mwisho kujadili mfumo wa muungano.
Viwili vya mwanzo vitaingizwa ndani ya katiba mbili za tanganyika na znz na kupigiwa kura ya maoni na la tatu watlulizwe wananchi kwa kura ya maoni wana taka aina gani ya muungano.
Masuala yawe ama moja ,mbili au tatu.
Baada ya kupata muwafaka wa katiba mbili za tanganyika na znz ndio tupate katiba mpya ya muungano ambao wananchi watakua wamechagua
Nachelea kusema kuwa tatizo kubwa la huu mungano ambao kisheria za kimataifa si halali ni kuwa upande mmoja wa chama vhenye muungamo unaona kuwa unaumiliki upande mwengine.na upande mwengine wao wanaona bila muungano basi watapoteza ulwa wao wa kisiasa.
Muungano umekua kama mkasa wa mke na mume na yule mume kama alie wekewa libwata basi kajisahau hakumbuki wazee wala watoto yeye kila kitu mi bibie tu.
 
Huyu ni Mpemba na wapemba hawatakiwi Unguja na hawapendwi hili liko wazi so wauguja ndio hawataki kuvunja muungano ni wapemba tu... na wamanga..

Kumbe Watanganyika ndio wamezuia uchimbaji wa mafuta Zanzibar duh Sijalijua hili!!!!

Wewe wapemba ni mabwana zako wapo sio unguja tu balii wamejaa Tanganyika na mabinti zenu wamewekwa kinyumba ndogo kibaoo na kuzalishwa na bao baro wa kipemba.heshimu mabwana wa dada zako
 
Wewe wapemba ni mabwana zako wapo sio unguja tu balii wamejaa Tanganyika na mabinti zenu wamewekwa kinyumba ndogo kibaoo na kuzalishwa na bao baro wa kipemba.heshimu mabwana wa dada zako
Mkuu naona unajibu kama vile umetokea chooni kutoa haja kubwa... kama ungekuwa unajua asili ya watu huko visiwani ungenyamaza kimya... kuliko kuita ni mabwana wa Dada zetu.. hata mimi nina Demu wa kizenji na siwezi waita hivyo...
 
Maalimu kashindwa kutmaka neno vunja muungano, kuna mbunge gani atakayethubutu?

Unajua baada ya hoja ya Seif ya serikali 3 kudadavuliwa hapa JF alijiona dhalili, sijui iliishia wapi.
Sasa wanataka mkataba. Nakuhakikishia siyo Maalim, Ahmed, Jusa au awaye atakayeweza kutamka hata jambo moja la huo mkataba.

Siri kubwa ya mkataba ni kutaka kujificha nyuma ya mgongo wa Tanganyika.
Maalimu amesema eti bidhaa za ZNZ zinatozwa ushuru zikiingia bara. Alichotaka ni kuwa ziingie ZNZ, SMZ ichukue kodi halafu ziingie bara kama zimetoka Tabora. Kwamba soko la Waarabu lisiwe na kodi huku bara.

Seif anafahamu kuwa soko la ZNZ ni Tanganyika, nje ya muungano ni maumivu.
Tena soko si la biashara, ni pamoja na ardhi. ajira n.k.

Hakuna taifa lolote duniani lililowabeba WZN wengi kama Tanganyika.
Hakuna taifa linaloajiri WZNZ kwa upendeleo kama Tanganyika
Hakuna taifa linalosemesha WZNZ bure kama Tanganyika
Hakuna taifa linalotoa nishati ya bure ZNZ kama Tanganyika.
Hakuna taifa linalogharamia ulinzi na usalama wa ZNZ kama Tanganyika

Ikifika hapo, wote wananywea in fact wanaufyata kutamka neno vunja muungano kama alivyoufyata Seif.
Tanganyika ni ya ajabu sana, tumewabeba hawa watu halafu tunawapa muda wa kucheza msewe mgongoni.
LET THEM GO! Period.

Tanganyika inanufaika na nini na serikali 3 ua mkataba na ZNZ!

Maalim Seif Sharif Hamad Mshirazi, bado unauma maneno tena sana. Toa neno mkataba katika hotuba zako weka neno vunja muungano! hapo tutakuelewa kinyume chake unakula matapisha yale yale.

Mwisho wa mkataba ni Chumbe, baada ya kuvuka hapo nidhamu na adabu mbele!

Umeota au umeoteshwa?
 
Back
Top Bottom