Kaka hayo ni mawazo binafsi ya Maalim seifu,sasa chama cha cuf kifutwe kwasababu kinaukataa mungano,kwanini kisifutwe chama cha CCM kwa kung'ang'ania mungano usio na mwelekeo kwa pande zote mbili,je na chadema nacho kifutwe kwa kuwa na sera ya serikali tatu
waswahili wanasema wenye nguvu wape hapa utaona kisiasa CCM wako peke yao kwa huu msimamo wao wa mungano,kwa mantiki hiyo CCM cdio chama kinachotakiwa kifutwe
muungano hauwezi kufa kwa hoja za kitoto unazozitoa huku jf, wewe mwanakijiji hauko tanzania, huna uchungu wowote na tanzania, mi nawashangaa sana watu wanaoyakubali mawazo yako, . muungano ni kwa ajili ya maslahi ya wote bara na visiwani, hatuwezi kuwa na serikali tatu haitakaa itokee tanzania hii..trust me ,serikali ni either moja au mbili tu
Ameamua kuonyesha uamusho wake hadharani.!
angalia hata kwenye pesa karume yupo kwny miambili tu lakin nyerere wamempamba kwny noti zote huu ni udhalilishaj wa wazanzibari wanataka nchi yao wapeni
Mzee Mwankijiji,Mbona tumewapa kila njia ya kuweza kupata Zanzibar huru; tunachowaambia ni kuwa hatutaki muungano wa mkataba. Watoke kwanza wakishatoka (watoke kabisa na kutangaza kuwa huru) halafu waone kama tutaitisha kura ya maoni Tanganyika ya kujua kama tunataka muungano wa mkataba.
Namshangaa analalamika wakati yeye ni sehemu ya serikali ya zanzibar na ndio wenye maamuzi na zanzibar yao.
Huyu ni Mpemba na wapemba hawatakiwi Unguja na hawapendwi hili liko wazi so wauguja ndio hawataki kuvunja muungano ni wapemba tu... na wamanga..
Kumbe Watanganyika ndio wamezuia uchimbaji wa mafuta Zanzibar duh Sijalijua hili!!!!
Mkuu naona unajibu kama vile umetokea chooni kutoa haja kubwa... kama ungekuwa unajua asili ya watu huko visiwani ungenyamaza kimya... kuliko kuita ni mabwana wa Dada zetu.. hata mimi nina Demu wa kizenji na siwezi waita hivyo...Wewe wapemba ni mabwana zako wapo sio unguja tu balii wamejaa Tanganyika na mabinti zenu wamewekwa kinyumba ndogo kibaoo na kuzalishwa na bao baro wa kipemba.heshimu mabwana wa dada zako
Maalimu kashindwa kutmaka neno vunja muungano, kuna mbunge gani atakayethubutu?
Unajua baada ya hoja ya Seif ya serikali 3 kudadavuliwa hapa JF alijiona dhalili, sijui iliishia wapi.
Sasa wanataka mkataba. Nakuhakikishia siyo Maalim, Ahmed, Jusa au awaye atakayeweza kutamka hata jambo moja la huo mkataba.
Siri kubwa ya mkataba ni kutaka kujificha nyuma ya mgongo wa Tanganyika.
Maalimu amesema eti bidhaa za ZNZ zinatozwa ushuru zikiingia bara. Alichotaka ni kuwa ziingie ZNZ, SMZ ichukue kodi halafu ziingie bara kama zimetoka Tabora. Kwamba soko la Waarabu lisiwe na kodi huku bara.
Seif anafahamu kuwa soko la ZNZ ni Tanganyika, nje ya muungano ni maumivu.
Tena soko si la biashara, ni pamoja na ardhi. ajira n.k.
Hakuna taifa lolote duniani lililowabeba WZN wengi kama Tanganyika.
Hakuna taifa linaloajiri WZNZ kwa upendeleo kama Tanganyika
Hakuna taifa linalosemesha WZNZ bure kama Tanganyika
Hakuna taifa linalotoa nishati ya bure ZNZ kama Tanganyika.
Hakuna taifa linalogharamia ulinzi na usalama wa ZNZ kama Tanganyika
Ikifika hapo, wote wananywea in fact wanaufyata kutamka neno vunja muungano kama alivyoufyata Seif.
Tanganyika ni ya ajabu sana, tumewabeba hawa watu halafu tunawapa muda wa kucheza msewe mgongoni.
LET THEM GO! Period.
Tanganyika inanufaika na nini na serikali 3 ua mkataba na ZNZ!
Maalim Seif Sharif Hamad Mshirazi, bado unauma maneno tena sana. Toa neno mkataba katika hotuba zako weka neno vunja muungano! hapo tutakuelewa kinyume chake unakula matapisha yale yale.
Mwisho wa mkataba ni Chumbe, baada ya kuvuka hapo nidhamu na adabu mbele!