kweli jeshi limeweza, limethubutu na linasonga mbele mambo makubwa tunayaona kwa mara ya kwanza
Unawashwa au! Au unadhani wengine hatuangalii?
Hata kilimanjaro stars walilaaniwa wasifike mbali kwa kuvaa jezi za blue ambazo rangi yake haikuwahi kuwemo kwenye bendera ya Tanganyika au tanzania bara kama wanavyotaka!!!! Kwa kuvaa jezi zenye rangi ya Blue ambayo ni alama ya Zanzibar, waliisaliti nchi yao ya Tanganyika nao wakalaaniwa kutokufika kokote!!Nashindwa kuelewa hizi sherehe za miaka 50 ya uhuru ni za Tanzania au Tanganyika?Kwa nini inapeperushwa bendera ya Tanzania ambayo iliudwa mwaka 1964 badala ya bendera ya Tanganyika ambayo ndo iliyozaliwa mwaka 1961
Pamoja na Kujichekesha chekesha Mweshimiwa El nimemsikitikia kwa jitihada zake za kumpa mkono Jk hakuweza kufanikia kwani Jk alimchunia Live Kitu TBC tizameni TBC marudio hili NAdhani ni Bifu lishaanza tena Bila kificho. Tusubiri tuone Picha litakwendaje.
Na Jeshi letu lishageuka la Kichina na Kung fu za kumwaga huku mtangazaji wa TBC akidanganya eti hizi Mbinu zilitumika kumng'oa Adui Iddi Amini oi
Sasa Tanganyika iko wapi? zanzibar bado iko, mnasherehekea uhuru wa nchi isiyokuwepo!!!!what a joke!!!!Tanganyika ndiyo imefikisha miaka hamsini leo. Tanzania bado haijafikisha miaka 50!