Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

mmejiandaaje na ulinzi hapo uwanjani? Si unajua Al shabab wanachukia mikusanyiko ya kisiasa na wanaweza kulipua hapo?!!!!!
 
watu wameenda huko uwanjani kuchekicheki mademu na kupiga koni za azam sio kingine ndo maana hawataki kuingia uwanjani..
 
Mkuu endelea kutujuza na miaka hamsini ya uhuru ambayo ni aibu kusherekea kutokana na hali tuliyonayo.
 
Hivi nchi kama Marekani wao inakuwaje? Tarehe rasmi ya uhuru wao ni 04th July 1776 na ni states (ukitaka ita nchi ila sio dola) 13 tu zilipata uhuru wakati huo. States (nchi) nyingine zilipata uhuru wao baadaye kama ilivyo Tanganyika na Zanzibar (Unguja na Pemba) lakini hawana chokochoko kama za kwetu. Tunaweza jifunza nini hapa?
 
hiyo sehemu haina jina..au ni dhambi kuitamka..

Si dhambi kuitamka, ni Tanzania Bara! Kwani Wakoloni waliagiza kwamba majina waliyoyaacha tusiyabadilishe? Mbona tulishabadili majina ya Majimbo (Lake Province, Central Province, Eastern Province, etc) na kuwa Mikoa? Hili la Tanganyika mbona linawauma sana?
 
....Mkuu nasikia kuna uwanja umejazwa na vijana wa halaiki tu...ningekuwa na mtoto nisingemruhusu kwenda kupoteza nguvu zake hapo uwanjani..pumbavu!!
 
Hivi nchi kama Marekani wao inakuwaje? Tarehe rasmi ya uhuru wao ni 04th July 1776 na ni states (ukitaka ita nchi ila sio dola) 13 tu zilipata uhuru wakati huo. States (nchi) nyingine zilipata uhuru wao baadaye kama ilivyo Tanganyika na Zanzibar (Unguja na Pemba) lakini hawana chokochoko kama za kwetu. Tunaweza jifunza nini hapa?
Huku kwetu hatujui hata tunataka nini maana ukiwauliza wanaodai Jina Tanganyika mkilipata litatusaidia kujenga barabara, kuondoa umaskini, kuondoa ufisadi, nk au vipi hawana majibu! Wao wanachotaka ni Jina "Tanganyika" tu basi!
 
Sijui turudie mara ngapi, SIYO 50 YA UHURU WA TANZANIA jamani. Pili mmekosa kazi hadi mwende kuuza sura uwanjani??? Vumilieni maumivu wala msituletee lawama hapa. Tatu umeenda na Laptop au Desk top uwanjani? Manake sijaona kama umetumia cell 4n!
 
Umeruka ukuta, unatafuta nini? Uhuru bila Maendeleo ni nini hicho...? Ubatili mtupu. Acha washerehekee wale waliotuibia fedha zetu za Dowans, Rich monduli, IPTL, Deep Green, Kagoda n.k.
 
Nimeipenda hiii,very nyc
0010.gif
0020.gif
0001.gif
0014.gif
0007.gif
0001.gif
0014.gif
0025.gif
0009.gif
0011.gif
0001.gif
0005.gif

0027.gif

 
kwanini sasa hawajaingia .mia

uwanja umejaa. sisi tuliochelewa kufika na hatuna card tumeambiwa twende kuangalizia kwenye tv uwanja mpya. cha ajabu wamepandisha bendera ya JAMUHURI YA MUUNGANO BADALA YA BENDELA YA TANGANYIKA. mia
 
Back
Top Bottom