kimboka one
JF-Expert Member
- Jan 23, 2010
- 734
- 85
hongera Tanganyika.Tanzania utapata lini? Uhuru wako
Halaiki ya watoto 2,400, kati yao, watoto 500 wametokea zanzibar.....Mkuu nasikia kuna uwanja umejazwa na vijana wa halaiki tu...ningekuwa na mtoto nisingemruhusu kwenda kupoteza nguvu zake hapo uwanjani..pumbavu!!
Tanganyika ni koloni la Zanzibar.uwanja umejaa. sisi tuliochelewa kufika na hatuna card tumeambiwa twende kuangalizia kwenye tv uwanja mpya. cha ajabu wamepandisha bendera ya JAMUHURI YA MUUNGANO BADALA YA BENDELA YA TANGANYIKA. mia
maalim seif kasuuzika sana kukaa jukwaani hapomama maria Nyerere yuko alikuwa kijana mdogo wakati wa uhuru