MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
anga la dar linalindima kwa kishindo cha ndege za jeshi haaaaa inatisha utadhani tuko vitani
wakuu hizi zana za kivita ni za kizamani sana. nilitegemea nione magari kama yale ya gaddaf. ni ya kizamani sana. Mia
kwani hivi vifaru ndo mafanikio ya kujitawala au?
Kuweni makini hapo, havikawii kulipuka hivyo.
Kusema la ukweli jeshi letu linaonekana kuwa very 'manual-labor'. Wanatumia nguvu nyingi sana (physical strengh) technology zero. Miaka 50 ya uhuru tunajivunia kurusha ngumi na mateke? Jamani haya mbona na mazoezi ya viungo gym?
Pia msafara wa magari ya kigeni ni jambo la kujivynia? Hakuna kifaa chochote cha kijeshi kimevumbuliwa/kutengenezwa na jeshi letu.
yanapita magari ya UN nayo eti ndo tunajivunia nayo.haahaaa...!!mia
hivyo vifaa sasa, aisee kijesh tupo imara sana, mmeliona hilo daraja la kubebwa?
acha kuwadanganya watu....kampa mkono na wameshake hands vizuri tu...Pamoja na Kujichekesha chekesha Mweshimiwa El nimemsikitikia kwa jitihada zake za kumpa mkono Jk hakuweza kufanikia kwani Jk alimchunia Live Kitu TBC tizameni TBC marudio hili NAdhani ni Bifu lishaanza tena Bila kificho. Tusubiri tuone Picha litakwendaje.
Na Jeshi letu lishageuka la Kichina na Kung fu za kumwaga huku mtangazaji wa TBC akidanganya eti hizi Mbinu zilitumika kumng'oa Adui Iddi Amini oi
Tumethubu, tumeweza, tunasonga mbele kwenye upuuzi wa kasi ziaidi, ari zaidi na nguvu zaidi
ndio tunachoweza kifanya mkuu, mateke na kupasua matofali ya matope kwa ngumi.
Jeshi la kikwere.
Nimekukumbuka ZuzuUnawashwa au! Au unadhani wengine hatuangalii?