Lunyungu apata ajali

Ndugu wana JF
Nimepokea salam zenu za heri kabisa .Jamani nimepona na Mungu ni mwema sana .Niko hai .Najiandaa kurudi Kagera kweney uchaguzi siku chache zijazo .Nimeona makubwa na kweli Mungu mwacheni aitwe Mungu .Ninawashukuru sana sana wana JF .Nina endelea vyema ila nilishikwa na tetemeko kubwa sana moyoni na mwili mzima .

Muzuri kusikia unaendelea vizuri. Ashukuriwe Yesu Mnazareti.
karibu Biharamulo. Tupo katika mikakati ya kulichukua jimbo. guess which party?
 
Hongera mtani kwa "ku cheat death" tunasubiri kwa hamu habari "live" kutoka "Biharamulo"
 
Pole sana mpambanaji.

Lakini swala la kujiuliza chanzo cha ajali ni nini haswa? Maana maeneo ni Bmoyo, usije ukawa umetumiwa kitu kutoka kwa babu!
 
Back
Top Bottom