Lula wa Ndali ushabiki pekee hautoshi tujadili kwa hoja

hakuna forgery yoyote kila kitu ni sahihi, shida ya watanzania ni roho mbaya maana majibu mlioyataka mmepata zaidi ya hapo mnatakanini????, Rais wa Tanzania ni Jakaya Mrisho Kikwete(JK) na first Lady wetu ni Salma Kikwete nakumbusha ifikapo Oktoba 31 2010 chukua shahada yako angalia jina Jakaya weka ndiyo huu ndiyo ushindi ambao unaleta heshima kwa mtanzania acheni porojo!!

huyu hata baba yake akikaa uchi,atamshangilia akisema suti yako baba imekupendeza.
 
FROM PENPALS WEBSITE:

Posted: 16/08/2009, 12:21
Iam a boy aged 20 years living in Arusha Tanzania East Africa iam looking for a girl of any age the one who will love the one to care me. For more about me visit www.novadream.blog.com and my phone number is +255766730256 talk to me and welcome to mt kilimanjaro the highest peak in Africa.
Posted By: nova kambota
Location: United Republic of Tanzania
Email: novakambota@gmail.com

Dah! :glasses-nerdy:, You cant be serious, Naomba tufunge mjadala tusiendelee zaidi ya hapa. MUTU kwa heshima yako nadhani umeridhika. Nakuaminia kwa hoja za msingi nazani hii imeisha.
 
mail
Naamini sijaeleweka kwa maana nachokisema hapa ni kuwa binafsi ni kweli nimesoma seminari nilipohitimu kidato cha nne nikaona niache nikaenda zangu ilboru sekondari kwa ajili ya kidato cha tano na sita kwa sababu niligundua sina wito wa upadre kwa maana si busara kufanya mzaha na Mungu, sasa kama ni kweli Dk slaa alikuwa hana wito angeacha mapema kwa maana kiuongozi ni hatari kuchelewa kufanya maamuzi hasa yanayohusu taifa......................au ndio kusema slaa ni mfano wa kiongozi anayekumbuka kuchomeka chandarua asubuhi?

Hivi kujua ama kutokijua kama una wito huwa kunatokea katika hatua ipi ya kuusaka Upadre? Darasa la saba, Secondary, Seminary kuu, ukiwa Padre?
 
FROM PENPALS WEBSITE:

Posted: 16/08/2009, 12:21
Iam a boy aged 20 years living in Arusha Tanzania East Africa iam looking for a girl of any age the one who will love the one to care me. For more about me visit www.novadream.blog.com and my phone number is +255766730256 talk to me and welcome to mt kilimanjaro the highest peak in Africa.
Posted By: nova kambota
Location: United Republic of Tanzania
Email: novakambota@gmail.com


Duh, CCM ni kokoro kikweli kweli ! Kweli huyu ndiye anayejiita Nova Kambota aliyepitia seminary kwa miaka minne halafu kajiunga na shule ya Ilboru na leo ana jeuri ya kujiita mwanaharakati ! Duh, hujafa hujaumbika !
 
Katika kile kinachoweza kuonekana kwamba CCM imekosa dira, inatapatatapa na iko tayari kwa lolote kumnusuru mgombea wao anayepungua umaarufu kwa kasi. Kinana amewakilisha invoice kutoka wakala wa ndege za serikali kuthibitisha kwamba mama Salma Kikwete hatumii ndege hizo kwa gharama za serikali. Good on him.

Lakini katika kuonyesha kwamba Dr Slaa anawazidi CCM kufikiri zaidi ya mara mia kuhoji kwake kumefungua "a can of worms" Ni aibu na ni wazi Kinana na CCM wamegushi stakabadhi hizo:


1. Namba ya stakabadhi iliyotolewa tarehe 31/08/2010 ni 00868727 na ile risiti iliyotolewa tarehe 14/09/2010 ni 00867609

2. Stakabadhi hizo zinazodaiwa kutoka kwa CEO wa wakala wa ndege za serikali mojawapo inaonyesha USD 15,000/= What the hell is /= on the $$$$$$$$$??? Hiyo si shillingi. Hivyo basi si rahisi ofisi ya CEO ikafanya kosa la kizembe namna hiyo. Ila kwa sababu ni forgery that is why?

3. Huo muhuri wa CEO mbona umekaa kibilikanasi bilikanasi? Siamini kama CEO wa entity kubwa namna hiyo ana muhuri mbovu kiasi hicho.

3. Je wakala wa serikali naye hutoza feza za kigeni kwenye huduma zake?????????????? what a shame and hypocrisy?????


All in all Salma Kikwete ni nani ndani ya CCM mpaka chama chake kiingie gharama kubwa namna hiyo kumsafirisha here and there kipindi hiki cha kampeni??????

Where are we going???????????

Hivi si kila siku JK anarandaranda around the globe kuomba omba, sasa hizi hela za kufanyia mambo haya ya kipumbavu wanatoa wapi?????????????

Siku ya kufa nyani miti yote huteleza , tabia za kukurupuka kutokana na kumwogopa Dr. Slaa madhara yake ndiyo hayooooo, Kinana anawa cost CCM. Good byeeeeeeeee CheCheeM
 
FROM PENPALS WEBSITE:

Posted: 16/08/2009, 12:21
Iam a boy aged 20 years living in Arusha Tanzania East Africa iam looking for a girl of any age the one who will love the one to care me. For more about me visit www.novadream.blog.com and my phone number is +255766730256 talk to me and welcome to mt kilimanjaro the highest peak in Africa.
Posted By: nova kambota
Location: United Republic of Tanzania
Email: novakambota@gmail.com


I am speechless !!
 
Nadhani nimejilizisha maana kwenye thread kule nilisema huyu kijana anaandika upuuzi anatakiwa kupuunzwa ,ila nikaona watu wanaenda nae sambamba ,ok nikaona ngoja awekewe thread yake wanaomjua zaidi watujuze habari zake.
Lakini kama wengi mlivyosema hakustahili kuanzishiwa thread ,nimemkweza kinamna fulani pasipo kustahili .
 
nova kambota.jpg
T
Posted by novakambota in August 15, 2009
"I was born 18yrs ago to my mother, Elizabeth Kombe in Dar Es Saalam, the former capitalcity of Tanzania.
Due to what I have faced throughout my entire life…it is nothing but sheer sorrow.
In it, i have found it rather wise to share with the world…people of all colour, religion and all sort of distinction as far as the eye can go.his is the story of Nova Kambota from Tanzania , East Africa, currently living in the Nothern part of Tanzania…..a city called Arusha.
http://www.novadream.blog.com/
 
Acheni kujadili hiyo takataka jamani tuna mambo mengi ya kujadili humu, sisi tunataka mageuzi ya kweli mwaka huu, tutumie muda mwingi kumnadi Dr. Slaa na siyo hivyo vitoto vilivyovimbiwa ugali wa kifisadi na kutaka kutafuta umaarufu kwenye jukwaa la watu makini. Na mimi nakulaumu MUTU nahisi kama unaagenda ya siri katika kutaka kumpa umaarufu huyo kijana. Watu tunauchungu na nchi yetu na wala hatuna muda wa kupoteza kufikiria mitoto ya kifisadi ambayo haijaexperience shida maishani mmmxxx*****XXXXmmxx
 
Hivi

  • ukishindwa kukubaliana na mzazi wako kwa jambo fulani ni kukosa adabu?
  • kuendelea kuishi na mke au mume hata msiyekubalina kwa mambo ya msingi ni ujasir?
  • Kuhama chama kutokana na kutokubaliana na maamuzi ya chama fulani ni kitendo kizuri au kibaya?

To befair hoja alizosema mkuu zina pande mbili na sio pande moja kama anayooshesha . Alitwakiwa aangalie na upande mwingine wa shilingi na kama mchambuzi alitakiwa waonyeshe watu pande mbili ili wasomaji waamue na sio moja?

Yes inawezekana dr slaa hana msimamo lakini upande mwingine inawezekana dr slaa ni jasiri. kama umesoma semianry ulitakiwa kujua kitendo cha kutoka kwenye upadri sio umamuzi mwepesi. Ulitakiwa kujua kuwa kitenda cha Mkristu kuamua kuachana na ndoa ya kutenganishwa na kifo ni ujasiri vilevle. haya sio maamuzi mepesi.

Ukweli from your angle of view and analysis uko sahihi lakini waambie wasomaji hujaangalia upande mwingine wa shilingi kwa sababu unazozijua

Unayemlaumu na wewe ni wale wewe tu. Huyu kaona kwenye shilingi kuna mwenge wewe umona kwenye shilingi kuna kichwa. Who is right? Who is wrong?
 
Msiweke kabisa link ya blog yake tusije tukapoteza vijana humu! Uzi ufungwe kuanzia mlingoti huu.
 
kwa siku mbili nimesoma thread mbili za nova kambota.

Inaonekana ni kijana ambaye anapenda kuandika na kujihusisha na siasa huku yeye akijiita mwanaharakati.ila kwa maoni yangu mimi naona kama ni kibaraka anayetumiwa na chama fulani.
Sababu za mimi kusema hivi nikuwa badala kuongelea huduma gani serikali imeshindwa kupatia wananchi na kushahauri au kuishinikiza kama anavyojiita "mwanaharakati" yeye hulaumu walio vyama vya upinzani wasio na dola.na hu attack ktk mambo ambayo yeye huona ya msingi lakini si ya msingi ktk kum judge mtu,hutumia irrelevant logic kufikia hitimisho lake,hana fact ku support hitimisho la habari zake.

Mfano:nova anapinga kazi kuu ya upizani kukosoa serikali. The role of an opposition party is to oppose the government by criticizing government policies, suggesting alternatives and keeping the public informed about issues relating to government administration.yeye angependa upinzani ufanye kazi ya kusifia serikali ,kushauri (sio kitu kibaya ni kazi yao) lakini uwezi sema upinzani uache kufanya unakuwa unaua maan nzima ya upinzani kama jina linavyo jitasfiri.

Nova katoa hoja kuwa slaa hana msimamo kwa kuwa aliacha upadri kitu ambacho ni kosa kwa mujibu wa uelewa wake.lakini sidhani kama alikuwa aware kuwa slaa alifuata taratibu zote za vatican na akaruhusiwa kufanya alichofanya.kijan nova akiulizwa unasema ni kosa kwa mujibu wa nini/nani hajatoa majibu mpaka sasa,maana hata kwenye biblia paul anawema angependa tuwe waseja /bachelor kama yeye kwa watakao weza ,ila kuliko kuwaka tamaa ni bora mtu akaoa .kijana kashindwa kutetea tuhuma anazotoa.

Najiuliza who is nova ?kajitambulisha kuwa kasoma seminari kisha irboru ,nikasema shule hizi siku hizi ndio zinatoa product hizi .

Ila ktk blog yake hakuandika sana kuhusu yeye bali kuhusu mama yake anayeumwa kisukari kaandika kama mtu anayetafuta sympathy fulani,rahisi kwa senti za uchaguzi za cha cha familia ya makamba na mkwere kumika.

Inakuwaje ww unajiita mwana harakati huoni lolote baya kwa chama tawala ambacho kiko responsible with all the mess.unaona tatizo liko kwa upinzani wewe ni mwana harakati au kibaraka wa makamba?
Kama mwanaharakati wa kweli tumia bakora hiyo hiyo kwa wote.
Who is real nova? Ladies and gentlemen your 50cents plse

wengi wetu tulikuwa hatuja mnote, baada ya wewe kuhoji ndio tumemnote. Umempandisha chati ya bur na sio kupanda chati kwa kutoa material. Thrtead kama hizi ni kuziacha zijifie kifo cha mende.

Vibaraka wengi kama yeye tumeshawapiga shule hapa, na wengi wao ninaowafahamu personally na wamebadilika. Kumbe walikuwa wakikosa kujitambua. Lakini wanajf wakikuangukia mara moja unajitambua na kuacha utoto.
 
Huyu kijana is naive na amechanganyikiwa. Kama ni Makamba anamlipa, basi hata Makamba ni mpayukaji tu na judgement yake ni unsound.
 
All in ALL ni mwanaharakati ambaye amegundua kwamba watanzania watafanya makosa watakapochaguwa CHADEMA , kwani viongozi wote wa chadema kuanzia juu mpaka chini ni wachafu!! UDINI & UKABILA umejaa ndani ya chama, Ogopa sana kuweka madarakani chama chenye kuvaa magwanda kama sare zao! hivi chadema ni JESHI /CHAMA , Au kikundi cha kumiliki danguro "biilcanas" ?? KUHUSU Hoja ya wapinzani kukosoa serikali! ni kweli kabisa.. inatokea mara nyingi hata kama serikali ikitaka kufanya jambo la maendelea yaan kwa sababu yeye ni mpinzani yeye kazi yake ni kupinga TU!!...

SAY NO TO MCHUNGAJI SLAA VOTE FOR CCM VOTE FOR KIKWETE
 
Huyu ni mtoto mdogo, ambaye ni mjinga, kakulia ktk familia za kifisadi, hebu tuachane nae. Hajui ellipsoid iko vipi.
 
(Njiwa), ulichoandika ni upuuzi, uliza hizo sare zinaashiria nini, CCM ndo wanamtindo wa kuzindua madanguro mzee, unapojudge bila kuuliza, tunakuona kama mjinga fulani.
 
Acheni kujadili hiyo takataka jamani tuna mambo mengi ya kujadili humu, sisi tunataka mageuzi ya kweli mwaka huu, tutumie muda mwingi kumnadi Dr. Slaa na siyo hivyo vitoto vilivyovimbiwa ugali wa kifisadi na kutaka kutafuta umaarufu kwenye jukwaa la watu makini. Na mimi nakulaumu MUTU nahisi kama unaagenda ya siri katika kutaka kumpa umaarufu huyo kijana. Watu tunauchungu na nchi yetu na wala hatuna muda wa kupoteza kufikiria mitoto ya kifisadi ambayo haijaexperience shida maishani mmmxxx*****XXXXmmxx


No mkuu ni kuwa kama nilivyosema ukienda kwenye thread alizoanzisha mimi nilishauri APUUZWE KWA KUWA ANA ANDIKA UPUUZI lakini nikaona watu wako makini sana kumjibu, wengine ambao wanaonekana ndio vinara hapa.Nikasema may be UPUUZI wa huyu kijana ukipuuzwa unaweza leta madhara.
Ndio niko hapa sasa ila nimegundua kweli ulikuwa upuuzi wa kupuuzwa bila woga.
 
Sasa kwa mazingira haya sijui Lula ana la kujibu kuhusu Dk. Slaa? Kwa maana Dk. Slaa alipitia hatua hizi na kote huko aliongozwa na Roho Mtakatifu kufanya uamuzi wake na mpaka akafikia kwenye sakramenti takatifu (isiyofutika) ya upadre. Sasa kinachotutatiza wengi ni swala la Dk. Slaa kutoka kwenye wito wake wa upadre na kuingia kwenye siasa, hapa kuna maswali kadhaa ya msingi ya kujiuliza ; kwanza kwa kuacha upadre Dk. Slaa anataka kutudhihirishia kuwa alipokuwa seminari alikuwa bendera fata upepo? Mpaka akajikuta ameangukia kwenye upadre pasipo kuwa na wito huo? Au labda Dk. Slaa alidanganywa na Roho Mtakatifu na kujikuta amekuwa padre bila kupenda? Au Dk. Slaa ni mtu wa namna gani basi?
Hii mada imeingia deep ktk dini ya Kikristu, lakini kwa uchache naofahamu ni kwamba mcha Mungu mara zote hulindwa na roho Mtakatifu.. Sasa kama Dr.Slaa aliacha Upadre na kuwa mwanasiasa kiasi kwamba amefikia kuwa mgombea Urais, basi bila shaka Roho mtakatifu yuko naye na anamwongoza vizuri sana maanake yupo ktk jukumu kubwa la kuwakomboa wananchi..

Kisha maajabu ya huyu ndugu yetu Nova Kambota ni pale anapojaribu kuonyesha kwamba Upadre ni moja ya mahitaji ya mwanasiasa. Yaani kama vile Dr.Slaa angeweza kufuzu Upadre basi ndipo angekubalika kuwa mgombea Urais..
Mkuu nitakusoma huko kwingineko....
 
Back
Top Bottom