chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,003
- 20,681
Kwa kuwa mamlaka zina ushahidi kwamba Dk. Slaa amefanya uhaini, ili kulinda hadhi ya cheo na utambulisho wa "balozi" nashauri Dk. Slaa avuliwe hadhi hiyo ambayo Ina heshma sana katika nchi hii.
Akivuliwa hadhi hiyo, aendelee kuchangamana na akina Mdude kwa kuwa ndio level ya akili zake kwa Sasa.
Hadhi ya ubalozi haiwezi kupewa watu wa hovyo.
NB: Hivi Kitima yupo? Naona mawakala wake wamenasa kwenye nyavu