Tz kumekucha! Ni pambazuko jema na lenye weledi wa aina yake.if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu
huyu ndo headteacher! Na walimu wengine vp hapo
heri angegeukia kwa wazee wakati anapiga magoti .lakini hii ya uwangalia watoto hao ni aibu sana........
sasa hapo itamsaidia nini kuwapigia magoti wananchi ?????
Mbagala nako hapatoshi wamemkataa mbunge na diwani wao wote ccm. Wanasema wameshindwa kutatua matatizo yao source itv saa 2
kama sio kipindi cha kura hichi sijui..if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu
kama sio kipindi cha kura hichi sijui..
Huyu ni Mwalimu mkuu katika shule yake inayokamilishwa na idadi ya stuff mmoja. Kwa hiyo shule ina walimu wawili tu ikiwa ni pamoja na huyu mwalimu mkuu wa shule. Sasa tutazamie nini shule ya msingi darasa la kwanza hadi la saba kuwa na walimu wawili, kupata mwanafunzi wa kufaulu kiwango cha kuendelea na masomo ya vidato ni ndoto za kufikirika.
Hii ndiyo miaka 50 ya uhuru bado Tanzania tuna zile shule ambazo kipindi cha mkoloni zilikuwa zinaitwa bush school na unapofika primary ilibidi mtu ufanye kwanza qualifying test kama unafaa kupanda darasa la pili au ubaki kwanza darasa la kwanza.
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) akiomba msamaha kwa kupiga magoti kwa niaba ya Diwani wake kukataliwa na Wananchi kwa kuendekeza Vitendo vya Ufisadi. Je alikuwa na nia ya dhati au ndio kuekti?
magamba mbele ya pesa na madaraka wanaweza kufanya chochote.. Anajua wakimtoa mambo yake yote na mipango yake itakufaMbona hawa ni watoto tena wa chekechea.....
Huyo mwalimu kweli anawito mkali sana analazimika kuishi kibushman wakati yeye sio bushman,tz kazi kwelikweli.[h=3]MAISHA YA MWALIMU WA SHULE ILIYOJENGWA JUU YA MADINI LUDEWA[/hHuu ni uchunguzi wa kina unaofanywa na mtandao huu chini ya ufadhili wa mtandao wa jinsia Tanzania (TGNP) katika kuangazia maisha ya wananchi na walimu wa shule za pembezoni mwa Tanzania kama hivi