Ludewa kumekucha; wamkataa diwani wa CCM

IMG_3819.JPG
if only viongozi wengine wangekuwa na nidham kama huyu
Tz kumekucha! Ni pambazuko jema na lenye weledi wa aina yake.
 
huyu ndo headteacher! Na walimu wengine vp hapo
IMG_3366.JPG

Huyu ni Mwalimu mkuu katika shule yake inayokamilishwa na idadi ya stuff mmoja. Kwa hiyo shule ina walimu wawili tu ikiwa ni pamoja na huyu mwalimu mkuu wa shule. Sasa tutazamie nini shule ya msingi darasa la kwanza hadi la saba kuwa na walimu wawili, kupata mwanafunzi wa kufaulu kiwango cha kuendelea na masomo ya vidato ni ndoto za kufikirika.

Hii ndiyo miaka 50 ya uhuru bado Tanzania tuna zile shule ambazo kipindi cha mkoloni zilikuwa zinaitwa bush school na unapofika primary ilibidi mtu ufanye kwanza qualifying test kama unafaa kupanda darasa la pili au ubaki kwanza darasa la kwanza.
 
heri angegeukia kwa wazee wakati anapiga magoti .lakini hii ya uwangalia watoto hao ni aibu sana........
IMG_4162.JPG

Hao watoto ndio waliowengi na walioshika mabango, mawe, na fimbo ili kumchapa Diwani, kutokana na wakati mgumu aliokuwa nao bora awapigie magoti watoto rahisi kuwa flexable kuliko wakubwa waliokomaa kiakili wenye kuchambua ngano na magugu.
 
sasa hapo itamsaidia nini kuwapigia magoti wananchi ?????
 
Mbagala nako hapatoshi wamemkataa mbunge na diwani wao wote ccm. Wanasema wameshindwa kutatua matatizo yao source itv saa 2

Naanza kuhis UCHAGUZI MWINGINE MWAKANI HIVI EEEHH. Naona wananchi sasa wameamka hawataki tena kuburuzwa.

"Mkiona mtu anataka uongozi kwa kugawa au kutoa vipesa hivi ujue huyo sio kiongozi kazitowa wapi hizo pesa za kuwapa mumchague na atazirudishaje hizo pesa." By Mwl.Nyerere
 
kama sio kipindi cha kura hichi sijui..

100% hii picha tutaanza kuiona kwenye aveta za watu hapa jamii forums, maana hii ni pic ya week kama si ya mwezi huu July. Inaeleza mengi ambayo si lazima kuyaandika hapa.
 
IMG_3366.JPG

Huyu ni Mwalimu mkuu katika shule yake inayokamilishwa na idadi ya stuff mmoja. Kwa hiyo shule ina walimu wawili tu ikiwa ni pamoja na huyu mwalimu mkuu wa shule. Sasa tutazamie nini shule ya msingi darasa la kwanza hadi la saba kuwa na walimu wawili, kupata mwanafunzi wa kufaulu kiwango cha kuendelea na masomo ya vidato ni ndoto za kufikirika.

Hii ndiyo miaka 50 ya uhuru bado Tanzania tuna zile shule ambazo kipindi cha mkoloni zilikuwa zinaitwa bush school na unapofika primary ilibidi mtu ufanye kwanza qualifying test kama unafaa kupanda darasa la pili au ubaki kwanza darasa la kwanza.

Hii ndiyo choo na bafu ya mwalimu mkuu baada ya miaka 50 ya Uhuru Tanzania
 
Kicheko.jpg
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe (CCM) akiomba msamaha kwa kupiga magoti kwa niaba ya Diwani wake kukataliwa na Wananchi kwa kuendekeza Vitendo vya Ufisadi. Je alikuwa na nia ya dhati au ndio kuekti?
 
Mbona hawa ni watoto tena wa chekechea.....

attachment.php
 
huyu mbunge hana akili timamu!badala ya kuondoa umaskini jimboni analeta style za pinda kulialia
 
Huu ndiyo mwendo wa kusaliti vyama vingine haswa Mbeya na Arusha! lazma kiwarudi Magamba maana ndiyo CD wanayocheza sasa! mkae mkao a kula maana Wabunge wenu wengi wako njiani kuwa petitioned! mmeanza moto masiouweza kwenye nyumba ya nyasi! Msikurupuke tu mkasema ati kuna harufu ya CHADEMA sijui nini heheheh
 
Hapo ndo panaponifanya nisiipende siasa. Hizi habari za kujishushia utu kiasi hiki? Mmmh, bora tu nibaki na hii kazi yangu ya ualimu hata kama mshahara haunitoshi.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom