Ludewa kumekucha; wamkataa diwani wa CCM

IMG_3819.JPG

Huyu jamaa anawachanganya hawa watoto, na sijui kwanini hawakuwa darasani anatakiwa kushitakiwa kwa kuwa hadaa watoto wasiende shuleni waangalie maigizo yake.

Au ndio utamu wa posho na rushwa ya Jairo.
 
Kwa nyongeza tu ametoroka bunge to find this situation, anajutia afadhalia angebaki tu Dodoma
 
pole sana kwa yaliyomkuta bwana mkubwa ila mbona kwenye picha wanaonekana watoto wengi haoni anajidhalilisha?
Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!
 
ukweli mwingine ni kwamba deo ni mtu wa kujishusha daima, mbunge mwingine angemtosa diwani kwa madai kuwa kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.
 
Duh! mkuu mbona hata hapo wanaonekana hao unaowaita watu wa rika zote???????? Kifupi ni kwamba it's just strange mbunge kupigia magoti wananchi hata kama wangekuwa wote ni miaka 50 kwenda mbele!!!!!
 
Oyaa acha propaganda, humu JF si mahali pake!!!!!!!
 
Na bado! Si bora watoto! Siku itafika watawapigia magoti hata nyau!
 
Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!

Hakuna asiyejua hilo kwani hapa taswira inaonyesha kuna wakubwa pia, lakini ugeni ni huu kitendo cha kupiga magoti, inaashiria kwamba falsafa ilimchenga kidogo na kulazimika kutumia mfumo wa mila na desturi wa kinyasa na kipangwa, lakini kumbuka dunia ya leo taswira hiyo imeonwa kote na inatoa tafsiri nyingi tu.
 
Mwingine huyu hapa chini. Na usomi wake wote na kuwa na tittle DR, bado anapiga magoti.

Tena yeye anasujudia SANAMU ya Kikwete. Heri hata yule kawapigia magoti watoto (Malaika za Mungu).

Ila huyu, kajishusha sana Mkuu huyu. Kama angelikuwa anachapa kazi, asingelihitaji kupigia watu magoti.

Kuna siku wataenda mbali zaidi. Rihanna karuhusu baadhi ya Fans waliolipa tickets za bei kali, kumparapasa Makalio.

09_10_xa137s.jpg

Kinachonifurahisha siku hizi hii teknolojia ya software & hardware kumbukumbu nyingu huhifadhika kirahisi na kuzifunua kulaini bila kutumia kurunzi za kimapokeo.
 
Kiukweli Deo ni mt wa kujishusha, i know the man wello, and his family ni mkubwa kiumri kwangu but hapendi hata kuamkiwa
anapenda kuonekana mtu wa kawaida tu.
kuhusu watoto ni kweli katika mikutano ya ludewa watoto huwa mbele na nimeishi kule nafaham vizuri.
nashukuru kuona wananchi wa Ludewa sasa wameamka wapo tayari kumkataa diwani.
Haya ni matunda ya CDM imesaidia kuamusha wananchi
 
Duh! mkuu mbona hata hapo wanaonekana hao unaowaita watu wa rika zote???????? Kifupi ni kwamba it's just strange mbunge kupigia magoti wananchi hata kama wangekuwa wote ni miaka 50 kwenda mbele!!!!!
habari za hivi punde zinasema wananchi walioandamana hawakuwa na tatizo na deo filikunjombe, kama mbunge wao. " Deo tunamkubali ila diwani hatumtaki kabisaaa, yalisomeka baadhi ya mabango." Deo alikuwa amewapigia magoti ili wamsamehe diwani mwakasungura. Na wananchi walimwelewa, it's good to be humble, sometimes. Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe; he's a smart, bright guy. Deo ataiweza Ludewa.
 
Kwa nyongeza tu ametoroka bunge to find this situation, anajutia afadhalia angebaki tu Dodoma
Hawezi kujuta kwani anayekataliwa hapa si yeye deo filikunjombe ni diwani wa makonde, chrispin mwakasungura ndo anayekataliwa.
 
Mwakasungura huyu si mtu wa Mbeya. Iringa alifata nini na kwanini walimchagua? Mwacheni aimarishe kwao Mbeya.
 
Barubaru Kyela na Ludewa wamepakana kule ziwa nyasa kwa hivyo kuna mwingiliano kati ya wakisi na wanyakyusa wa wilaya ya kyela waishio kando ya ziwa nyasa.
 
Duh!He is very serious,anapiga hadi magoti!!

Hana lolote huyo anatafuta huruma tu huyo. Mambo yako shingoni. CDM pelekeni operesheni sangara ni rahisi kupata jimbo kwa sababu Ludewa imesahaulika sana na chama cha magamba. Kumbuka kuna diwani mmoja anatoka chama cha upinzani katika mwambao wa lake nyasa.
 
Taarifa nilizozipata hivi punde toka kwa waliohudhuria ule mkutano kule makonde ni kwamba walikuwepo watu wa rika zote kwenye ule mkutano, wazee kwa vijana na watoto pia. Isipokuwa ukweli ni kwamba kwenye mikutano yote ya ludewa, watoto huketi mbele, watu wazima nyuma. I wish mpiga picha angetupa long wide shot!

ukweli mwingine ni kwamba deo ni mtu wa kujishusha daima, mbunge mwingine angemtosa diwani kwa madai kuwa kila mtu abebe msalaba wake mwenyewe.

habari za hivi punde zinasema wananchi walioandamana hawakuwa na tatizo na deo filikunjombe, kama mbunge wao. " Deo tunamkubali ila diwani hatumtaki kabisaaa, yalisomeka baadhi ya mabango." Deo alikuwa amewapigia magoti ili wamsamehe diwani mwakasungura. Na wananchi walimwelewa, it's good to be humble, sometimes. Ludewa tunampenda Deo Filikunjombe; he's a smart, bright guy. Deo ataiweza Ludewa.

Hawezi kujuta kwani anayekataliwa hapa si yeye deo filikunjombe ni diwani wa makonde, chrispin mwakasungura ndo anayekataliwa.
Duh! kweli unajua kutetea inatosha sasa Funda moja zaidi litamuumbua Filikunjombe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom