kweli kaka wanadamu huwa tunajisahau sana huwa tunasahau kuwa mungu ndo muweza, mi kwa upande wangu huwa namshukuru mungu kwa kila jambo.kipimo ni matarajio.......................na kulinganisha na ulichonacho.......................matokeo ni mafanikio au kuyakosa mafanikio...........nionavyo sisi hudhani ya kuwa tuna sauti juu ya maisha yetu.............................lakini ukweli ni kuwa safari zetu zilipangwa na Muumba kabla dunia hii haijaumbwa.......Daniel 4:32-37 na Ephesians 2:10
...hawa 'nyoka' wanakamata 'mawe' ya mamilioni ya fedha...ila ndio hivyo tena...wanasafisha jina kwa kununua makreti ya bia kukoshea magari yao wanayoyanunua hapo kwa papo... pesa zikiisha wanarudi migodini kuanza upya kusaka bahati zao..!
waulize vijana wa mererani, mbuguni na kwingineko...ni wangapi wanaobahatika...
kisha jifikirie na tanzania yetu hii tuliojaaliwa 'bahati' ya kila maliasili...taifa bado li masikini.
Umenikumbusha jamaa aliwahi kupata mawe akaingia baa akafunga milango wote waliokuwepo walikunywa na kula mpaka kukakucha bili kwake..........leo ukimwona anatia huruma anagongea nauli ukimnyima anakwambia wee niliwahi kushika pesa kuliko hizo zako na hakufanya lolote
kasafishe nyota.
...kwenye mapenzi hivyo hivyo....mtu anapata mke/mume wa maana, halafu anaichezea bahati yake...siku ya siku wakishaachana utamsikia...wewe mimi ndio niliokuanza, hata ukiwa na mtu mwingine nitakuharibia!...
hapo atamlaumu nani ati hana bahati?