Lowassa na siasa za makanisani?

Ili upate mavuno mazuri,nilazima upate ardhi nzuri na ufanye maandalizi mazuri.Kuanzia kulima,kupanda mbegu bora,palizi ya mapema na mavuno yataku poa sana.Mzee anajipanga mapema kwa kutafuta urahi wa kusafisha njia mapema ya 2015.
 
Kanisa moja jina kapuni la mwanza wamuomba Lowasa kuwa mgeni rasmi katika harambee itakayofanyika mwezi August ya kuchangia ujenzi wa nyumba za watumishi.
Huku sasa ni kupimana Imani.
 
Wana JF, wakati wengine wanashauku kubwa ya kujua EL atatoa uamuzi gani baada ya jina lake kufyekwa mimi binafsi nina shauku ya kujua kama EL ataendelea na safari yake ya matumaini aliyoianza kwa kasi ya kutoa rambirambi, kuchangia makanisa na misikiti kwa kiwango kile kile cha mapesa na viongozi wetu wataendelea kwa kasi na upendo uleule wa kumwita EL kufanya harambee za ukuzanyaji wa pesa.
 
Back
Top Bottom