Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,210
- 42,072
Kweli Nape anaangalia hiki kipindi na kumuona lowasa anatamba?
Spidi ya Lowasa kwa siku za karibuni imekuwa kubwa sana kutaka kuwaaminisha waTZ anastahili kuiongoza Tanzania kuanzia 2015 hadi 2025. Anajidai kuibua kero za waTZ lakini namwona amebaki peke yake ktk hizi kampeni kama nyati aliyejeruhiwa anavyojitenga na kundi na kuishi peke yake porini huku akivizia adui ammalize.