Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,387
wewe huwajui magamba nini?anapiga blah blah tu urais atausikia kwenye "luninga"
wewe huwajui magamba nini?anapiga blah blah tu urais atausikia kwenye "luninga"
Aache unafiki ndio waliotufikisha kwenye uchovu huu.
Wakapumzike sasa muda wao ulishaisha.
kwani nani kakuambia slaa atachukuliwa? Mbona hakuchukuliwa 2010?Mta mnadi sana lakini hauziki huyo hata bure hachukuliwi ..!
You need to be absolutely stupid to believe him. Alikuwa waziri mkuu why did he not do then? kwanini anasema sasa? Kwa nini asisieme ukweli kuhusu ufisadi?
<BR><BR><SPAN style="FONT-FAMILY: century gothic"><FONT size=4>You need to be absolutely stupid to believe him. Alikuwa waziri mkuu why did he not do then? kwanini anasema sasa? Kwa nini asisieme ukweli kuhusu ufisadi?
Hivi kaniki inaweza kubadilika kweli kuwa nyeupe hata ukiifuliwa Omo pipa mia moja sidhani kwani ndiyo rangi yake na ndivyo ilivyotengezwa,wengine hata wafanye nini kwa sasa 2late hawasafishiki kwao uraisi umeota mbawa,Mwl Nyerere aliwa uliza wale wanaokimbilia ikulu wana jambo gani ?na ikulu ni mahala patakatifu wenye najisi hawasitahili hata kupachungulia,wengine wakijashika uraisi nchi hii itabidi tuwe wakimbizi
mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni
Tuma email na option ya jina lako unalotaka kama username kwenda kwa moderators kwa kuwaelezea username yako yasasa na kwa nini unatakat kuibadilisha. I like one thing with JF Team,watakubadilisha fasta bila tabu: support@jamiiforums.comNi kweli mkuu namba ya cm nimesaidiwa2 kujiunga! Vp nataka nibadilishe vp inawezekana nisaidie mkuu!
tutoe maamuzi anasema bora uhukumiwe kwa kwa kutoa maamuzi si kwa kuogopa kutoa maamuzi, mawaziri wamekuwa waoga wa kutoa maamuzi toeni maamuzi jamani, kamaliza hotuba yake kwa kuunga mkono na alipomaliza ameshangiliwa na bunge zima mpaka wakamuonesha na sita akipiga meza!! this is funny politics!
WTF?Hili linchi bana.Mna wzimu ama ni wanafamilia wa Lowassa nyie.Pambaf kabisa mafisadi.Mnapata wapi courage ya kuleta huu upupu humu?Kweli Yo Yo ntamwunga mkono muda si mrefu.Nani kasema hao wamezaliwa kutuongoza?Hawa walitakiwa wawe wanajibu tuhuma pumbavu wewe,na si eti 100 times,wtf?umetumia vigezo gani?Kama ni vigezo vya wizi basi na wewe unanufaika ndo maana unataka uendelee kunufaika 100 times.I can still vote for him! He is better 100 times