Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

Aache unafiki ndio waliotufikisha kwenye uchovu huu.
Wakapumzike sasa muda wao ulishaisha.

You need to be absolutely stupid to believe him. Alikuwa waziri mkuu why did he not do then? kwanini anasema sasa? Kwa nini asisieme ukweli kuhusu ufisadi?
 
Unajua kama sio haka ka mzuka ka richmond huyu bwana ni kiongozi ambaye hataki mchezo,nadhani akipewa nafasi atadhihirisha hilo
 
"Edward Lowassa live Bungeni
quote_icon.png
By Mwamikili
Anaongea Lowassa bungeni.

Anashangiliwa ile mbaya, anasema tujenge reli ya kati, tupanue bandari Tanga, DSM, pesa tunazo, tumejenga UDOM kwa pesa zetu wenyewe"

UDOM imejengwa na inaendelea kujengwa kwa pesa za WACHINA - watalipa vitukuu!!
 
This is not news. Kushangiliwa kwa kutoa hoja ya maana ni kitu cha kawaida na wala haikusemwa kwamba hajui kuongea. Suala hapa ni matendo yake na ndiyo yaliyomgombanisha na watanzania. Kwanza kwa jinsi alivyo na wapambe mle ndani, kushangiliwa ni sawa na kichapo polisi. Jambo la kawaida.
 
You need to be absolutely stupid to believe him. Alikuwa waziri mkuu why did he not do then? kwanini anasema sasa? Kwa nini asisieme ukweli kuhusu ufisadi?

What a splendid and candid opinion! Huyu jamaa amekuwa serikalini half his life na baadae kuwa Premier wa nchi lakini mpaka anaondoka hakuna chochote kati ya aliyoyaongelea aliwahi kuyapa kipaumbele na kuonyesha nia ya kuyatekeleza. Watu wako very funny! Yaani mchango wa leo ndiyo umpe sifa ya kuwa rais? Na kale kamchezo kake je?
 
You need to be absolutely stupid to believe him. Alikuwa waziri mkuu why did he not do then? kwanini anasema sasa? Kwa nini asisieme ukweli kuhusu ufisadi?
<BR><BR><SPAN style="FONT-FAMILY: century gothic"><FONT size=4>

What a splendid and candid opinion! Huyu jamaa amekuwa serikalini half his life na baadae kuwa Premier wa nchi lakini mpaka anaondoka hakuna chochote kati ya aliyoyaongelea aliwahi kuyapa kipaumbele na kuonyesha nia ya kuyatekeleza. Watu wako very funny! Yaani mchango wa leo ndiyo umpe sifa ya kuwa rais? Na kale kamchezo kake je?
 
Hivi kaniki inaweza kubadilika kweli kuwa nyeupe hata ukiifuliwa Omo pipa mia moja sidhani kwani ndiyo rangi yake na ndivyo ilivyotengezwa,wengine hata wafanye nini kwa sasa 2late hawasafishiki kwao uraisi umeota mbawa,Mwl Nyerere aliwa uliza wale wanaokimbilia ikulu wana jambo gani ?na ikulu ni mahala patakatifu wenye najisi hawasitahili hata kupachungulia,wengine wakijashika uraisi nchi hii itabidi tuwe wakimbizi
 
Na kunguru hata siku moja hafugiki!
 
mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni

Ni Tanzania tu utamkuta mtu anamsuta Lowassa lakini hapo hapo anamsifia Kikwete, anailaumu serikali lakini anamsifu kiongozi wa serikali hiyo hiyo au analaani mafisadi huku amewapakata wasipate taabu. Ni Tanzania tu utawakuta wenye njaa wakinyang'anywa chakula mdomomni na kupewa waloshiba, utakuta wenye nguvu wakilindwa dhidi ya wanyonge na wahalifu wakipongezwa na kusifiwa kwa matendo yao dhidi ya raia wema. Ni Tanzania tu !
 
Nilikuwa na hamu ya kumuona akiongea baada ya kumkosa asubuhi..Kwa nilivyomuona kwenye habari TBC1 akisimama na yeyote kati ya mbowe na slaa kwenye uraisi atapigwa chini mbaya..hoja zake zote ANAONEKANA KUZMEZA KWA WIKI KADHAA NA HAKUWA ANAJIAMINI ZAIDI YA KUJITUTUMUA. Hana lolote..c yeye tu, hakuna msafi ccm wa kumpa uraisi hata km wakimpropose magufuli..wote ni ubatili mtupu. Go to hell Lowasa na chama lenu lote. EH MUNGU MKUU..SIKILIZA MAOMBI YETU!
 
Ni kweli mkuu namba ya cm nimesaidiwa2 kujiunga! Vp nataka nibadilishe vp inawezekana nisaidie mkuu!
Tuma email na option ya jina lako unalotaka kama username kwenda kwa moderators kwa kuwaelezea username yako yasasa na kwa nini unatakat kuibadilisha. I like one thing with JF Team,watakubadilisha fasta bila tabu: support@jamiiforums.com
 
tutoe maamuzi anasema bora uhukumiwe kwa kwa kutoa maamuzi si kwa kuogopa kutoa maamuzi, mawaziri wamekuwa waoga wa kutoa maamuzi toeni maamuzi jamani, kamaliza hotuba yake kwa kuunga mkono na alipomaliza ameshangiliwa na bunge zima mpaka wakamuonesha na sita akipiga meza!! this is funny politics!

alifanya kazi3 kubwa, 1.kusimamia kwa dhati ujenzi wa shule za sekondari. 2. ujenzi wa chuo kikuu cha UDOM 3. RICHMOND
 
I can still vote for him! He is better 100 times
WTF?Hili linchi bana.Mna wzimu ama ni wanafamilia wa Lowassa nyie.Pambaf kabisa mafisadi.Mnapata wapi courage ya kuleta huu upupu humu?Kweli Yo Yo ntamwunga mkono muda si mrefu.Nani kasema hao wamezaliwa kutuongoza?Hawa walitakiwa wawe wanajibu tuhuma pumbavu wewe,na si eti 100 times,wtf?umetumia vigezo gani?Kama ni vigezo vya wizi basi na wewe unanufaika ndo maana unataka uendelee kunufaika 100 times.
 
Back
Top Bottom