Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

181144_452696634748124_1569112275_n.jpg
 
Ahaaa bwana hapa kama unayo ile yajangwani yakutafuna maneno nakuchali chini ndio iwe nimeshindwa
 
Anatuambia ni mwaka wa kufanya maamuzi magumu! Mi nashangaa kwanini yafanyike maamuzi magumu?

Ninavyojua mimi maamuzi yanatakiwa kuwa sahihi, yafanyike kwa wakati na yalete tija. Hizi story za akina Lowasa na maamuzi wanayoyaita magumu yanalenga kuhadaa watu ni dalili ya kushindwa kiuongozi.

My take:
Kufungiwa kwa Mwanahalisi kumefanya wengi wapumue sasa na kuanza kufanya vituko ili tu watokee kwenye kurasa za mbele za magazeti.
 
Imefikia wakati watanzani tumekuwa vipofu kwa Rushwa na sasa tumeamua kuwa ukweli kuwa uongo na uongo kuwa kweli. Mimi binasfi sijaona maamuzi magumu aliyo fanya luwasa zaidi ya kutumia pesa zake kuiyumbisha Serekali iliyopo madarakani.mimi siamini hata kidogo eti LUWASA Leo ni mzuri kuliko Pinda au jakaya ila ninachoamini LUWASA anatumia pesa nyingi kumhujumu mwenzake ila aonekane hajafit nafasi yake
 
Luwasa ni nani?
 
Back
Top Bottom