Lowassa aselebuka, wapi Nape?

Ahåaa kumbeee! lyo itatizo lyetu wanhu wa kukuaya,Ifikie wakati tuseme ukweli juu ya watendaji wetu ina maana agwe Jumakidogo uovu na uwizi wa Lowassa hauujuo au ni kuweka pamba masikioni huku masikio yako yakitaka yazibuliwe? chibadiliche jamani we need changes and our changes are through spreading the good things of CDM,kaazi kweli kweli

Muwaha leche longa nhavivyo. Mbona ushahidi musiina. Yuyo munhu wa mulungu mbeka. Muzehe wetu wa kanisa. Nha mumlekaje wazelelo.
 
Sitokaa hata cku moja nimkubali EL kwa kua matatizo menji gono chinanago EL is the causative,kwahyo Arabasintokuunga
mkono
hili
 
Ukweli utabaki pale pale, Lowassa ndiye rais ajaye wa JMT 2015. Wewe baki na chuki zako binafsi hivyo hivyo.
 
Hilo dude EL ni maarufu sana kwa wizi siyo tuu wa miradi na tenda za umma, bali pia na kura. Hapo linatengeneza njia kwa 2015 kwa gharama yoyote. CDM kaeni chonjo katika hili maana EL anaamini akishinda hapo (maana siyo ccm watakuwa wameshinda isipo wameshindwa na magamba), safari yake ya 2015 imenyooka. Akina Sitta, Membe na rafiki zao watie maji. Peoples Power must work between people and households in Arumeru to defeat EL.
 
Hawa mashorabaro wa ccm walivyo weupe kichwani wanahutubia watu huku wakiwa wamebabana na ipad zao ili kusoma notes! Zinaleta picha gani hizo ipad? Au wanataka watu wa Arumeru waone ni jinsi gani kodi yao inatumuka kununua ipad (anasa) kwa vigogo huku watu hawana maji, madawati, au hata dawa kwenye zahati?
 
Habari zilizoenea huko katika Uwanja wa Mapambano wa Arumeru Mashariki ni kwamba Katibu wa Ueneze na Itikadi bwana Nape Moses Nnauye Alifurahia Pale Makundi ya Wananchi yalipomzomea Waziri Mkuu Aliyejiuzulu bwana Edward Lowasa.

Nape Ambaye alishindwa Kuzuia Furaha yake ( Hasa alipokuwa na Wafuasi wake Watiifu) aliwaambia kwamba Alijisikia furaha kuona kwamba kumbe kuna Wanannchi wengi ambao hawapendi "Ufisadi". Nape alinukuliwa akisema "Pamoja na Kwamba Mshenzi yule leo amepanda Jukwaani kuhutubia, Lakini nimefarijika sana na wale wananchi waliokuwa wanazomea, Hii inanipa nguvu ya kuendeleza Mapambano maana tuna Mtaji wa watu wanaochukia Ufisadi".

Wadadisi wa Mambo wanasema kwamba Kuzomewa kwa Lowasa kuna Mkono wa Nape na ikizingatiwa kwamba siku chache kabla ya Lowasa kupanda Jukwaani Nape na Wenamgambo wa Ufisadi wa CCM walituhumiwa kusambaza Waraka unaowataka Wananchi wa Arumeru kumkataa Sioi ambaye ni Alipitishwa kwa Nguvu ya Lowasa. Nape hakukubali wala Kukanusha tuhuma hizo

Vilevile Nape ameonekana kupoteza Imani na Mwenyekiti wake kwamba haeleweki yuko Upande gani maana akikitana Naye anawapa Nguvu ya Kupambana na Lowasa ambaye kila kukicha anazidi kupata Uungwaji Mkono Ndani ya CCM. Aliposhauriwa ajiuzulu Nape alijibu kwa Ukali " Familia yangu utailisha?
 
lol.. sikuwahi kufikiria kama Ipad ni anasa,nashukuru kwa kunifungua macho we mwana kinega!
 
Nakubali, EL ndiye aliye baki peke yake mwenye sifa ya kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM. Anabeba chapa ya CCM.

Ili chadema ishinde kirahisi sio?janja ya nyani sisi kwishajua,tuacheni wenyewe ya kwetu nyie hangaikeni na mpasuko unaofukukuta ndani ya chama chenu kati ya wenye chama kina mbowe na genge lake na mzalendo dr slaa,nimemshauri slaa kama vipi aanzishe chama chake maana fitna za mbowe ninavyomjua haziwezi,itakua kama chacha wangwe
 
Ukweli utabaki pale pale, Lowassa ndiye rais ajaye wa JMT 2015. Wewe baki na chuki zako binafsi hivyo hivyo.

wewe hili swali huwa hunijibu,r u chadema ama ccm?au wewe chama chako cha lowassa kwa kuwa mlutheri mwenzako so humtaki slaa kisa sio mlutheri mwenzako hata kama unaipenda chadema
 
Habari zilizoenea huko katika Uwanja wa Mapambano wa Arumeru Mashariki ni kwamba Katibu wa Ueneze na Itikadi bwana Nape Moses Nnauye Alifurahia Pale Makundi ya Wananchi yalipomzomea Waziri Mkuu Aliyejiuzulu bwana Edward Lowasa.

Nape Ambaye alishindwa Kuzuia Furaha yake ( Hasa alipokuwa na Wafuasi wake Watiifu) aliwaambia kwamba Alijisikia furaha kuona kwamba kumbe kuna Wanannchi wengi ambao hawapendi "Ufisadi". Nape alinukuliwa akisema "Pamoja na Kwamba Mshenzi yule leo amepanda Jukwaani kuhutubia, Lakini nimefarijika sana na wale wananchi waliokuwa wanazomea, Hii inanipa nguvu ya kuendeleza Mapambano maana tuna Mtaji wa watu wanaochukia Ufisadi".

Wadadisi wa Mambo wanasema kwamba Kuzomewa kwa Lowasa kuna Mkono wa Nape na ikizingatiwa kwamba siku chache kabla ya Lowasa kupanda Jukwaani Nape na Wenamgambo wa Ufisadi wa CCM walituhumiwa kusambaza Waraka unaowataka Wananchi wa Arumeru kumkataa Sioi ambaye ni Alipitishwa kwa Nguvu ya Lowasa. Nape hakukubali wala Kukanusha tuhuma hizo

Vilevile Nape ameonekana kupoteza Imani na Mwenyekiti wake kwamba haeleweki yuko Upande gani maana akikitana Naye anawapa Nguvu ya Kupambana na Lowasa ambaye kila kukicha anazidi kupata Uungwaji Mkono Ndani ya CCM. Aliposhauriwa ajiuzulu Nape alijibu kwa Ukali " Familia yangu utailisha?
Cooked story??? Hata hivyo ni Nape anacheza ngoma ya watoto ambayo daima huwa haikeshi. Hon. Lowassa for presidency 2015.
 
wewe hili swali huwa hunijibu,r u chadema ama ccm?au wewe chama chako cha lowassa kwa kuwa mlutheri mwenzako so humtaki slaa kisa sio mlutheri mwenzako hata kama unaipenda chadema

Kwani ni lazima awe shabiki wa Slaa? Wewe baki na Slaa Wako mwache mwenzako na Lowasa wake.
 
Back
Top Bottom