Lowassa aselebuka, wapi Nape?

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,467
513
EL jana kwenye ule mkutano wake ameonekana akiselebuka kwa mbwembwe nyingi. Vuvuzela alisema hatapanda jukwaani, yako wapi? that is a break through, hakuna yeyote wa kumzuia tenaaaa! in short jamaa alijaza watu no mater hao watu walitoka wapi.
 
Hao wamezombewa na ule mkutano umeandaliwa kwa wiki mbili,sioi akishindwa ccm haitalaumiwa SASA WA KUMLAUMU NA ALIEJIMALIZA NI MAMVI. whatever is excellent
 
EL jana kwenye ule mkutano wake ameonekana akiselebuka kwa mbwembwe nyingi. Vuvuzela alisema hatapanda jukwaani, yako wapi? that is a break through, hakuna yeyote wa kumzuia tenaaaa! in short jamaa alijaza watu no mater hao watu walitoka wapi.

Umejaza watu? Sio umejaza magari?
 
EL jana kwenye ule mkutano wake ameonekana akiselebuka kwa mbwembwe nyingi. Vuvuzela alisema hatapanda jukwaani, yako wapi? that is a break through, hakuna yeyote wa kumzuia tenaaaa! in short jamaa alijaza watu no mater hao watu walitoka wapi.
Wewe Mjenda Misi hauna jipya kwani ukipenda Mafisadi nawe nakuchukulia kama ni Fisadi tuu
 
Mbukwenyi, mwene mun'tu yono yakulonga ukweli kumbe yakuchemwa fisadi? Leche zizo muwaha. LOWASSA kiboko yenyu. Mutuka muwaha wuwo.
 
Kumbe ndio kabila lako hilo?ndio maana una akili za kichoko!! Samahani sana kwa kukuchukia muda wote mi nilifikiri binaadamu kumbe lichoko
 
EL jana kwenye ule mkutano wake ameonekana akiselebuka kwa mbwembwe nyingi. Vuvuzela alisema hatapanda jukwaani, yako wapi? that is a break through, hakuna yeyote wa kumzuia tenaaaa! in short jamaa alijaza watu no mater hao watu walitoka wapi.
Nape huyu hapa we kinega acha uongo,Nape alitamka lini hilo?vinega bwana mna tabu kweli mnapoona mmeelewa,hebu malizeni mposuko wa genge la mbowe na slaa kuhusu nani atagombea urais maana unakitafuna chama kama kansa..

Mjenda Chilo u wapi uzalendo wako? Binafsi nilifatilia mikutano ya jana ya kampeni za CCM na CHADEMA kama zilivooneshwa katika taarifa ya habari ya ITV. Nilichokiona wakati Lowasa anaongea na baadaye Mkapa ni watu wakioneka kama wanacheza muziki, sijui kama walipokuwa wanahutubia kulikuwa na muziki pia, lakini Lowasa aliongelea tatizo la ardhi Arumeru kwamba limekuwepo tangu mwaka 1951 wakati wa mkoloni na baaye wakati wote chini ya CCM, my take wameshindwa muda wote huo wataweza sasa? walipoonesha taarifa ya mkutano wa CHADEMA kulikuwa na muendano wa matukio kati ya wasikilizaji na muongeaji. Badilika Mgenda Chilo. Alishindwa mzee Sumari kutatua matatizo ya Arumeru ataweza mwanaye? Tuache uvivu wa kufikiri CCM wameshashindwa kutatua kero za wananchi na tuwape CHADEMA, anza na Arumeru Mashariki.
 
Nape huyu hapa we kinega acha uongo,Nape alitamka lini hilo?vinega bwana mna tabu kweli mnapoona mmeelewa,hebu malizeni mposuko wa genge la mbowe na slaa kuhusu nani atagombea urais maana unakitafuna chama kama kansa..

KWani hii picha inaonesha imepigwa lini?
 
Mbukwenyi, mwene mun'tu yono yakulonga ukweli kumbe yakuchemwa fisadi? Leche zizo muwaha. LOWASSA kiboko yenyu. Mutuka muwaha wuwo.
Ahåaa kumbeee! lyo itatizo lyetu wanhu wa kukuaya,Ifikie wakati tuseme ukweli juu ya watendaji wetu ina maana agwe Jumakidogo uovu na uwizi wa Lowassa hauujuo au ni kuweka pamba masikioni huku masikio yako yakitaka yazibuliwe? chibadiliche jamani we need changes and our changes are through spreading the good things of CDM,kaazi kweli kweli
 
Nilikuwa najiulizaga hizi toilet paper zilizoandikwa Uhuru huwa zinanunuliwa na nani!?......kumbe sasa nimeshaijuwa kazi yake ni kwenda kuyagawa bure kwenye jamii ambazo hazijakanyaga shule kama Wamasai.
a14.jpg

Kumbe ndio kabila lako hilo?ndio maana una akili za kichoko!! Samahani sana kwa kukuchukia muda wote mi nilifikiri binaadamu kumbe lichoko

Wewe kweli punguani. Unamaana mtu akiongea kifaransa ni lazima awe mfaransa? Halafu akili yako imetekwa na ujuha. Makabila yote hapa bongo ni sawa tu.
 
Nape huyu hapa we kinega acha uongo,Nape alitamka lini hilo?vinega bwana mna tabu kweli mnapoona mmeelewa,hebu malizeni mposuko wa genge la mbowe na slaa kuhusu nani atagombea urais maana unakitafuna chama kama kansa..

kiukweli kabisa NAPE NNAUYE,OLE SENDEKA na SAMWELI SITTA waachane na siasa wakalime maana LOWASSA Wamemshindwa pamoja na ufisadi wake. Kama ni issue ya urais ndani ya ccm imepamba moto ndo maana gamba limepanda jana jukwaani likimpigia mkwewe kampeni.
 
Back
Top Bottom