Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

Naona porojo tu,hamna ufafanuzi wa nyie kutumiwa na CCM na hata kupewa pesa na vitu vya kufanya!!

Vipi na kauli na onyo la Juliana Shonza kuwaanika kuwa nyie ni genge la wahuni tu mnaotumika??!!

Mkuu, kwa siku mbili sasa kuna mambo yameibuka ambayo yalipaswa kutolewa majawabu na viongozi wa ACT. Kwa bahati mbaya sana hawajafanya hivyo. Hii ni kudhihirisha kuwa chama hiki hakipo makini
 
Hiyo kukerwa bone ni maneno yako? Kwenye taarifa yake haja andika hayo , mbona unamlisha maneno ?
 
Huna mpya zaidi ya thread za Lowassa kila mara? Au ndo wakala wa Lowassa Jf? Hata akikanusha ukweli uko palepale.
 
Kwa siasa za kibongo, sitoshangaa kusikia kuwa Lowasa ndiye aliyehonga ili aandikwe vile na Tanzania Daima.
 
Hata km habari iliyoandikwa ni ya kweli hawezi kukubali hata amezeshwe kaa LA moto
 
Kuijadili ACT ni kuipa umaarufu ambao haina,wapuuzieni tu na agenda zao,mwisho wa siku ukweli utajulikana

Cdm hukesha kila siku kwenye mitandao wakifikiri wanaikomowa act la
Chama kinasonga mbele kila siku
Matusi ya cdm hayaturudishi nyuma
 
hana lolote , kafumaniwa kama ilivyokuwa kwenye RICHMOND , KAMA AMEKERWA AENDE MAHAKAMANI BASI .
 
Kutokana na historia ya usimamizi wa mipango ya serikali katika utumishi wake mh.Lowasa sometimes huwa nina imani naye kuchukua uongozi wa juu wa nchi hii.Kama akijikita kuudhoofisha upinzani nina hakika atawapoteza wapenzi wake wengi.Tunataka uongozi hatutaki zuluzunga kama hizi ikibainika ni za kweli!
 
ACT, mnapaswa kuwa serious katika kujibu shutuma, huwezi kuzushiwa shutuma nzito kama za kufadhiliwa na LOWASA halafu ukatoa ,majibu mepesi mepesi tu. Vinginevyo wengi tutaamini kuwa ACT imeanzishwa kama pango la watu wanaokataliwa ndani ya vyama vyao

Ha Ha Haaaa!!

No Comment!
 
Back
Top Bottom