Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

shida ya lowasa ni kupata urais kwa njia yoyote , usibishe mkuu , ichukue kama tetesi , kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima lowasa ni mfadhili wa ACT , hii habari si ya leo wala jana .

Chochote chaweza tokea ingawa katu siamini kama kweli Lowasa anaweza kuhamia ACT au hata chama kingine cha upinzani. Endapo ikatokea kuwa amehama ccm kwenda ACT basi huo utaeleweka ulikuwa ni mkakati wa m-badala wa ccm kuunda ACT na baada ya ushindi wa uraisi ambae atakuwa Lowasa ACT itajiunga na ccm na jina la chama kufutika na kubaki CCM na wanachama wote wa ACT kupewe kqdi mpya za ccm. Hayo watakuwa walishakubaliana na kiongozi mkuu wa ACT. Chama kingine cha upinzani Lowasa hawezi kujiunga nacho kwani anaelewa ccm watashinda na utakuwa ndio mwisho wake na mali zake.
 
Usishangae mbona ccm wanatembea na fisi kwenye mikutano yao
 
Hii nchi bora itawaliwe kijeshi tu mana hizi siasa ni za kijinga.
Mimi kwangu cha muhimu ni nchi kuwa na amani na usalama wa watu na mali zao.
Hivi vyama vyote ni madaraja ya wanasiasa tu kutafuta ajira na ulaji pale magogoni.

CCM wamechafuana vya kutosha sasa wakae pembeni tu.
Wale wanaotegemea Kubebwa na jina la Chama mwaka huu wasahau kuingia ikulu.
Mwaka huu ni mtu atosha.

Swala nikuondoa ccm na mbadala wake ni Chama cha Demakrasia na Maendeleo Chadema
 
shida ya lowasa ni kupata urais kwa njia yoyote , usibishe mkuu , ichukue kama tetesi , kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima lowasa ni mfadhili wa ACT , hii habari si ya leo wala jana .

Mkuu hongera sana ulitabiri kweli kabisa kwamba Lowasa anautaka uraisi kwa njia yoyote ni kweli leo tumeona kaibukia Chadema
 
Mbona ume-overreact wakati hiyo ni tweeter ya Zitto na akimnukuu Lowassa wakati anajiuzuru, iliyeileta hapa
JF hajacomment chochote lakini wewe unalazimisha maoni yake. Sisi wengine tumeshaelewa kila kitu na tumeanza kuona picha yote, mwanzoni Zitto alipotweet hatukuelewa ila sasa tumeelewa kila kitu.
Mixer ya Fisadi Lowassa na Mjamaa Zitto ni lazima uzalendo uzaliwe!!

Mkuu mixer ya Fisadi Lowasa na bepari Mbowe nini kitatokea hapa
 
Back
Top Bottom