Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

Haya majibu hayaridhishi kamwe! Yaani chama kutuhumiwa kusaidiwa na mafisadi halafu unatoa majibu mepesi kama hayo?
 
Mh Siamini, kama kweli sijui maana wanachadema wengi wanampenda Lowasa, na wanakipenda chadema ,
Lowasa kama hii issue ni kweli itamgharimu maana chadema kuna wapiga kura wengi wanao mkubali Lowasa.

sio chadema tu, kila chama na hata wasio na vyama

kumbuka over 50% ya watanzania hawana chama chohcote cha siasa...

Machadema mtakua lini? Kucha kutunga hekaya. Uzushi na uwongo hautawasaidia kuimarisha saccos yenu. Mnajazana ujinga

Mkuu naunga mkono hoja yako,naona sasahiv wameona hyo saccos yao imepoteza mwelekeoa wamekuja na swaga mpya,halaf huwa nashindwa kuelewa hawa mods humu ndani huwa kaz yao ni nn???

SACCOS ya ZITTO (ACT) inawafadhili kiasi gani kuleta ujinga huu? Zile bilioni 3.6 zimeisha?
 
SACCOS ya ZITTO (ACT) inawafadhili kiasi gani kuleta ujinga huu? Zile bilioni 3.6 zimeisha?

kwikwikwi... sio kila mtoa mawazo analipwa, wengine wana uwezo wa kujilipia mawazo yao

BTW, ujinga ni wako na wazazi wako maana unaropokwa bila kuelewa why people say what they say
 
Hii habari ni kiwewe tu
Tanzania Daima wametengeneza habari kumshushia presha mwenyekiti aliyewageuza wanachama wote wa CHADEMA kuwa mazuzu
 
Hao wana CCM kukana ndo zao...

Loliondo kuuzwa
Zanzibar kujiunga na OIC

Hayo yote yalikanwa
 
Maisha yangu sasa toka nijitambuwe kunamagazeti ya
1 Tanzania daima
2 uhuru
3 mzalendo
Kamwe siwezi kutowa sh 1 kununuwa hata bure siwezi
Kusoma
Magazeti yamekaa kiudaku tu kwa kumfuraisha boss kasema nn

Kumbe wakati mnamvua vyeo vyake vyote na hatimae mkafikia hatma ya kumfukuza uanachama mlitegemea aelekee kibla mumchinje kiulaini? ni ngamia pekee alopewa ujasiri huo hivyo kama ilivyowahi kuimbwa "MTOTO WACHA KUPIGA WAYOWE UACHE WATU WAONE WENYEWE

Habari za kutunga zina mvuto kusoma lakini hazina mashiko....hii hadithi inatufundisha nn??? Mtu akituma anajituma kweli....uzushi mtupu!!! mwenye ukweli na maisha na mipango yake ni EL mwenyewe....!!!

SACCOS ya ZITTO (ACT) inawafadhili kiasi gani kuleta ujinga huu? Zile bilioni 3.6 zimeisha? Juliana kasema ACT ni chama cha wahuni.. Na chanzo cha fedha na ufadhili anaujua!... ACT ni mradi wa ZITTO kujipatia hela za kifisadi.
 
kwikwikwi... sio kila mtoa mawazo analipwa, wengine wana uwezo wa kujilipia mawazo yao

BTW, ujinga ni wako na wazazi wako maana unaropokwa bila kuelewa why people say what they say

Msukule wa Zitto, hauendi bila malipo!
 
Hii habari imeandikwa na gazeti la kihuni na mmiliki wake ni mkubwa wa wahuni. Mamlaka sijui inafanya kazi gani kufungia gazeti hili la udaku.
 
Kwa kuwa nguzo kuu ya chama chenu ni UWAZI sasa wekeni wazi Mapato na Matumizi ya chama chenu.Wekeni wazi sera na itikadi ya chama chenu.
 
Hizi habari zina ukweli kwa asilimia 99.9999%

Angalizo kwa Viongozi wa CHADEMA kitaifa ni kuchukua tahadhari kubwa na kufuatilia habari hizi kwa karibu. Ni kweli Uchaguzi unaendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA hivo uwezekano wa kupenyezwa kwa Mamluki wa ''Vijana wa Zito na Lowassa'' ni mkubwa sana. Hakuna anayebisha kuwa bado CHADEMA ni tishio kwa CCM katika kila kona ya nji hii.

Intelijensia ya CHADEMA inabidi ifanye kazi ya ziada kubaini mbinu hizi chafu na kuchukua hatua mara moja ili kuzuia na kukomesha kabisa upuuzi huu unaotumiwa na CCM kudhoofisha vyama vya upinzani Tanzania. Bado hatujasahau Mamluki kama John Shibuda wa CCM aliyeko ndani ya CHADEMA akiendelea kukimega chama kimyakimya!

CHADEMA Team must be very careful with Lowassa and his CCM henchmen.
 
10527328_496170780527642_8779598758734788842_n.jpg

Ni dhahiri shahiri sasa Mh.Zitto amekubali kuwa tawi la ''King Maker'' Mh.Lowasa na ameanza kufagilia rasmi baada ya siri nyingi kuvuja zikionyesha ufadhili wa Mh.Lowasa katika chama kinachomilikiwa na Zitto.
 
Tumekuwa tunaona taarifa rasmi mbalimbali za kukanusha taarifa mbalimbali juu ya Mh. Lowassa. Baadhi ya taarifa hizo ni;
1. Lowassa ahamia Chadema
2. Lowasa anafadhili ACT

Tatizo kwa Chadema ni kukosekana kwa mtu wa kumsimamisha kwenye nafasi ya uraisi na kummezea mate huyu kada?

Yako wapi yale matokeo ya zile blogs za: DR. SLAA Vs LOWASSA 2015?
 
Moderator Kuweni fair mnawezaje kufunga thread yenye source , lowassa kusaidia ACT. Kweli naamini kuwa nanyi mnatumika kumsaidia Zitto, hii nchi hopeless kama na mitandao ya kijamii inatumika, njaa mbaya sana, potelea mbali kama mnaweza nipigeni ban ila ujumbe umefika.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom