Lowassa adaiwa kuifadhili ACT-Tanzania; yeye, ACT wakanusha

Taarifa hiyo ni ya kupikwa na gazeti la Tanzania Daima ambalo linamilikiwa na Mbowe,huo ni mkakati endelevu wa kumchafua ZITTO KABWE na chama cha ACT, CDM wana kiwanda cha kupika uongo.

Hii habari ikifanana na Ile ya Juliana itakuwaje?
 
kuna watu nadhani mnaweza kuwa hata mnaota Lowassa anawaingia kinyume na maumbile

bila yeye hamli, hamlali wala hamnyi

hata mngeambiwa mbong'e awe anapita kupima oil mngepanga mistari

soooo fcuked up

he is not that stupid.....


Naona imekutachi sana aisee... hahaha. unatoa povu kama FOMA na mitusi juu, kisa Lowassa, sasa wewe na hao unaowatusi nani zaidi?
 
Tanzania Daima ni kipaza sauti cha Mbowe na Chadema; hili gazeti linazidi kupoteza mwelekeo kila siku
 
Tanzania Daima ni kipaza sauti cha Mbowe na Chadema; hili gazeti linazidi kupoteza mwelekeo kila siku

Kamanda Ben nimeona comment yako kwenye Uzi uliofungwa kuwa hii habari ni ya kweli...kwa faida ya watanzania Ebu dadavua huovu wa hawa jamaa ni vyema wananchi wakawajua kwa rangi zao zote
 
Jamaa alieandika habar anamtindo wa akili, huenda mke wake kamvuruga,hv hlo gazet linamhariri kwel? Unaandika vitu vya kufikirika kisa pesa!? Yaan kwa namna unavo mpenda huyo mbowe kuna cku utavua bukuta!

Jaman achen siasa za barafu kuyeyuka zinapopata joto!!

Kama zito anawakera itishen kikao mmvue uanachama mbona rahis tu!!!
 
Habari ya kusadikika hii. Wapinzani wa kweli wa Lowassa hi akina Membe, Mwakyembecand the like, ndani ya CCM.

Itakuwa ni ujuha na wastage of resources kama kweli Lowassa atafadhiri ACT eti waihujumu CHADEMA. Mbona ACT inaogopwa namna hii wakati chama chenyewe kipo taabani kabla hata ya kutambaa? Au "habari" hii imetungwa tu na Tanzania Daima ili mradi Zitto atajwe?
Leta habari ya kweili ni ipi
 
Yaani lowassa aache kupambana na maasimu wake ndani ya chama ccm kama akina membe, sitta, makamba,sumaye,magufuli katika kinyanganyiro cha uraisi et ajee afadhili act.....act itamsaidia nini na chadema itamsaidia nini in short mtoa mada ametumwa na kundi 209 ndani ya kumchafua mzee wetu kwenye kura za maoni

he !!!!kundi la 209 !!? hebu funguka zaidi mkuu. Ina maana CCM una makundi zaidi ya 200?!!
 
Angalau Kubenea wa Mwa.na.li.si alikuwa anaweza akatunga hekaya na ikafanana na ukweli ila hawa waganga njaa wa Tanzania daima hekaya zao utadhani zimetungwa na watoto wa Chekechea
 
Last edited by a moderator:
Hii habari ni ngumu kuielewa kila angle ukitafajari unakosa majibu,nijuavyo mimi Lowasa hawezi kwenda upinzani kwa siasa za nchi yetu zilivyo maana pamoja na dhoruba aliyokutana nayo ktk chama chake bado nafasi ya uongozi aliyoifikia ina manufaa makubwa kuliko kwenda kuanza maisha huko ACT bora angehusishwa na kuhamia CDM na Si ACT.
Pili ni vigumu kuamini km habari hii imetoka CDM maana sio faida yoyote inayoweza kuinufaisha CDM kupitia habari hii pengine labda mm nitakuwa na upeo mdogo ktk mambo ya siasa,ninachokiona mimi hii habari imetengenezwa Lumumba CCM kwenye kundi moja ama la Lowasa mwenyewe kuendelea kuwaaminisha wanaccm kuwa ana uhakika wa kupita kura za maana na sasa anavuka siasa za chama chake au ni kundi mojawapo ktk yale yanayo mpinga ili kumchafua na pengine ni njia ya akina Mkumbo na Zitto kuwavuta wanachadema wenye mioyo ya mabua kujiunga na chama chao hasa inapoelezwa tayari kuna fungu toka Richmond.Ili kupata majibu wacha nifuatilie mwandishi wa habari hii na mikono gani imepita hadi inatoka.

Umechambua vizuri nakupongeza. Ukiingia kichwa kichwa hapa umeliwa
 
Siwezi kushangaa kuwa huu ni mkakati wa Lowassa na baadhi ya makada wa CCM, Lowassa kwa fedha alizonazo hana mpinzani ndani ya CCM maana ndani ya CCM pesa zinaongea na zina nguvu kweli kweli, Upinzani wa Lowassa uko nje ya CCM, yani Chadema- na Hivi vyama vya vinavyounda UKAWA vimeungana kazi itakuwa ngumu zaidi kwa Lowassa.
 
Hizi Habari zingine sijui tuite ni za kuburudisha jamii tusome na kuachana nazo au ni serious tusome na kuzitafakari......wasiwasi ni kupata stroke maana hii Nchi inafikirisha Sijapata kuona.
 
Taarifa hiyo ni ya kupikwa na gazeti la Tanzania Daima ambalo linamilikiwa na Mbowe,huo ni mkakati endelevu wa kumchafua ZITTO KABWE na chama cha ACT, CDM wana kiwanda cha kupika uongo.
Mwl. Hivi kwa mfano Zitto asipokuja huko act kama alivyowaahidi, ninyi mtamchukulia hatua gani? Kumbuka ya Sita, Mpendazoe na CCJ.
 
Mh Siamini, kama kweli sijui maana wanachadema wengi wanampenda Lowasa, na wanakipenda chadema ,
Lowasa kama hii issue ni kweli itamgharimu maana chadema kuna wapiga kura wengi wanao mkubali Lowasa.

Kwa hiyo unataka kuniambiya lowasa anapita kwa kura za cdm? Aibu ndugu
 
Back
Top Bottom