Lord Eyes amefukuzwa kwenye kundi la Weusi

Mi nafaham Ray c kaanza madawa ya kulevya hata kabla ya kua Eyes alikua anatafuta huruma ya watu kwa kisingizio

Hapo umesema...mm alikuwa rafiki wa mdogo wangu...naelewa alianza kula drugz kabla ya kukutana na lord eyez
 
amazing! ahsante mkuu kwa info..

na huko kenya aliyemfunza ray c kula poda ni nani?

Huko kenya alikuwa anawanengulia wanene...akapata presha ya ku push ma ndinga za maana...wakamuonesha mambo iliko...akafanya kiuno mtaji...ulijujitoa ufaham akawa ana sniff ili anengue sawa sawa.. karidu bongo ndio akajishijiza kwa mnako(kumbuka lord ni kiburi cha mtaani tu ila ni familia bora)... madawa yakawakolea ile kuachana ndio kujidunga ikazid hadi career zao zikafifia...mdada akarudi kenya huko ndio ikawa nuksi zaidi mixer kucheza pilau bubu...
 
Wasanii wanapaswa kuwa na chama chao ambacho kitakuwa kinatoa elimu kuhusu athari za madawa.Wengi wao wanatumia madawa na hii inapelekea kuharibu maisha yao tumeona Langa,Mangwair na kina Chid,Da hasla na wengineo wengi .Nakumbuka enzi hizo N2N kule Arusha Lord Eyez alikuwa kama mfalme na kweli alikuwa mmoja ya wasanii wakali sana
 
Back
Top Bottom