Lord Eyes amefukuzwa kwenye kundi la Weusi

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,403
141
Saa kadhaa baada ya stori kutoka kwamba Msanii wa hiphop Lord Eyez anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na wizi baada ya kuvunja gari la mtu huko Arusha. Kampuni ya Weusi imetoa tamko kuhusu member huyu.

Msemaji wa WEUSI Nikki wa II amethibitisha kuchukua uamuzi huo kwamba wamemwadhibu kwa kumfukuza Lord Eyez kwenye kundi lao.
 
Nilidhani Dimpoz alimsingizia,But this time around story iko soo convincing....Stay Away From Drugs......And Marijuana....
 
alianza kupoteana tangu yupo kwenye mahusiano na ray c back in days na ndio yeye aliyemfundisha ray c kutumia madawa ya kulevya!
malpo duniani.alichomfanyia ray c kwa kwel...afungwe tu na huko weusi afadhali tu walvomtimuwa coz nawapenda weusi.hawanaga sscandal za kis*nge.
 
sio kutoka tu.. na madawa ya kulewesha pia alimfunza kuyatumia..

btw, weusi ni kampuni ya nini?

Ulikuwepo kipindi eyez akimfundisha ray c kutumia kiariri?.. ray c ndio aliemfundisha eyez kutumia madawa(cocktail/crack). Eyez alikuwa anatumia bangi tuu. Hiyo poda ray c alianza kutumia kenya ndio akaanza kutumia na eyez kwa ku mix na poda...kipindi ray c ana kaduka cha nguo morroco(karibu na best bite) ndio eyez akawa anabembea kwenye gar ya huyo dada kama mjinga flan..
 
amazing! ahsante mkuu kwa info..

na huko kenya aliyemfunza ray c kula poda ni nani?
 
acha masiala excel weusi ni kundi la muziki kutoka jijini arusha lord eyez alikuwemo pia katika kundi!

hahaaa!! mkuu sijasema kwamba si kundi la muziki... nimeuliza pale ilipoitwa kampuni... sasa hapo ndio nimechanganyikiwa kimawazo...
 
Back
Top Bottom