Lissu: Habari ya Maridhiano kati ya CHADEMA na CCM ilishakufa baada ya CCM kukataa mapendekezo yote ya Katiba Mpya

Haya ndio yale mambo ya ropo ropo na uropokaji tuu, taarifa ya kuvunjika kwa maridhiano lazima itolewe ama rasmi na chama ama wana maridhiano wenyewe in this case ni Mwenyekiti Mbowe, au KM Mnyika na sio M/Mwenyekiti, TL, si miongoni mwa wajumbe wa maridhiano!.

Kwenye hii issue ya maridhiano, niliwahi kuwauliza CHADEMA Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?

Sasa mtu kama huyu akitangaza kuvunjika kwa maridhiano, we have to doubt him!. Kama ni kweli maridhiano yamevunjika, then CHADEMA watatoa taarifa rasmi, sio hizi taarifa za ropo ropo!.

NB. Neno ropo ropo ni mtu kujiongelea mambo ya chama bila taarifa rasmi, na kwenye hili kiukweli huyu mdogo wangu wa Ilboru ni mzuri kumpita hata yule Blaza wangu, na ni mimi ndie nilimshauri Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

P
Maelezo mengi points 0.
 
Ninakushauri usikiapo jambo lenye mashaka usikimbile kalamu hata kama muhusika unamchukia kiasi gani.
TAKE TIME TO KNOW IT.
Kuwa mvumilivu tunajua unahasira na Chadema kwani hatukuoni popote mpaka Chadema itokee! Wewe ni mwanasheria wa aina gani? Safari ya kumfikia Lakha utaianza labda 2045, unasikitisha sana mr. Lawyer.
Mwanasheria wakitapeli huyo, hivi kuna kesi gani huko Mahakamani anaiwakilisha?
 
Back
Top Bottom