johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,129
Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Mbowe alisema CHADEMA haitaingia kwenye mtego wa kuvunja Maridhiano kamwe kwasababu Vikao vya Maridhiano pekee ndio vitaliponya Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Mh. Tundu Lissu akasema, Maridhiano yalishavunjika toka mwezi May kwa sababu CCM ilikataa Mapendekezo yote waliyopelekewa na CHADEMA!
Sasa Serikali imemteua Mwenyekiti wa CCM kuwa DED, je hili ni tunda la Maridhiano?
Kati ya Mbowe na Tundu Lissu nani anasema Ukweli?
Dominica Njema 😄