Wameshindwa kualika chama cha upinzani CDM badala yake wamealika ccm b,ccm c na ccm d
hujaona kitu kingine cha kuchangia? Sasa umepatia endelea kujadili kipindi kilichopo.
Unawapotosha watanzania ambao hawana access ya ITV.
Wameshindwa kualika chama cha upinzani CDM badala yake wamealika ccm b,ccm c na ccm d
Acha uongo ITV hakuna kipindi cha dkk 45.
we umetokea kuzimu?
Unawapotosha watanzania ambao hawana access ya ITV.
Naona na kumsikia mwongoza kipindi, Seleman Semunyu ameamua kudanganya juu ya kile anachokiita ni mwaliko wa CHADEMA kuhudhuria kipindi hicho.
Hakualika CHADEMA. Alikuwa anatafuta individuals kutoka CHADEMA wahudhurie kipindi hicho, sasa kama juhudi zake za kuwatafuta hao watu, at their personal level, zilishindikana ni vyema akawaambia hivyo watazamaji badala ya kuwapotosha kuwa eti aliwaalika CHADEMA lakini hajui ni kwa nini hawajafika!
Anataka kutuambia kuwa mpaka anakwenda studio hakuwa amehakikisha wanajopo wa mjadala ambao hawajafika, nini kimewasibu, wako wapi, kwa nini hawajafika. This is very unusual.
Kama mwandishi wa habari hawezi kuwa conscious kuwajibika kusema ukweli kadri anavyoujua, badala yake anadiriki kutokuwa mkweli na kupotosha kile anachokijua, mbele ya mamilioni ya Watanzania, basi hii ni hatari sana.
Kama hawana ITV = hawafahamu huu mjadala
Acha uongo ITV hakuna kipindi cha dkk 45.